Huu utaratibu wa Freeman Mbowe kuanza kutembelewa na watu maarufu unanitia mashaka, isije kuwa ameanza kampeni za uRais kabla ya wakati!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Tangu atolewe gerezani mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekuwa akikutana na watu maarufu mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti.

Wengi wataamini kuwa wanaenda kumpa pole kwa madhila aliyoyapitia lakini sisi wanasiasa tunajua kuwa Siasa ni Mbinu tena za kisayansi.

Natoa tu angalizo kuwa Muda wa kampeni za uchaguzi mkuu 2025 kwa mujibu wa sheria bado haujafika.

Kajituliza kwake kasuku.

Sabato njema.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mnahaha sana..!! Yule aliyesema wanawake wana jambo lao 2025, ulitoa angalizo lolote!? Na kwamba yale yalikuwa matakwa ya katiba na si uchaguzi wao..!!! Ulisema chochote!?
 
Na wewe ni mtanzania mwenzangu?
 
Mnahaha sana..!! Yule aliyesema wanawake wana jambo lao 2025, ulitoa angalizo lolote!? Na kwamba yale yalikuwa matakwa ya katiba na si uchaguzi wao..!!! Ulisema chochote!?
Bwashee hujaona picha za Mama zimezagaa kite zikiwa na maneno kama “Ana maono”,Jasiri” “Anathubutu”, n.k. Mbona hapo hujatoa angalau kuwa anaanza kampeni mapema?
 
Tangu atolewe gerezani mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekuwa akikutana na watu maarufu mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti.

Wengi wataamini kuwa wanaenda kumpa pole kwa madhila aliyoyapitia lakini sisi wanasiasa tunajua kuwa Siasa ni Mbinu tena za kisayansi.

Natoa tu angalizo kuwa Muda wa kampeni za uchaguzi mkuu 2025 kwa mujibu wa sheria bado haujafika.

Kajituliza kwake kasuku.

Sabato njema.

Maendeleo hayana vyama!
Utakuwa ushapiga mbitu;😂😂😂😂
 
Mbona mama yenu amepiga kampeni na kujipa ushindi kwa kusema yeye na wenzie wana uhakika wa ajira kwa miaka 9.
 
Tangu atolewe gerezani mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekuwa akikutana na watu maarufu mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti.

Wengi wataamini kuwa wanaenda kumpa pole kwa madhila aliyoyapitia lakini sisi wanasiasa tunajua kuwa Siasa ni Mbinu tena za kisayansi.

Natoa tu angalizo kuwa Muda wa kampeni za uchaguzi mkuu 2025 kwa mujibu wa sheria bado haujafika.

Kajituliza kwake kasuku.

Sabato njema.

Maendeleo hayana vyama!
Ujumbe wako japo umejificha, lakini tumeupata: MBOWE ANATEMBELEWA NA WATU MAARUFU. JELA IMEMPANDISHA KILELENI. MAMAALIPUYANGA KUMWEKA MBOWE JELA.
 
Back
Top Bottom