Je, CHADEMA safari hii kwenda na nani kwenye uchaguzi wa Kenya?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,490
Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru Kenyatta.

Sasa mwaka huu Raila anaungwa mkono na Uhuru Kenyatta. Je,CHADEMA watalazimika kumuunga mkono William Ruto ama itabidi wamsupport mjaluo Raila Omolo Odinga.
 
Wanasiasa wanajua wanachotaka ila sasa Kuna "Misukule aka Bots" aisee mpaka inasikitisha.

Yenyewe inayumbishwa tu kama matawi ya miti. Vichwa vyao walisha kabidhi kwa Mwambaaaa aka FAZAAAA.

Kwa lugha rahisi, Nani ataungwa mkono itategemeana FAzaaa atamtaka yupi?

Screenshot_2022-03-12-21-49-32-868_com.twitter.android.png


Screenshot_2022-03-31-06-36-53-850_com.twitter.android.png
 
Back
Top Bottom