Natoa wito Waziri Jaffo ajiuzulu.
Mstaafu Mwinyi aliwahi kusema kichaa akichukua nguo zako, busara ni kuchutama (loosely)
Waziri Jaffo na watalaamu wake wa mto Mara wanagoma kuchutama, na kadri...
Katika sheria za utumishi wa umma tunaambiwa kuwa Mtumishi wa Umma anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa lakini haruhusiwi kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa muda wa kutumikia...
Na Bwanku M Bwanku.
Kama tunavyofahamu, Ijumaa hii Aprili Mosi 2022, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya Mkutano Mkuu wake Maalum pale Jijini Dodoma kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention...
Huyu mzee wa Msoga kwenye Elimu alitisha Sana,
Fikilia SSH amejenga madarasa elfu15 kwa pesa ya mkopo kutoka IMF, kwa iyo idadi ni madarasa kidogo Sana kwa nchi Kama Tanzania. Serikali ya JPM...
Leo hii Kassimu Majaliwa anashangaa kuona mkulima anakatwa sh 805/- kwa Kila kilo ya kahawa?
Hivi hili lilitakiwa lifanyike na kutolewa maamuzi na Waziri Mkuu? Maafisa huna hapo mkoani? Mrajisi...
Unajua kuwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wana kipato kikubwa kuliko wale wa Arusha na Kilimanjaro?
Takwimu za BoT zinaonyesha wale wa Kagera ndio masikini zaidi na bado hawajafika uchumi wa kati...
Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS .
Bila shaka sasa kuna haja...
Wanabodi,
Hii ndio Ripoti ya kitaalamu iliyotoa go ahead mchanga wa dhahabu uendelee kusafirishwa nje kwa hoja kuwa Tanzania hatuwezi!. Kwa vile hii ni ripoti ya kitaalamu, na mimi sio mtaalamu...
Wanajamvi kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia zoezi hili naona kinachotokea ni Mkanganyiko Mkubwa na Vurugu tupu kuanzia kwenye ajira za hawa vijana, mafunzo hadi utendaji kazi. Nimeshindwa...
Sheria ya uchochezi inatoa fursa ya kutumika vibaya na vyombo vinavyosimamia sheria hasa Polisi na kwamba wakati umefika wa kuifanyia mapitio ili kulinda uhuru wa kujieleza na wa habari nchini...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA)
Uteuzi wake umeanza Desemba 5, 2021 akichukua nafasi ya Msafiri Lameck Mbibo...
Katika hali ya kustaajabisha kabisa, mfanyabiashara maarufu hapa nchini ambaye anahisiwa kupata utajiri kwa utata utata, anayemiliki kampuni ya gsm bwana Ghalib S. Mohamed ametumia nguvu ya pesa...
Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo.
Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya...
Job saga. Ili ni vugu vugu ambalo wote tumekuwa mashuhuda kwani limeweka historia kwa nchi.
Baada ya kuwa na spika wa kwanza kujiuzulu akiwa madarakani.
Je, unafahamu Cambridge anlytica saga...
Moto wa katiba mpya unawahusu moja kwa moja watawala na watawaliwa. Unahusu haki na usawa wa watu.
Moto huu unahusu utawala bora na mamlaka kwa wananchi.
Moto huu ndiyo ulio pelekea Mh. Mbowe...
Jambo all Member's JamiiForums!
Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake.
Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni...
KUELEKEA UCHAGUZI KATIBU MKUU UVCCM, NDG KENANI KIHONGOSI
ASEMA NA VIJANA.*
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendele
=======
"Huu ni mwaka wa uchaguzi. Vijana jitokezeni...
Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani.
Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo.
Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF...
“Kwa Zitto msiwe na wasiwasi Rais JK alishamaliza kazi “ kila aliehudhuria kile kikao aliposikia Zitto ni mwenzetu alihamaki kidogo na kikao hicho kilifanyika Iringa eneo maalumu na kilihudhuriwa...
IKULU - ZANZIBAR
Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza Mh.Tony Blair katika...