Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Njia ya Mpinzani kuwaletea wananchi maendeleo nikumshinikiza mwenye dola aelekeze nguvu kwa wananchi na asilale.
Njia ya mwenye dola yakuwasaidia wananchi nikuwapelekea mahitaji Yao kama walivyoomba na kama ulivyoahidi.
Uchaguzi wa 2020 hatujui kama mlishindwa au mlishinda ila tunachojua ninyi kwa sasa amna dola. Kwa maana nyingine wananchi wanawategemea msukume agenda zao Kwa Kasi kuwafanya wenye dola waache kulala na kuangaika na kero za wananchi.
Mimi nataka mtekeleze ahadi yenu ya maendeleo ya watu Kwa vitendo kupitia mbinu zifuatazo
Kwanza, nasikitika kwamba Hadi Sasa akaunti za mitandao ya kijamii za umoja wa vijana katika Wilaya, majimbo, Mikoa na Kanda hazifanyi kazi yake ipasavyo na baadhi ya maeneo hakuna kabisa. Hii ni pamoja na organization nyingine. Nashauri Kila Jimbo Liwe na active account ya tweeter, JF, Facebook,Instagram na maeneo mengine. Kazi hii ilipaswa kufanywa siku nyingi ila wakina Pambalu wamelala.
Pili, akaunti hizi zieleze wananchi na kuhabarisha Kwa staha kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini yawe ya kisiasa, kijamii au kiuchumi. One message can be shared at all social media using different accounts. Hii itawajenga sana kwani wananchi wataelewa wapate wapi habari. Mfano kesi inayoendelea tulitegemea akaunti zenu zisambaze kile anachofanya Martini.
Tatu, watu watakaosimamia akaunti hizi waakikishe lugha inayotumika ni lugha inayofaa kutumiwa na rika zote. Hatutegemei akaunti hizo zisambaze matusi aidha kwa CCM au kwa serikali. Tunategemea akaunti zitoe habari ambazo ni verified na lugha inakidhi. Hakuna namna wananchi watawaamini kwa kutukana au kutumia lugha ya kuudhi hata wanapowaudhi, onyesheni ukomavu na uvumilivu kuwafanya makundi yote ya binadamu wavutiwe kusikia kutoka kwenu.
Nne, akaunti hizi zitumiwe na viongozi wenu wa majimbo, wilaya, mikoa na Kanda kumweleza Rais na Serikali changamoto zilizopo kwenye majimbo na maeneo mbalimbali. Hii strategy itamfanya kila kiongozi kila eneo awajibike nakutaka kuwaprove ninyi wrong, na hili awaprove wrong atawajibika kuondoa changamoto mliyoiweka mitandaoni na hapo mtakuwa mmefanya kazi kubwa yakuwaletea watu maendeleo kama mlivyoahidi.
Taadhari, taarifa zinazotolewa ziwe za kweli na zieleze wazi changamoto ilipo kwa kutaja jina la eneo, hii itwafanya hata wananchi kutumia akaunti zenu kuieleza serikali kilio Chao. Lengo hapa nikumsaidia Rais aliyepo madarakani atatue changamoto mlizopanga kuzitatua pale mlipoomba ridhaa Kwa wananchi, sometimes tunaweza mlaumu Rais kumbe Hana taarifa. Tumsaidie apate zile taarifa ambazo wateule wake wasingependa hazipate.
Mfano; zilisambaa picha za majengo ya shule shikizi mitandaoni, kuondoa aibu serikali imeanza kujenga japo awali waziri alikuwa mkali.
Tano, Katika kutekeleza mkakati huu msiogope kutosifiwa, acha sifa ziende kwao lakini wananchi wapate maendeleo ili siku mnashinda msianzie kwenye dhiki kubwa mkutane na jamii iliyoendelea. Lakini pia kumbukeni jamii iliyoendelea na kuelimika itasaidia sana kusimamia mabadiliko ya mfumo na hata agenda ya Katiba kuelekea 2025.
Mwisho, kazi hii isiwe hiari iwe lazima; kumbukeni information is power, simameni kama bunge la wananchi kwa kuwaeleza wananchi mnawasaiduaje watatuliwe kero zao. Nadhani unaelewa na mtategelezo coz it has zero cost in implementation. Mnahitaji kutumia muda wenu wa mapumziko kuifanya hii kazi yakuhabarisha.
Chadema wakichelewa vyama vingine mnaweza kuchukua fursa hii kutoka Kwa mama yenu Kamugisha. Sisi wazee tunatamani maendeleo yasioambatana na uvunjifu wa amani, tunatamani wajukuu zetu waishi Tanzania Huru na ya haki