Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Udikteta mara nyingi hautarajiwi. Udikteta mwingine, ulianza kwenye maeneo ambayo watu tayari ni wenye mafanikio, wenye elimu na wakulima ambao walionekana salama kuweza kufanikiwa bila ya uhitaji...
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Vyama vya kikomunist ulimwenguni kama Chinese people's party, bolshevik party cha Russia, na vingine duniani. Vyama hivyo vina tabia moja kuu inayofanana, tabia hiyo ni kukiunganisha chama pamoja...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wafuatiliaji wa Siasa hapa Tanzania toka mfumo wa vyama vingi uanze mnamo mwaka 1992, kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi CHADEMA kimekuwa chama kikubwa ambacho kiliweza kuhamasisha...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema takwimu za matukio ya vitendo vya ukatili Nchini vilivyoripotiwa kwenye vituo vya Polisi kuanzia mwaka 2019 hadi Machi, 2022 ni 27,838. Masauni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Serikali imeeleza kuwa ongezeko la matumizi ya miamla ya fedha kwa njia ya simu imewapa wazo la kutunga sheria kutambua njia hizo zitambulike ikiwezekana kwa kuangalia uchumi wa mtu na itumike...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari Wana jamvi na JF Kwa ujumla, natumai kama unaweza soma na kupitia Uzi huu hapa leo tarehe 06 mwezi wa 04, 2022 ina maana upo hai na unapumua kwa kudra za Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
MHE. RIDHIWANI AZINDUA KIKAO CHA WENYEVITI MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA, ASISITIZA UADILIFU NA KUKEMEA VIKALI RUSHWA. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ameoneshwa kusikitishwa na baadhi ya masuala yaliyowasilishwa na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya...
9 Reactions
50 Replies
5K Views
Siasa kuna mahali inahitaji Weledi kuliko Misimamo mikali. Mh Rais alisafiri hadi Ubelgiji,na akakubali Ombi la Makamu mwenyekiti wa Chadema aliyeko huko Ubelgiji,ukimbizini. Na hatimae kufanya...
10 Reactions
142 Replies
5K Views
Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema Vijana wengi wana wamesoma hadi ngazi ya Chuo na kupata Elimu lakini Ajira imekuwa changamoto. Akizungumza Bungeni amesisitiza hatua zisipochukuliwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo. Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti. Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Wilayani Meatu mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina amemlilia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akimtaja kama kiongozi wa mfano na kielelezo barani Afrika...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
UCHAMBUZI- HAYA NDIYO MAENEO YALIYOREKEBISHWA KWENYE KATIBA YA CCM YA MWAKA 1977. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatano Aprili 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 9 nimechambua maeneo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mada hii aliwahi kuandika... Prof.Mkumbo (kabla hajakengeuka!) kuwa tumeweka viwango vya chini mno kuwapima viongozi wetu! Ukifuatilia mijadala inayoendelea hapa nchi kuhusu masuala nyeti kama...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Watu wa Tanganyika wenye makazi ya kudumu Zanzibar na Wazanzibar wenye makazi ya kudumu Tanganyika, wapewe uhiari, haki na uraia wa kuendelea kuishi Zanzibar au Tanganyika mtawalia. Endapo...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nikiwa kama Raia wa Kawaida wa Tanzania nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema kwa kukataa kushiriki Mkutano ulioiitwa wa wadau wa siasa ulioandaliwa na TCD , hii ni kwa sababu Mkutano huo pamoja...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwaka 2019 bank ya dunia ilitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati miaka mitano mapema zaidi kinyume na ilivyokuwa imetabiriwa kwamba itachukua miaka kumi. Je, kuwahi huku kuingia uchumi wa kati...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Mkuu wa nchi ambae ndio ndio custodian wa mali za taifa la watanzania kudai kuwa hawezi kufokea mtumishi wa umma ni kushangaza umma wa watanzania. Kwamba watumishi wa umma wakiharibu...
33 Reactions
259 Replies
11K Views
  • Closed
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa...
34 Reactions
375 Replies
44K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…