Rais Samia anaelekea kuanza Maneno Makali

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
822
Reaction score
2,100
Mara baada ya kuingia madarakani ili kuonyesha anaupiga mwingi Mama Samia alisema yeye hatakuwa mtu wa maneno Makali bali matendo makali.

Kwa ambao tumefuatilia interview za mama za karibuni tukianza na ile ya Kikeke na hizi hotuba zake mbili tatu za karibuni ni kwamba mama ameshaanza dharau kwa waandishi, watumishi na viongozi wenzake kwenye vyombo mbalimbali.

Ifikapo mwakani Mama atakuwa ni mtu wa maneno Makali na matendo makali. Ameshaionya na kamati ya Rwekaza Mkandala kuwa kabla ya kufanya chochote wamuulize mwenye shamba akimaanisha mwenye nchi.

Nchi sasa ni ya Rais na sio ya Wananchi. Muda utamtetea sana hayati wallah.
 
Mara baada ya kuingia madarakani ili kuonyesha anaupiga mwingi Mama Samia alisema yeye hatakuwa mtu wa maneno Makali bali matendo makali.

Kwa ambao tumefuatilia interview za mama za karibuni tukianza na ile ya Kikeke na hizi hotuba zake mbili tatu za karibuni ni kwamba mama ameshaanza dharau kwa waandishi, watumishi na viongozi wenzake kwenye vyombo mbalimbali.

Ifikapo mwakani Mama atakuwa ni mtu wa maneno Makali na matendo makali. Ameshaionya na kamati ya Rwekaza Mkandala kuwa kabla ya kufanya chochote wamuulize mwenye shamba akimaanisha mwenye nchi.

Nchi sasa ni ya Rais na sio ya Wananchi. Muda utamtetea sana hayati wallah

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Ndio inavyotakiwa
 
Bado sana...ndio kwanza mwaka wake..
 
Mmeshaachiwa nchi yenu , pambaneni wazee
 
Aendelee kujishaua. Soon atajua kuwa THE HONEYMOON IS OVER
 
Watanzania ukiwapeleka kidiplomasia sana wanakupanda kichwani, Watanzania tunapenda maneno maneno, majungu na wavivu wa kujituma.
 
Nia ya bandiko lako ni kutokubaliana na mama, yaani utafikiri mwenda zake kaondolewa madarakani kwa nguvu na huyu mama.
 
Ni kupiga chapuo tu miaka iende haraka.
Km vyuma vizito tushapigwa tutulie tu.
 
Kwa hiyo ni rasmi sasa Tanzania ni shamba la bibi!
 
Samia anwaambia Ukweli tu sema nyie vichwa maji hamumuelewi tu ,nchi haiend mtakavyo inaenda kwa miongozo na sheria zake

USSR
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaandika Matope mpaka Jamaa kakucheka
mvt0m.jpg
 
Mama anameanza kiburi sisi tushampenda zama za :
1.kutukaripia wakati yy ni housegirl mkuu wa taifa aache sisi wananchi ndo mabosi
2.mambo ya mabango ya kumpongeza barabarani aache au atumie mshahara wake
3.mambo ya machifu aache huko hatuko,kama anataka uchawi wanao watu wa kawaida kuliko hao wavivu.
4.Serikali ina inaitwa "utawala wa mama samia " au "serikali ya ccm" hakuna kusema mama atapeleka hela ajifunze kuiadress serikali

Vinginevyo anatufaa tunaona anaenda vizuri saiz tunajiskia wananchi wote sawa na utawala wake tunautii toka moyoni.
 
Back
Top Bottom