Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia amesema hakuendelea na style ya mchaka mchaka kwa sababu anaamini viongozi ni watu wazima wanaojitambua hivyo kama wakitenda ndivyo sivyo wanakuwa wanafanya makusudi na kwa kudhamiria...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Jambo Member's JamiiForums. Jambo Moderators JamiiForums. Niende kwenye Mada rasmi. Sasa maana rasmi ya dhana ya kustaafu utumushi wa Umma imepotea au inawezekana imeachwa kwa maksudi kwa...
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa shutuma za kuiba bango lenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na vitambaa vyenye rangi ya bendera ya Taifa ambavyo hutumika...
0 Reactions
7 Replies
862 Views
Rais Samia amemtaka Katibu mkuu kiongozi kuandaa utaratibu wa kuifumua MSD na kuisuka upya kama walivyofanya kwenye Shirika la Umeme yaani Tanesco. Rais amesema uendeshaji wa MSD kwa sasa hauna...
8 Reactions
144 Replies
12K Views
Uchumi wa wananchi mmoja mmoja ni mgumu sana, vijana wanashinda vijiweni kwasababu hawana kazi. Wengi hujiingiza katika ulevi , kucheza kamari na kuvuta bange kutokana na kukosa kitu cha kufanya...
2 Reactions
6 Replies
791 Views
Moderators! JamiiForums! members! Jamiiforums! Hizi ni kauli au Maswali tata kutoka kwa kada mkongwe wa CCM. Mzee/Luteni mstaafu Yusuph Makamba. Baba mzazi wa January Makamba ambaye ni waziri...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1. 2015-2020 CCM/ Magufuli alikuwa inapendwa? Jibu hapana. Ila watu waliogopa kupinga sababu za usalama wao binafsi hasa kutekwa, kuuwawa, kupigwa risasi na madhira kibao. Tofauti kipindi Mzee...
2 Reactions
7 Replies
633 Views
Akizungumza kwenye kumbukizi la Mwalimu Nyerere KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Tanzania ina Mijadala duni sana ndio sababu tumekwama kwenye kila jambo na kubaki tunazunguka pale pale...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Ni katika uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara huko Dodoma. Inamaanisha hamjiamini na hamuwaamini wajumbe. Mnatumia mtindo wa kupiga kura kwa orodha ya mkoa kwa mkoa na kwa orodha ya...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Hivi inaleta picha gani hasa kwa wadau wetu wa maendeleo? Mnapewa misaada kibao kuboresha elimu lkn bado tu watoto wetu hapa sumbawanga wanakosa madawati ya kukalia madarasani? Wanafunzi 65,000...
18 Reactions
138 Replies
5K Views
Kimsingi ni wiki ya pili sasa Rais Samia kupitia hotuba yake amekuwa akisisitiza kuwa bidhaa lazima zitapanda na nauli zitapanda kutokana na vita ya Urusi! Ukweli ni kwamba vita ya Urusi na...
60 Reactions
145 Replies
10K Views
Wazalendo Wote Nchini Natoa ushauri ufuatao kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi yetu. Sio Siri Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM upande wa Bara amekuwa na Utumishi wa muda mrefu...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza. 1. Nani mshauri wa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi, This is C&P kama nilivyopokea. Nape Nnauye Ashambulia Waandishi wa Habari. Wakati ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana Ikiendelea Mkoani Arusha na ikionekana kuwa na...
15 Reactions
83 Replies
20K Views
Labda kwa ufafanuzi kidogo , hasa kwa wageni na wale ambao wanachelewa kuelewa ni Kwamba huu mpango wa kisasa wa Join The Chain ni Mkakati maalum wa Chadema wa kuhakikisha kila Mtanzania mwenye...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Baada ya tetesi na hatimaye matamko rasmi kutolewa mara kadhaa kuhusu madhila yanayotokana na maji ya Mto Mara, ripoti zaidi zimeendelea kutolewa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Si wajibu wa Serikali kusimamia chama Cha Mapinduzi, Ila Chama Cha Mapinduzu kina wajibu wa kuisimamia Serikali. Nakubaliana na hoja hii na ndio ukweli ulivyo. Kama hukubaliani na hoja hii...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Ziwa Victoria, eneo la katikati ya Musoma na Kinesi, hapa ndipo unapopita mkondo wa Mto Mara, unaoingiza maji yake Ziwa Victoria. Ukiwa eneo hilo, unaweza kuona maji yalivyobadilika rangi na...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…