Kinasema...
'Wamerudi Aiseeee"
Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu...
Ninafikiri Ndugu Bashiri Ally kama mtendaji mkuu mpya wa chama cha Mapinduzi, anaufahamu mkubwa juu ya chama cha siasa na dhana ya msingi ya chama, lakini bahati mbaya hana uzoefu wa siasa chafu...
Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani...
Zipo Taarifa kwamba Mh. Rais Samia na Mkuu wa Majeshi Mabeyo ni miongoni mwa watu waliojishindia Tuzo za Heshima za Muziki, wengine waliopata tuzo hizo za Heshima ni Bi Kidude na Diamond Platnum...
Wanabodi,
Tangu baada ya Nyerere, na mtindo ule wa vitendo bila kuchelewa na utoaji wa maamuzi magumu, Watanzania walimisi sana maamuzi ya aina hii kwenye utawala wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete...
Ni suala la muda tu kabla akina Bashiru, Happi, Makonda, Musiba, Lusinde n.k. hawajanuka kama walivyonuka wenzao kina Nape, Makamba na Kinana.
Ikumbukwe, kipindi kile kina Nape, Kinana na...
4-1-2022
kati ya saa tatu hadi saa tano unusu usiku
William Lukuvi anafanya majadiliano na baadhi ya vijana wa Dar es Salaam baadhi wakiwa watumishi wa serikali eneo la Masaki na katika maongezi...
MAONI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
Watu wajiepushe na kumponda Magufuli maana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu...
Kama zilivyo jamii nyingine za binadamu kuwa na maneno ya wahenga,wazungu pia hawako nyuma.wanaupiga mwingi kwa kuwa na methali zenye kufikilisha.Baadhi ya methali hizo ni;
1. It takes a time to...
Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.
Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi...
Hayati John Pombe Magufuli, aliukuta mchakato wa katiba mpya umefika mahali pazuri pa kupigiwa kura.
Hayati Magufuli akazipuuza harakati za miaka nenda rudi za waTanzania zilizolenga kuipata...
RAIS KIKWETE, KARIBU KONDOA UJIONEE MADHAIFU YA WATENEDAJI WAKO ULIOWAAMINI
Mheshimiwa Rais, karibu Wilayani kwetu KONDOA. Kutokana na Urasimu mkubwa wa kukufikia wewe ili kuleta maoni na...
Sikufundishi kazi ila kinachokutafuna ni kile kilichopandwa huko nyuma!, simlaumu mtu ila nitalaumu kama atashindwa kuwa muelewa!.
Nafikiri utakumbuka nyanda za juu walivyokujazia wanafunzi...
Kauli mbiu ya selikali ni kujikwamua hapa tulipo ili kwenda mbele zaidi yaani kupambana na Umaskini, ujinga,maradhi na mengineo.
Kwa muonekano wa hawa viongozi tuliyokuwa nao toka baada ya...
Akihutubia jimbo la Kawe, Rais Magufuli amesema yeye ni Binadamu hataweza kwenda lindi na Mtwara hivyo atamtuma Kassim Majaliwa Kassim
Mimi kama mwana CCM naunga mkono kumtumia Mama Salma Kikwete...
Humprey Polepole tambua Rais anategemea taarifa sahihi toka kwenu lakini wewe unamdaganya na kumsababishia kampeni kuwa ngumu kwake sana.
Mimi ni mwana CCM na sihami CCM, Ni dhahiri Humphrey...
IKO WAPI TANZANIA YANGU; IKO WAPI CCM YANGU: WAKO WAPI WAZEE WANGU WENYE DHAMANA YA CHAMA NA NCHI YANGU.
Ndugu Watanzania na wanajamvi, nawaombea kila la kheri wakati huu mgumu. Mola atatupa...
Baada ya Mwigulu kutembelea China akiwa waziri ndogo alikuja akiwa kameza na kushiba siasa za kikomunisti.
Alianza kuvaa kofia yenye nyota nyekundu inayovaliwa na wachina. Na kunawakati alianza...
Ndugu Bashiru;
Wewe ni katibu mkuu wa chama cha mapinduzi.Wewe ni Muislamu uliyelelewa kiislamu katika familia yenye maadili ya kiislamu.Unalo jukumu kama Katibu Mkuu kuunganisha na si...
Kumekuwa na tabia ya kuunda mikoa mipya (na hata wilaya) kwa kigezo cha kusogeza huduma kwa wananchi. Tunafanya hivi kwa sababu hatuzingatii utendaji wa tamisemi. Tamisemi zilianzishwa kwa...