Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,644
- 2,773
Habari jukwaani,
Tutaenda kwa codes ili tusiharibu thread,
Kulikuwa na viranja fulani Wa shule mbili tofauti,kiranja shule x na yule shule y.
Ilitokea kiranja shule y alikuwa na mgogoro na wanafunzi wake kuhusu mambo Fulani Fulani,ukawa mgogoro mkubwa sana,sasa bahati huyu x shule yake kubwa,akaja kupata nafasi ya kuulizwa namna angewezaje kutatua mgogoro ule"ushauri".
Kiranja shule x akashauri huyu Wa y wakae meza 1 na wamalize tofauti zao,bahati mbaya huyu Wa y hakuupenda ule ushauri ,kilichotokea baada ya hapo Nikutupishiana maneno tuuu.
Siku1 kiranja y akiwa na wanafunzi wenzake,Wanaomaliza aka graduates alisema huu msemo akimwambia x,"there are lines can't be can't be crossed "
Akaenda mbali zaidi na kusema
"I will find the right time& I will hit
him"
Kiranja x alikuwa anamaliza shule akiwa mbeleni mwa y,kwa hiyo wakati anatoka akakabidhi kwa kiranja mwingine aliefata,kiranja z.
Z alivyoingia akawa rafiki mkubwa sana ya y,tofauti ilivyotegemewa.
Z akanogewa na y,kiasi kwamba anammwagia sifa hadharani y,kuliko hata yule x aliempendekeza.
Z akabadili mifumo mingi ya uendeshaji shule,mingi akiigiza kutoka kwa y,hata namna ya kuongoza,kufikiri,kupambana na wanampinga,akawa typical kama y.
Huu msemo Wa "I will find the Right time & I Will hit him" hatuoni kama umetimia,maana huko nje x lazima anaugulia vibaya akimsikia z anavyomsifia y,anavyopitia kote y alipopitia.