Si waliaminisha Watu kuwa ni ADUI WA JPM,Sasa so JPM hayupo wasiwasi wa nini?
Au ni kweli alikuwa msaliti wa nchi??ndumilakuwili na lema wake....hivyo ni ADUI WA nchi na SI ADUI wa JPM??
Rais Samia hanaga noma yule maza,ila akimzingua mama na yeye atazinguliwa.
[emoji23][emoji23][emoji28]***** watu mmevurugwa.Na akimzingua Lissu naye atazinguliwa. Hii nchi hakuna mbabe wa kuzingua watu.
Aliahidiwa kuteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Cape Verde.[emoji23][emoji23][emoji28]***** watu mmevurugwa.
ila Lisu namuona anataka kurudi bila masharti yake ya awali,inamaana ana imani na mama au?
ngoja tuone!.
Mkuu hapa tunajadili uhai, maisha na afya ya mtu: baba, mume, kiongozi na raia wa Tanzania.Si waliaminisha Watu kuwa ni ADUI WA JPM,Sasa so JPM hayupo wasiwasi wa nini?
Au ni kweli alikuwa msaliti wa nchi??ndumilakuwili na lema wake....hivyo ni ADUI WA nchi na SI ADUI wa JPM??
Masharti yalikuwa ya kujibaraguza tu yale. Utamwekea masharti mkuu wa nchi wewe ni nani? Una umuhimu gani kwenye nchi mpaka uweke masharti?[emoji23][emoji23][emoji28]***** watu mmevurugwa.
ila Lisu namuona anataka kurudi bila masharti yake ya awali,inamaana ana imani na mama au?
ngoja tuone!.
Unajua sheria za mgombea wa urais?Adui wa nchi ndio Nani?. Mbona alikuja akafanya kampeni na wengi wakampokea uwanja wa ndege. Na mikutano yake watu wengi waliuhudhuria.
Adui wa nchi ni yule ambaye siku ya kufa kwake watu walishangilia na kufanya sherehe.
Halafu wana yule mtoto wa watu, mtoto laini laini, mtoto wa kiume full make upsKwani Chongolo leo amesema nini?