Mbowe ni mkanda na mkabila, hafai kuwa kiongozi hata kiduchu. Watanzania wamkatae na CHADEMA yake

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
5,721
5,719
Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni.

Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake kuwa ina umuhimu kuliko kanda zingine hafai hata kiduchu

Kiongozi anayefikiria masuala ya kuleta maendeleo kwa kuzingatia kanda na ukabila huyu ni kiongozi mbaya sana

Taifa la Tanzania naturally halina ukabila na Ukanda na kiongozi anayepandikiza chuki na za namna hii hafai hata kidogo.

Taifa hili halijawahi kuwa na kiongozi aliyebagua watu ili kuwapelekea maendeleo.

Huu ndio wakati wa kumchambua Mbowe na Chadema yake kuwa hafai kabisa.
 
chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
8,722
11,958
Screenshot_20220319-172018.jpg
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
14,592
25,596
Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni.

Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake kuwa ina umuhimu kuliko kanda zingine hafai hata kiduchu

Kiongozi anyefikilia masuala ya kuleta maendeleo kwa kuzingatia kanda na ukabila huyu ni kiongozi mbaya sana

Taifa la Tanzania naturally halina ukabila na Ukanda na kiongozi anayepandikiza chuki na za namna hii hafai hata kidogo.

Taifa hili halijawahi kuwa na kiongozi aliyebagua watu ili kuwapelekea maendeleo.

Huu ndio wakati wa kumchambua Mbowe na Chadema yake kuwa hafai kabisa.
Mwendazake alikuwa master wa ubaguzi wa ukanda, kidini na kikabila..Rest in Hell Mwendazake
 
Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
2,772
4,637
Hivi hii chuki dhidi ya Mbowe unapata wapi. Kupokelewa kwao kwa shangwe ni nderemo tu ndio inakufanya uoneshe chuki hivi?

Mbaya zaidi umeiweka kikabila zaidi. Ni ukweli uliowazi watu wa kanda ya kaskazini waliteswa kisaikolojia, kiuchumi, kijamii na hata physically ni ukweli uliowazi.

Ukitaka kufanya propaganda ya kisiasa zipo njia nyimgi sana pasipo kufanya characterization ya jamii fulani/kundi fulani la jamii.

Kumbuka hao hao utawahitaji kuwaomba wakipe kura chama chako.
 
Hakuna kiongozi aliyefanya hayo zaidi ya uongo na propaganda za kishenzi
 
Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
3,939
6,576
Kesi bandia mliyosuka imegoma mmeanza uzushi.?

Kwani mkanda hajulikani ambaye alikua anaongea hadi kisukuma muda mwingine akihutubia, je umewahi msikia Freeman akiongea kichaga kwenye hotuba yake.

Ukanda haukutosha sasa mmetuletea uchifu hayo yote ni matunda toka viunga vya Lumumba.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,706
6,005
Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni.

Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake kuwa ina umuhimu kuliko kanda zingine hafai hata kiduchu

Kiongozi anyefikilia masuala ya kuleta maendeleo kwa kuzingatia kanda na ukabila huyu ni kiongozi mbaya sana

Taifa la Tanzania naturally halina ukabila na Ukanda na kiongozi anayepandikiza chuki na za namna hii hafai hata kidogo.

Taifa hili halijawahi kuwa na kiongozi aliyebagua watu ili kuwapelekea maendeleo.

Huu ndio wakati wa kumchambua Mbowe na Chadema yake kuwa hafai kabisa.

Magufuri gani? Huyu aliyesema msiwabomolee nyumba wakazi wa Mwanza maana walimpa kura nyingi?. Kuna ukanda zaidi ya huo?.

Magufuri aliyepeleka maendeleo yote chato mpaka mbuga ya wanyama hakuwa mkanda?.

Mh Mbowe anaongea kwa context yake na aliumizwa Sana na Magufuri.

Kumbuka kuharibiwa shamba lake na mkuu was wilaya ya Hai byakanwa.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,706
6,005
Kweli kabisa Hawa wachaga wabinafsi sana, Sisi watanzania hatuta kubali kuongozwa ma mkabila.

Wewe mwenyewe mkabila. Kama Kuna mchaga mwenye uwezo kwanini asichaguliwe?.

Ni sheria gani inakataa wachaga wasichaguliwe?. Usilete ukabila Tanzania peleka Kenya.
 
Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
5,572
6,680
Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni.

Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake kuwa ina umuhimu kuliko kanda zingine hafai hata kiduchu

Kiongozi anyefikilia masuala ya kuleta maendeleo kwa kuzingatia kanda na ukabila huyu ni kiongozi mbaya sana

Taifa la Tanzania naturally halina ukabila na Ukanda na kiongozi anayepandikiza chuki na za namna hii hafai hata kidogo.

Taifa hili halijawahi kuwa na kiongozi aliyebagua watu ili kuwapelekea maendeleo.

Huu ndio wakati wa kumchambua Mbowe na Chadema yake kuwa hafai kabisa.

Ni mawazo yako lakini ukweli na haki ndiyo muhimu Mbowe hajawahi kubadilika! Hutaweza kumnyamazisha kwa maneno kwa yeye anaamini kusema bila kupapasa .

Magufuli ni kweli alitenga watu wa Kilimanjaro na Arusha na alisema hivyo! Sasa sijui kama kuna ubishi kwenye hilo. Alisema sababu ni kuchagua wapinzani!

Wewe unataka kutunga sababu zako wakati Magufuli alisema wazi! huo ndiyo ukweli mchungu.

Kuna watu wengi wa TRA walitumia mwanya huo wa chuki kwa faida zao mfano kuna maduka ya fedha halali ambayo walivamiwa na kuchukuliwa mabilioni na Magufuli hakuna hata duka moja Mwanza au Magu !

Ni Kilimanjaro na Arusha sasa hii ilikuwa ni nini!
 
Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
5,572
6,680
Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni.

Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake kuwa ina umuhimu kuliko kanda zingine hafai hata kiduchu

Kiongozi anyefikilia masuala ya kuleta maendeleo kwa kuzingatia kanda na ukabila huyu ni kiongozi mbaya sana

Taifa la Tanzania naturally halina ukabila na Ukanda na kiongozi anayepandikiza chuki na za namna hii hafai hata kidogo.

Taifa hili halijawahi kuwa na kiongozi aliyebagua watu ili kuwapelekea maendeleo.

Huu ndio wakati wa kumchambua Mbowe na Chadema yake kuwa hafai kabisa.

Mbowe anaongea na watu wa Kilimanjaro na Arusha! Wewe upo Dar unajuaje kinachoendelea kule …. Hili ndiyo tatizo letu tunakaa Dar na kujiaminisha ndiyo Tanzania 🇹🇿 Lakini ukweli ndiyo huo
 
fentfod

JF-Expert Member
May 27, 2017
566
723
Tz kuna species za ajabu sana hazijapata kutokea sijui wanatafakari mambo kwa makalio. Bora hii species iishe na kupotelea huko ugoro mtupu

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
8 Reactions
Reply
Top Bottom