Lissu: Kikosi Kazi alichounda Rais kimem ‘expose’ Zitto yuko upande gani

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani.

Amesema zamani walidhani ni mchakato utakaoongozwa na TCD lkn baada ya kuambiwa utakuwa unaripoti kwa rais basi Chadema haina imani na kikosi hicho.

Lissu anasema, akipokea ripoti ya kikosi kazi hicho rais alisema wameshaituliza Zanzibar (through ACT Wazalendo) sasa wanataka waitulize na bara through kikosi kazi, Hawataweza.

Msikilize.

 
Vijana wa kitanzania tuna safari ndefu sana ya kuelewa maana ya siasa za nchi hii.
Yaani siku mtakapojua hata hao mnaowaunga mkono, (akina tundu et al) kwamba na wao wapo kwa maslahi yao binafsi; mnaweza kutamani kuhama dunia!
Kwa upande wangu naona ccm hakina tatizo, isipokuwa hakiwezi kutimiza matakwa ya kila mtu kwa wakati wote!

Ushauri wa bure: Ni afadhali sana katika maisha kusimamia kile unachoamini, pasipo kufuata ushawishi wa mtu/watu fulani. Hata kama utakuwa pekeeyako, ni afadhali kuliko kuwa wengi ambao hujui kila mmoja anawaza nini na kwa nia gani!
 
Mapaka🐒🐒🐒
Acje7M.jpg
 
Back
Top Bottom