Rais Samia Suluhu Hassan na Elimu

APA CHICAGO

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
259
293
Kama Kuna sector mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameitendea haki ni sector ya elimu, kwa kweli amejenga madarasa mengi Kila Kona ya nchi yetu bila upendeleo wowote.

Hajaishia hapo lkn pia ameamua kujenga shule maalumu za tarafa huko Kanda ya ziwa nimekuta shule hizi zinajengwa kwa Kasi ya ajabu.

Nilijaribu kumuuliza mtu mmoja aliyekuwa site akasema maelekezo nikuwa shule hizo zinapaswa kufunguliwa mwanzo wa mwezi May 2022.

Hongera Rais wetu mama Samiah Suruhu Hassan kwa kujali elimu yetu.Kazi iendelee.
 
Hilo ni kweli kiongozi wangu Vitalis Msungwita Mimi nazani watendaji wake hawafanyi tathimini sahihi ya rasilimali watu inayohitajika huko mashuleni na kumwambia
Kuna mpango wa kalenda ya ufundishaji umekuja mashuleni na upo nchi nzima. Kama walimu watautekeleza Kama unavyoagiza serikali wataliona pengo la walimu nchini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kampeni ya kujenga shule za kata kila kona ilileta matokeo gani? Leo kuna vijana wengi wanamaliza vyuo lakini kujieleza ni tatizo, hawawezi kujiajiri, kuelewa nchi yao inapokwenda ni shida, kujenga hoja rahisi ni shida, wapo wapo tu.

Tatizo la elimu yetu ni kubwa kuliko majengo.
Ni mfumo mzima.
Kama Kuna sector mhe Rais Samiah Suruhu Hassan ameitendea haki ni sector ya elimu, kwa kweli amejenga madarasa mengi Kila Kona ya nchi yetu bila upendeleo wowote.
Hajaishia hapo lkn pia ameamua kujenga shule maalumu za tarafa huko Kanda ya ziwa nimekuta shule hizi zinajengwa kwa Kasi ya ajabu. Nilijaribu kumuuliza mtu mmoja aliyekuwa site akasema maelekezo nikuwa shule hizo zinapaswa kufunguliwa mwanzo wa mwezi may-2022.Hongera Rais wetu mama Samiah Suruhu Hassan kwa kujali elimu yetu.Kazi iendelee.
 
Atoe ajira sasa na kujenga nyumba za walimu. Au hayo madarasa na hizo shule alizojenga/anazo endelea kujenga mtafundisha nyinyi makada wa chama?
 
Kama Kuna sector mhe Rais Samiah Suruhu Hassan ameitendea haki ni sector ya elimu, kwa kweli amejenga madarasa mengi Kila Kona ya nchi yetu bila upendeleo wowote.
Hajaishia hapo lkn pia ameamua kujenga shule maalumu za tarafa huko Kanda ya ziwa nimekuta shule hizi zinajengwa kwa Kasi ya ajabu. Nilijaribu kumuuliza mtu mmoja aliyekuwa site akasema maelekezo nikuwa shule hizo zinapaswa kufunguliwa mwanzo wa mwezi may-2022.Hongera Rais wetu mama Samiah Suruhu Hassan kwa kujali elimu yetu.Kazi iendelee.
Kila Kona ya nchi? Mbona Kule kwetu Musoma vijijini hayo madarasa hayapo, yapo yaliyojengwa na Hayati... Sifa za Kijinga Hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mikanganyiko sana
Pesa za Uviko na pesa na Tozo maana zote zilielekezwa kufanya hilo... Kuna mahali tutapigwa bila kujua tumepigwaje
Ila nazani mnaona hayo madarasa kweli yapo et ndugu zangu? Na amechukua hatua kwa watendaji waliobainika
 
Back
Top Bottom