Mkurugenzi wa ATCL amekanusha taarifa ya kua Bombadier Q400 mbovu


Good People

Good People

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
951
Likes
1,800
Points
180
Good People

Good People

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2016
951 1,800 180
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania ATCL, Eng. Matindi amekanusha taarifa ya ndege yake aina ya Bombadier Q400 kuwa mbovu

 
Good People

Good People

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
951
Likes
1,800
Points
180
Good People

Good People

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2016
951 1,800 180
Eti BAVICHA Haya ni ya kweli?
 
sagai532

sagai532

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2015
Messages
1,151
Likes
531
Points
280
Age
46
sagai532

sagai532

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2015
1,151 531 280
Anatetea ajira yake
 
sheiza

sheiza

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
3,837
Likes
3,975
Points
280
sheiza

sheiza

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
3,837 3,975 280
Bavicha na 4u movement watakuja kututhibitishia..bila shaka walipeleka mwakilishi
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
12,345
Likes
8,585
Points
280
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
12,345 8,585 280
Sijui nilikuwa wapi lakini tangu habari ya ndege yetu kutoka nje ya njia yake kule Arusha, sijasoma mahali popote watu wamesema kuwa hiyo ndege ni mbovu na iliharibika, Sijui tena nasema sijui.
Natamani msemaji husika angekanusha kuwa haikutoka nje ya njia ndipo tumshangae. Hakuna aliyesema imeharibuka jamani. Msihofu ndege mliyo nunua ni nzuri ila, fanyeni mpango wa kuwezesha wazawa waipande hata kwa mwezi mmoja shuheni nauli zenyu watu waipande
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,439
Likes
18,795
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,439 18,795 280
Kutetea chakula ni Kazi sana...

Kuna siku kiongozi wa hii serikali ya awamu 5 atakuja kukanusha mke wake kuwa hana mimba wakati tumbo tunaliona.........

Swali ni je yeye alikuwa Arusha? Aliyetoa taarifa si ni abilia aliyekuwa kwenye tukio tena na picha juu...

Au na yeye anasafiri kila route na hizo ndege siku hizi?
 
T

TEACHER FRANK MSIGWA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Messages
539
Likes
441
Points
80
T

TEACHER FRANK MSIGWA

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2016
539 441 80
hawa vijana wa chadema ushamba unawasumbua, yaani wao ndege ya serikali ikipata tatizo kwao ni sherehe
Mkuu kati ya nyie mnaowashabikia wala rambirambi na chadema wanaoshangilia ndege kupata tatizo nani ushamba unamsumbua
 
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
7,153
Likes
13,109
Points
280
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
7,153 13,109 280
Sawa wamekanusha ,Shida ilikuwa nini sasa ?
 
Donkey

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
905
Likes
601
Points
180
Donkey

Donkey

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
905 601 180
Sasa kama ilishindwa kugeuza njia na kukwama iitwe mbovu au nzima
 
N

nderingosha

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2011
Messages
3,963
Likes
1,721
Points
280
N

nderingosha

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2011
3,963 1,721 280
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania ATCL, Eng. Matindi amekanusha taarifa ya ndege yake aina ya Bombadier Q400 kuwa mbovu millard ayo on Twitter....mpaka idondoke na kuua ndio watajua ilikuwa mbovu...tz ndivyo ilivyo...hadi chombo kilete majanga ndipo ukweli husemwa....kama ile meli ya mv victoria...mliambiwa videge mitumba hivi mkabisha....mbwembwe zitaisha pale itakapodondoka na watu...mi hizi ndege sipandi....na sitopanda..japo natumia sana ndege kikazi...
 
pakaywatek

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
3,446
Likes
3,091
Points
280
pakaywatek

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
3,446 3,091 280
Hata mwijage alikanusha kesho yake akabadilika na kudai serikali ilikua inaficha siri.
 
L

Leopold Rwegoshora

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2016
Messages
330
Likes
251
Points
60
Age
55
L

Leopold Rwegoshora

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2016
330 251 60
hii siyo ndege ya ccm ni ya watanzania wote..kuhoji ni haki ya kika mtu
 
Good People

Good People

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
951
Likes
1,800
Points
180
Good People

Good People

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2016
951 1,800 180
BAVICHA wanaombea ile Kwenye BBC World News Flight Bmbadier Q400 of Tanzanian Airline is missing with 76 On board


Mungu anawaona.
 
API Gravity

API Gravity

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2016
Messages
658
Likes
763
Points
180
API Gravity

API Gravity

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2016
658 763 180
Kutetea chakula ni Kazi sana...

Kuna siku kiongozi wa hii serikali ya awamu 5 atakuja kukanusha mke wake kuwa hana mimba wakati tumbo tunaliona.........

Swali ni je yeye alikuwa Arusha? Aliyetoa taarifa si ni abilia aliyekuwa kwenye tukio tena na picha juu...

Au na yeye anasafiri kila route na hizo ndege siku hizi?
Abiria alisema ngege ilikuwa na ubovu gani? Gari lako likikwama kwenye tope maana yake ni bovu?
 
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Messages
10,797
Likes
4,356
Points
280
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2011
10,797 4,356 280
Kwenye vyombo vinavyobeba maisha ya watu havitaki matamko ya Kisiasa... oooh am warning you
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,319
Likes
15,673
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,319 15,673 280
Somebody knows what happened to that plane but they are keeping their mouths shut
 

Forum statistics

Threads 1,274,979
Members 490,865
Posts 30,529,417