Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,546
1,725
John Perkins, kachero wa National Security Agancey (NSA) ya U. S anasimulia jinsi ambavyo US huzifanyia nchi masikini duniani ili kuweza kuzinyonya na kupata rasilimali zake. Katika kitabu chake cha Economic Hit Men, Perkins anaeleza mbinu mbalimbali hasa kupitia mitambo ya umeme na uzalishaji nishati kuzipa madeni makubwa na tozo kubwa nchi hizo kama njia ya kuzifilisi na kuzifanya tegemezi huku wakiongeza shida kwa wananchi. Richmond na Escrow vinawea kuwa mfano, jisomee!

resistir.info/livros/john_perkins_confessions_of_an_economic_hit_man.pdf

Zaidi ya hapo John Perkins ameelezea namna ambavyo Economic Hit Men (EHM) hutumwa na serikali yao kupitia mashirika na makampuni mbalimbali makubwa kuwatapeli viongozi wa nci masikini waingie mikataba hiyo ya kitapeli. Perkins anasema wakishindwa kuwashawishi viongozi 'wagumu' mbinu ya kuwaua hutumika. Perkins ametoa mifano ya viongozi waliowahi kuliwa kwa njia mbalimbali na hata kupinduliwa.

Perkins anasema jaribio la kumuua likishindikana basi nchi husika hupelekewa vita. Mfano anaoutoa hapa ni wa Iraq kwa Saddam Hussein.

Ukisoma kitabu hicho cha Economic Hitman utakuta kabisa MCC ni moja ya mpango ulioandaliwa na Economic Hit Men. Perkins anasema nini hutokea endapo Economic Hit Men wakishindwa?

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to the presidents of two countries, men who had been my clients , whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos , president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental. They were assassinated because they opposed that fraternity of corporate , government, and banking heads whose goal is global empire . We EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d us, stepped in.

Perkins anaeleza wao ni akina nani, wanafanya nini na sababu iliyompelekea kuhatarisha maisha yake kuandika hiki kitabu.

That is what we EHMs do best: we build a global empire. We are an elite group of men and women who utilize international financia l organizations to foment conditions that make other nations subservient to the corporatocracy running our biggest corporations, ou r government, and our banks. Like our counterparts in the Mafia, EHMs provide favors. These take the form of loans to develop infrastructure — electric generating plants, highways, ports, airports, or industrial parks. A condition of such loans is that engineering an d construction companies from our own country must build all thes e projects. In essence, most of the money never leaves the United States; it is simply transferred from banking offices in Washington to engineering offices in New York, Houston, or San Francisco.

Najaribu kutafakari haya masimulizi ya Perkins kama yana ukweli na hatima ya msimamo wa rais Magufuli kwa U.S. Japo wengi wetu ni wavivu wa kusoma, kitabu hiki che Economic Hit Man kinafaa sana kusomwa hasa na watu wanaopenda kufikiri
 
Tatizo ndiyo lipo hapo Mkuu, kusoma na kufikiri. Si wanasema ukitaka kumficha kitu mwafrika na hasa mtanzania , weka kwenye maandishi.
 
Tatizo kubwa zaidi ni wewe uliyesoma na kuwa na Tafsiri yako ,tafsiri yako ya tafsiri ya Mwandishi kwa uhasilia wa ipango ya US, Sasa mahubiri yako ya Tafsiri ya Tafsiri ndio shida kubwa kwa nchi km yetu ambayo habari za kuhadithiwa zinaweza sambaa km moto wa pori kavu.
 
Hajawakatalia kutukamua,:wenyewe ndo wameondoa msaada wao, wakija kivingine watatukamua tu maana hakuna namna, km ulivyosikia uingereza iko tayari kufidia hela za MCC! bado raisi wetu yuko salama kwa mujibu wa hicho kitabu!
 
katika dunia hii ya leo ni vigumu kwenda na mfumo wa ujamaa kwenye kuendesha nchi kiuchumi.madeni ya nje na kutegemea wafadhili(mabepari) kwenye bajeti ndivyo vinavyotufanya tuwe tegemezi daima.Mwl Nyerere alisema "ubepari ni unyama". tuko mikononi mwa wanyama hao,na ukizingatia ulafi wa viongozi wa kiafrika hawatatuachia ng'o!
 
Tatizo kubwa zaidi ni wewe uliyesoma na kuwa na Tafsiri yako ,tafsiri yako ya tafsiri ya Mwandishi kwa uhasilia wa ipango ya US, Sasa mahubiri yako ya Tafsiri ya Tafsiri ndio shida kubwa kwa nchi km yetu ambayo habari za kuhadithiwa zinaweza sambaa km moto wa pori kavu.
Mmh, hata kwa macho huyaoni mkuu
 
Confessions of an Economic Hit Man reveals a game that, according to John Perkins, is "as old as Empire" but has taken on new and terrifying dimensions in an era of globalization. And Perkins should know. For many years he worked for an international consulting firm where his main job was to convince LDCs (less developed countries) around the world to accept multibillion-dollar loans for infrastructure projects and to see to it that most of this money ended up at Halliburton, Bechtel, Brown and Root, and other United States engineering and construction companies. This book, which many people warned Perkins not to write, is a blistering attack on a little-known phenomenon that has had dire consequences on both the victimized countries and the U.S
 
katika dunia hii ya leo ni vigumu kwenda na mfumo wa ujamaa kwenye kuendesha nchi kiuchumi.madeni ya nje na kutegemea wafadhili(mabepari) kwenye bajeti ndivyo vinavyotufanya tuwe tegemezi daima.Mwl Nyerere alisema "ubepari ni unyama". tuko mikononi mwa wanyama hao,na ukizingatia ulafi wa viongozi wa kiafrika hawatatuachia ng'o!
Nyerere kwa akili za kijamaa na mafundisho yake ya kusaidia masikini hawezi ona shida. Ktk uhasilia masikini nae anatakiwa kuwa responsible. Wajamaa wanawalaumnu mabepari kwa makosa ya ujamaa wao. Wajamaa hata siku moja hawana msaada kwa mabepari kwa vile siku zote wajamaa ni masikini.Ni masikini kuanzia ktk akili.

wajamaa wakiona mabepari wamefilisika wanashangilia, wao wakiwa na na njaa na haiwaishi, wanawalaumu wajamaa. Ukweli ni kwamba wajamaa hufanya kazi za hasara kwa vile hawa malengo wala uhasilia, sio watu honest kwa nafsi zao.
 
Kuna dynamics nyingi sana katika kila hatua za economics development. Pengine huyu Perkins kaamua kusema hivyo wakati huo huo wameshaadvance na njia nyingine ya kutunyonya. Angalia namna ambavyo uchumi wa nchi nyingi unavyotegemea matajiri kuendesha serikali...kiasi cha kuhatarisha usalama wa nchi kama matajiri hao wataamua kuacha kutoa huduma. Kuligeuza hilo...kuna gharama kubwa sana ya muda hadi mje mkae sawa, mtakuwa mmeshakaribiana na North Korea kutukanwa na kuitwa majina yote mabaya kutoka kwenye media za mataifa makubwa.
 
Mkuu umenipa kitu cha ziada! Nimependa hapa mwanzo anavyoanza:-

" It is a riveting story that needs to be told, we live in a time of terrible crisis- and tremendous opportunity. The story of this particular economic hit man is the story of how we got to where we are and why we currently face crisis that seem insurmountable."

Haya majanga yote ya sukari etc hutengenezwa na hawa Economic Hit Man! Siyo lazima wawe wamarekani lakini pia tunaishi na tunalala nao hapa hapa Tanzania! Wanapita kila siku na tunapigia makofi na kuwaona watu wa maana kwel kweli ila usiku ni watu wa mipango mikali ya kuiangusha serikali!
 
Tatizo kubwa zaidi ni wewe uliyesoma na kuwa na Tafsiri yako ,tafsiri yako ya tafsiri ya Mwandishi kwa uhasilia wa ipango ya US, Sasa mahubiri yako ya Tafsiri ya Tafsiri ndio shida kubwa kwa nchi km yetu ambayo habari za kuhadithiwa zinaweza sambaa km moto wa pori kavu.

Kitabu kina pages 148, hakuna cha kutafsiri, kayasema yote na mengi tena kwa bayana kabisa. Uvivu wetu wa kusoma ni tatizo.

Noriega was also saddle d with a U.S. president who suffered from an image problem, what journalists referred to as George H . W. Bush's "wimp factor."4 This took on special significance when Noriega adamantly refused t o consider a fifteen-year extension for the School of the Americas . The general's memoirs provide an interesting insight :

As determined and proud as we were to follow through with Torrijos's legacy, the United States didn't want any of this to happen. They wanted an extension or a renegotiation for the installation [School of the Americas] , saying that with their growing war preparations in Central America, they still needed it. But that School of the Americas was an embarrassment to us. We didn't want a training ground for death squads and repressive rightwing militaries on our soil.5

Perhaps, therefore, the world should have anticipated it, but in fact the world was stunned when, on December 20, 1989, the United States attacked Panama with what was reported to be the largest air borne assault on a city since World War II.6 It was an unprovoked attack on a civilian population. Panama and her people posed absolutely no threat to the United States or to any other country . Politicians, governments, and press around the world denounced the unilateral U.S. action as a clear violation of international law.

Had this military operation been directed against a country that had committed mass murder or other human rights crimes — Pinochet's Chile, Stroessner's Paraguay, Somosa's Nicaragua, D'Aubuisson's El Salvador, or Saddam's Iraq, for example—the world might have understood. But Panama had done nothing of the sort; it had merely dared to defy the wishes of a handful of powerful politicians and cor porate executives.
 
Kuna dynamics nyingi sana katika kila hatua za economics development. Pengine huyu Perkins kaamua kusema hivyo wakati huo huo wameshaadvance na njia nyingine ya kutunyonya. Angalia namna ambavyo uchumi wa nchi nyingi unavyotegemea matajiri kuendesha serikali...kiasi cha kuhatarisha usalama wa nchi kama matajiri hao wataamua kuacha kutoa huduma. Kuligeuza hilo...kuna gharama kubwa sana ya muda hadi mje mkae sawa, mtakuwa mmeshakaribiana na North Korea kutukanwa na kuitwa majina yote mabaya kutoka kwenye media za mataifa makubwa.
Huyo mwandishi alichoandika ni tasfiri yake km ya wenzie wa haki za binadamu wanavyoweza tafsiri mchujo kuhusu wahamiaji wanaingia ulaya kwa fujo.

wajamaa huwezi fanya nao kazi wasiseme wanaibiwa.Ingawa wenyewe ndio wanaibiana sana. WAJAMAA NI KM NDUGU ASIYE NA BUSARA YA HELA, UKIMWAMBIA NAKUTUKANA USIMPANGIE HELA YAKE, AKIZIMALIZA ANAKUJA KUKULILIA, UKIWA HUNA ANAKUTOSA. KWA UJUMLA NI NDUGU AMBAYE ANACHEZA NA UMAKINI NA KUWAJIBIKA KWAKO. tUSIJITOE AKILI KIASI HIKI NA KUTUMIA AKILI ZA WAPUUZI WA PALE UDSM KUDANDIA HOJA NA KUELEZEA WAPENDAVYO,KWA VILE NI CARELESS KM MIRENGO WANAYOIAMINI .
 
Hawa jamaa ubunifu ni moja ya vipaji vyao,Na ukiona ameamua kuliweka wazi hili ujue na mikakati mipya (Advanced strategies) imeishaandaliwa Kwa ajili ya maboresho ya unyonyaji,Hawa wazungu hawazitakii mema kabisa nchi maskini hasa za Kiafrika na Kiarabu!!
 
Mkuu umenipa kitu cha ziada! Nimependa hapa mwanzo anavyoanza:-

" It is a riveting story that needs to be told, we live in a time of terrible crisis- and tremendous opportunity. The story of this particular economic hit man is the story of how we got to where we are and why we currently face crisis that seem insurmountable."

Haya majanga yote ya sukari etc hutengenezwa na hawa Economic Hit Man! Siyo lazima wawe wamarekani lakini pia tunaishi na tunalala nao hapa hapa Tanzania! Wanapita kila siku na tunapigia makofi na kuwaona watu wa maana kwel kweli ila usiku ni watu wa mipango mikali ya kuiangusha serikali!

Nimeona angalau tuwe na ufahamu wa haya mambo,kumbe muda mwingine tunalalamika na kuwazomea watu wasio na hatia halafu tunawasifia na kuwakumbatia wasiofaa. Kama hapa ona anavyowaelezea watu wasiojua kitu halafu wanajiona wamekwenda shule

Like U.S. citizens in general, most MAIN employees believed w e were doing countries favors when we built power plants, highways, and ports. Our schools and our press have taught us to perceive all of our actions as altruistic. Over the years, I've repeatedly heard comments like, "If they're going to burn the U.S . flag and demonstrate against our embassy, why don't we just get out of their damn country and let them wallow in their own poverty? " People who say such things often hold diplomas certifying that they are well educated. However, these people have no clue that the main reason we establish embassies around the world is to serve our own interests, which during the last half of the twentieth century meant turning the American republic into a global empire. Despite credentials, such people are as uneducated as those eighteenth century colonists who believed that the Indians fighting to defend their lands were servants of the devil.
 
Back
Top Bottom