Uwezo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo na mabadiliko yananyoendelea ndani ya CCM ni anguko la CHADEMA

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,161
1,493
Kwa wale wafuatiliaji wa Siasa hapa Tanzania toka mfumo wa vyama vingi uanze mnamo mwaka 1992, kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi CHADEMA kimekuwa chama kikubwa ambacho kiliweza kuhamasisha Wananchi hasa vijana kukiunga mkono kupitia sera zake.

Vijana wengi waliunga mkono CHADEMA si kutokana na sera zake bali ni ushawishi wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA. Si haba CHADEMA imeweahi kuwa tishio hasa walipofanya usajili wa Mzee wetu Edward Lowassa katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja toka achukue jukumu la kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameonyesha uwezo mkubwa saana katika kusimamia mambo mengi ambayo kwa miaka mingi yamekuwa kitendawili kwa Watanzania na kufanya vyama vya upinzani kupata agenda za kusemea kwa Wananchi.

Kwa mara ya kwanza toka Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961 Watanzania wanashuhudia Wanafunzi wote kuanzia elimu ya awali mpaka form six hakuna mwanafunzi anayekaa chini, Serikali ya awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Shule za Sekondari 257, Shule za Msingi 9 na kujenga vyumba vya madarasa 18,219 pamoja na ujenzi wa matundu 5872 ya vyoo kwa ajili ya vituo shikizi, Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, katika mwaka mmoja wa Mama Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa maboma ya vyumba vya madarasa 4,525 ambayo maboma mengi yalianzishwa kwa nguvu za Wananchi au Halkmashauri za Wilaya. Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kujua umuhimu wa kuwepo kwa Wanasayansi ndani ya mwaka mmoja amejenga vyumba vya maabara 1,399.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mh. Samia Suluhu Hassan katika Elimu kwa kweli amemaliza kila kitu, kazi ambayo ilitakiwa ifanyike kwa muda wa miaka 10 ameifanya kwa mwaka mmoja. Wananch wameona, wameelewa na kila kona ya Tanzania Wanashukuru kwa jinsi Shule mpya, Vyumba vya madarasa, vyumba vya maabara na ujenzi wa matundu wa vyoo ulivyofanyika na kuwezesha Watoto wa Watanzania kuepukana na shida ya kukaa chini ikiwa ni pamoja kutembea umbali mrefu kufuata shule.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya Elimu msingi ? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Hospital mpya 28, Vituo vya Afya 288, Zahanati 615, majengo ya Wagonjwa mahututi 26, Majengo ya huduma za dharura 80 na nyumba za Watumishi zaidi ya 400. Huyu Mama Mungu amsimamie, hakuna aliyewahi kufanya kazi kubwa kama hii ndani ya mwaka mmoja, ametatua kero kubwa ya akina mama kutembea umbali wa muda mrefu kufuata huduma za Afya wakati wakujifungua, Mama usife moyo Watanzania wanaona na tunakuombea saana.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya huduma za Afya? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya Afya inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Kwa muda mrefu vyama vya Upinznani vilikuwa vinapiga kelele juu ya uwazi wa Serikali katika Fedha inazopata/kukopa nje, Mama Samia Suluhu Hassan ameruhusu uwazi, je ni nani asiyejua hela za Covid tulipewa shingapi? na zimefanya kazi gani? semeni yote lakini Tanzania ya Samia Suluhu Hassan ni Serikali ya uwazi.

Kwa namna Rais Samia Suluhu Hassan anvyosimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kwa namna Mawaziri wanavyozunguka kutatua changamoto za Wananchi, kwa namna Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wanavyo hangaika usiku na mchana kutatua changamoto za Wananchi sioni Uhai wowote kwa vyama vya Upinzani hasa hivi vyama ambavyo havina itikadi wala sera zaidi ya kudandia matukio.

Nikiangalia namana CCM inavyofanya Reform ya uongozi wake, nikiangalia safu ya ya Uongozi wa CCM kwa sasa ulivyo imara na namna wanavyoendesha siasa zake kisayansi na kistaarabu, nikimuangalia Katibu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo nikamuangalia mdogo wangu John Mnyika naona kabisa Mbingu na Ardhi, Chadema sasa haiwezi saidiwa na wale wanaharakati walio kimbilia nje au hawa wa mitandaoni, sioni namna yeyote CHADEMA ambacho ndio chama kikuu cha Upinzani kinavyoweza kupambana na CCM ya sasa
CCM IMARA inahitaji upinzani Imara lakini sio upinzani huu wa akina Pambalu.

TANZANIA YA WATANZANIA.
JENGA AFYA YAKO KWA KUFANYA MAZOEZI
 
mtoa uzi hajui wala anaamini kitu gani, walipofukuzwa wale jamaa alisifia, leo wamerudishwa anasifia, duh napata tabu sana kujua baadhi ya jamaa wanafikiria nini na wana amini nini, kwa ufupi nchi hii inashida sana, yani kama wehu tu
 
Kwa wale wafuatiliaji wa Siasa hapa Tanzania toka mfumo wa vyama vingi uanze mnamo mwaka 1992, kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi CHADEMA kimekuwa chama kikubwa ambacho kiliweza kuhamasisha Wananchi hasa vijana kuk I hi hi hiiunga mkono kupitia sera zake. Vijana wengi waliunga mkono CHADEMA si kutokana na sera zake bali ni ushawishi wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA. Si haba CHADEMA imeweahi kuwa tishio hasa walipofanya usajili wa Mzee wetu Edward Lowassa katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja toka achukue jukumu la kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameonyesha uwezo mkubwa saana katika kusimamia mambo mengi ambayo kwa miaka mingi yamekuwa kitendawili kwa Watanzania na kufanya vyama vya upinzani kupata agenda za kusemea kwa Wananchi.

Kwa mara ya kwanza toka Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961 Watanzania wanashuhudia Wanafunzi wote kuanzia elimu ya awali mpaka form six hakuna mwanafunzi anayekaa chini, Serikali ya awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Shule za Sekondari 257, Shule za Msingi 9 na kujenga vyumba vya madarasa 18,219 pamoja na ujenzi wa matundu 5872 ya vyoo kwa ajili ya vituo shikizi, Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, katika mwaka mmoja wa Mama Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa maboma ya vyumba vya madarasa 4,525 ambayo maboma mengi yalianzishwa kwa nguvu za Wananchi au Halkmashauri za Wilaya. Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kujua umuhimu wa kuwepo kwa Wanasayansi ndani ya mwaka mmoja amejenga vyumba vya maabara 1,399.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mh. Samia Suluhu Hassan katika Elimu kwa kweli amemaliza kila kitu, kazi ambayo ilitakiwa ifanyike kwa muda wa miaka 10 ameifanya kwa mwaka mmoja. Wananch wameona, wameelewa na kila kona ya Tanzania Wanashukuru kwa jinsi Shule mpya, Vyumba vya madarasa, vyumba vya maabara na ujenzi wa matundu wa vyoo ulivyofanyika na kuwezesha Watoto wa Watanzania kuepukana na shida ya kukaa chini ikiwa ni pamoja kutembea umbali mrefu kufuata shule.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya Elimu msingi ? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Hospital mpya 28, Vituo vya Afya 288, Zahanati 615, majengo ya Wagonjwa mahututi 26, Majengo ya huduma za dharura 80 na nyumba za Watumishi zaidi ya 400. Huyu Mama Mungu amsimamie, hakuna aliyewahi kufanya kazi kubwa kama hii ndani ya mwaka mmoja, ametatua kero kubwa ya akina mama kutembea umbali wa muda mrefu kufuata huduma za Afya wakati wakujifungua, Mama usife moyo Watanzania wanaona na tunakuombea saana.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya huduma za Afya? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya Afya inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Kwa muda mrefu vyama vya Upinznani vilikuwa vinapiga kelele juu ya uwazi wa Serikali katika Fedha inazopata/kukopa nje, Mama Samia Suluhu Hassan ameruhusu uwazi, je ni nani asiyejua hela za Covid tulipewa shingapi? na zimefanya kazi gani? semeni yote lakini Tanzania ya Samia Suluhu Hassan ni Serikali ya uwazi.

Kwa namna Rais Samia Suluhu Hassan anvyosimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kwa namna Mawaziri wanavyozunguka kutatua changamoto za Wananchi, kwa namna Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wanavyo hangaika usiku na mchana kutatua changamoto za Wananchi sioni Uhai wowote kwa vyama vya Upinzani hasa hivi vyama ambavyo havina itikadi wala sera zaidi ya kudandia matukio.

Nikiangalia namana CCM inavyofanya Reform ya uongozi wake, nikiangalia safu ya ya Uongozi wa CCM kwa sasa ulivyo imara na namna wanavyoendesha siasa zake kisayansi na kistaarabu, nikimuangalia Katibu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo nikamuangalia mdogo wangu John Mnyika naona kabisa Mbingu na Ardhi, Chadema sasa haiwezi saidiwa na wale wanaharakati walio kimbilia nje au hawa wa mitandaoni, sioni namna yeyote CHADEMA ambacho ndio chama kikuu cha Upinzani kinavyoweza kupambana na CCM yYA YAKO KWA KUFANYA MAZOEZI

Kwa wale wafuatiliaji wa Siasa hapa Tanzania toka mfumo wa vyama vingi uanze mnamo mwaka 1992, kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi CHADEMA kimekuwa chama kikubwa ambacho kiliweza kuhamasisha Wananchi hasa vijana kukiunga mkono kupitia sera zake. Vijana wengi waliunga mkono CHADEMA si kutokana na sera zake bali ni ushawishi wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA. Si haba CHADEMA imeweahi kuwa tishio hasa walipofanya usajili wa Mzee wetu Edward Lowassa katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja toka achukue jukumu la kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameonyesha uwezo mkubwa saana katika kusimamia mambo mengi ambayo kwa miaka mingi yamekuwa kitendawili kwa Watanzania na kufanya vyama vya upinzani kupata agenda za kusemea kwa Wananchi.

Kwa mara ya kwanza toka Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961 Watanzania wanashuhudia Wanafunzi wote kuanzia elimu ya awali mpaka form six hakuna mwanafunzi anayekaa chini, Serikali ya awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Shule za Sekondari 257, Shule za Msingi 9 na kujenga vyumba vya madarasa 18,219 pamoja na ujenzi wa matundu 5872 ya vyoo kwa ajili ya vituo shikizi, Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, katika mwaka mmoja wa Mama Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa maboma ya vyumba vya madarasa 4,525 ambayo maboma mengi yalianzishwa kwa nguvu za Wananchi au Halkmashauri za Wilaya. Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kujua umuhimu wa kuwepo kwa Wanasayansi ndani ya mwaka mmoja amejenga vyumba vya maabara 1,399.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mh. Samia Suluhu Hassan katika Elimu kwa kweli amemaliza kila kitu, kazi ambayo ilitakiwa ifanyike kwa muda wa miaka 10 ameifanya kwa mwaka mmoja. Wananch wameona, wameelewa na kila kona ya Tanzania Wanashukuru kwa jinsi Shule mpya, Vyumba vya madarasa, vyumba vya maabara na ujenzi wa matundu wa vyoo ulivyofanyika na kuwezesha Watoto wa Watanzania kuepukana na shida ya kukaa chini ikiwa ni pamoja kutembea umbali mrefu kufuata shule.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya Elimu msingi ? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Hospital mpya 28, Vituo vya Afya 288, Zahanati 615, majengo ya Wagonjwa mahututi 26, Majengo ya huduma za dharura 80 na nyumba za Watumishi zaidi ya 400. Huyu Mama Mungu amsimamie, hakuna aliyewahi kufanya kazi kubwa kama hii ndani ya mwaka mmoja, ametatua kero kubwa ya akina mama kutembea umbali wa muda mrefu kufuata huduma za Afya wakati wakujifungua, Mama usife moyo Watanzania wanaona na tunakuombea saana.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya huduma za Afya? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya Afya inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Kwa muda mrefu vyama vya Upinznani vilikuwa vinapiga kelele juu ya uwazi wa Serikali katika Fedha inazopata/kukopa nje, Mama Samia Suluhu Hassan ameruhusu uwazi, je ni nani asiyejua hela za Covid tulipewa shingapi? na zimefanya kazi gani? semeni yote lakini Tanzania ya Samia Suluhu Hassan ni Serikali ya uwazi.

Kwa namna Rais Samia Suluhu Hassan anvyosimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kwa namna Mawaziri wanavyozunguka kutatua changamoto za Wananchi, kwa namna Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wanavyo hangaika usiku na mchana kutatua changamoto za Wananchi sioni Uhai wowote kwa vyama vya Upinzani hasa hivi vyama ambavyo havina itikadi wala sera zaidi ya kudandia matukio.

Nikiangalia namana CCM inavyofanya Reform ya uongozi wake, nikiangalia safu ya ya Uongozi wa CCM kwa sasa ulivyo imara na namna wanavyoendesha siasa zake kisayansi na kistaarabu, nikimuangalia Katibu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo nikamuangalia mdogo wangu John Mnyika naona kabisa Mbingu na Ardhi, Chadema sasa haiwezi saidiwa na wale wanaharakati walio kimbilia nje au hawa wa mitandaoni, sioni namna yeyote CHADEMA ambacho ndio chama kikuu cha Upinzani kinavyoweza kupambana na CCM ya sasa
CCM IMARA inahitaji upinzani Imara lakini sio upinzani huu wa akina Pambalu.

TANZANIA YA WATANZANIA.
JENGA AFYA YAKO KWA KUFANYA MAZOEZI
ni

Hongera

😀😀😀😀😀😀
Na malipo yako yameshapandishwa au ni ile ile buku saba?

Yale Yale wakati wa mwendazake mlikuwa mnatuletea takwimu feki. Kama mwendazake alishajenga madarasa lukuki, vituo lukuki vya afya, matundu lukuki ya vyoo, alishanunua madawati yote, Sasa hayo maujenzi yoote ya Samia ya nini tena?

Ccm bana! Kesho akitoka Samia akiingia mwingine mtakuja na mashairi ya sifa hivi hivi.

Tanzania kila rasilimali tunayo lakini miaka 60 sasa bado tunaombaomba msaada wa matundu ya vyoo.
 
Kwa wale wafuatiliaji wa Siasa hapa Tanzania toka mfumo wa vyama vingi uanze mnamo mwaka 1992, kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi CHADEMA kimekuwa chama kikubwa ambacho kiliweza kuhamasisha Wananchi hasa vijana kukiunga mkono kupitia sera zake. Vijana wengi waliunga mkono CHADEMA si kutokana na sera zake bali ni ushawishi wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA. Si haba CHADEMA imeweahi kuwa tishio hasa walipofanya usajili wa Mzee wetu Edward Lowassa katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja toka achukue jukumu la kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameonyesha uwezo mkubwa saana katika kusimamia mambo mengi ambayo kwa miaka mingi yamekuwa kitendawili kwa Watanzania na kufanya vyama vya upinzani kupata agenda za kusemea kwa Wananchi.

Kwa mara ya kwanza toka Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961 Watanzania wanashuhudia Wanafunzi wote kuanzia elimu ya awali mpaka form six hakuna mwanafunzi anayekaa chini, Serikali ya awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Shule za Sekondari 257, Shule za Msingi 9 na kujenga vyumba vya madarasa 18,219 pamoja na ujenzi wa matundu 5872 ya vyoo kwa ajili ya vituo shikizi, Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, katika mwaka mmoja wa Mama Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa maboma ya vyumba vya madarasa 4,525 ambayo maboma mengi yalianzishwa kwa nguvu za Wananchi au Halkmashauri za Wilaya. Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kujua umuhimu wa kuwepo kwa Wanasayansi ndani ya mwaka mmoja amejenga vyumba vya maabara 1,399.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mh. Samia Suluhu Hassan katika Elimu kwa kweli amemaliza kila kitu, kazi ambayo ilitakiwa ifanyike kwa muda wa miaka 10 ameifanya kwa mwaka mmoja. Wananch wameona, wameelewa na kila kona ya Tanzania Wanashukuru kwa jinsi Shule mpya, Vyumba vya madarasa, vyumba vya maabara na ujenzi wa matundu wa vyoo ulivyofanyika na kuwezesha Watoto wa Watanzania kuepukana na shida ya kukaa chini ikiwa ni pamoja kutembea umbali mrefu kufuata shule.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya Elimu msingi ? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Hospital mpya 28, Vituo vya Afya 288, Zahanati 615, majengo ya Wagonjwa mahututi 26, Majengo ya huduma za dharura 80 na nyumba za Watumishi zaidi ya 400. Huyu Mama Mungu amsimamie, hakuna aliyewahi kufanya kazi kubwa kama hii ndani ya mwaka mmoja, ametatua kero kubwa ya akina mama kutembea umbali wa muda mrefu kufuata huduma za Afya wakati wakujifungua, Mama usife moyo Watanzania wanaona na tunakuombea saana.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya huduma za Afya? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya Afya inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Kwa muda mrefu vyama vya Upinznani vilikuwa vinapiga kelele juu ya uwazi wa Serikali katika Fedha inazopata/kukopa nje, Mama Samia Suluhu Hassan ameruhusu uwazi, je ni nani asiyejua hela za Covid tulipewa shingapi? na zimefanya kazi gani? semeni yote lakini Tanzania ya Samia Suluhu Hassan ni Serikali ya uwazi.

Kwa namna Rais Samia Suluhu Hassan anvyosimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kwa namna Mawaziri wanavyozunguka kutatua changamoto za Wananchi, kwa namna Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wanavyo hangaika usiku na mchana kutatua changamoto za Wananchi sioni Uhai wowote kwa vyama vya Upinzani hasa hivi vyama ambavyo havina itikadi wala sera zaidi ya kudandia matukio.

Nikiangalia namana CCM inavyofanya Reform ya uongozi wake, nikiangalia safu ya ya Uongozi wa CCM kwa sasa ulivyo imara na namna wanavyoendesha siasa zake kisayansi na kistaarabu, nikimuangalia Katibu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo nikamuangalia mdogo wangu John Mnyika naona kabisa Mbingu na Ardhi, Chadema sasa haiwezi saidiwa na wale wanaharakati walio kimbilia nje au hawa wa mitandaoni, sioni namna yeyote CHADEMA ambacho ndio chama kikuu cha Upinzani kinavyoweza kupambana na CCM ya sasa
CCM IMARA inahitaji upinzani Imara lakini sio upinzani huu wa akina Pambalu.

TANZANIA YA WATANZANIA.
JENGA AFYA YAKO KWA KUFANYA MAZOEZI
Chadema mwaka 2025 hawatokuwa na mgombea wa maana baada ya waliokuwa wanawategemea kuangukia pua kwa nyakati mbali mbali. Kidogo dr mihogo aliwahi kuleta mshike mshike ila yule mbeleji ndio alitia aibu kabisa toka uchaguzi wa vyama vingi uanze nchini.

Fikiria mtu pamoj na kuishi ulaya zaidi ya miaka mitatu lakini alikosa wahudhuriaji katika mikutano yake mingi, matokeo yake akasababisha chama chake kikose wabunge hata watatu tu wa kuchaguliwa.

Hii ilikuwa aibu ya mwaka iliyopelekea mgombea huyu kutimkia ulaya huku akiwalaghai chawa wao kuwa alikuwa anatishiwa maisha yake nk.

images (7).jpeg

Mkutano wa mbeleji katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020

download (2).jpeg

Hapa chini ni nyomi la dr Slaa ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. So unaweza kupata picha ni jinsi gani dr Slaa alikuwa na nguvu za kisiasa zaidi ya mbeleji wenu.
 
Kwa wale wafuatiliaji wa Siasa hapa Tanzania toka mfumo wa vyama vingi uanze mnamo mwaka 1992, kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi CHADEMA kimekuwa chama kikubwa ambacho kiliweza kuhamasisha Wananchi hasa vijana kukiunga mkono kupitia sera zake. Vijana wengi waliunga mkono CHADEMA si kutokana na sera zake bali ni ushawishi wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA. Si haba CHADEMA imeweahi kuwa tishio hasa walipofanya usajili wa Mzee wetu Edward Lowassa katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja toka achukue jukumu la kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameonyesha uwezo mkubwa saana katika kusimamia mambo mengi ambayo kwa miaka mingi yamekuwa kitendawili kwa Watanzania na kufanya vyama vya upinzani kupata agenda za kusemea kwa Wananchi.

Kwa mara ya kwanza toka Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961 Watanzania wanashuhudia Wanafunzi wote kuanzia elimu ya awali mpaka form six hakuna mwanafunzi anayekaa chini, Serikali ya awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Shule za Sekondari 257, Shule za Msingi 9 na kujenga vyumba vya madarasa 18,219 pamoja na ujenzi wa matundu 5872 ya vyoo kwa ajili ya vituo shikizi, Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, katika mwaka mmoja wa Mama Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa maboma ya vyumba vya madarasa 4,525 ambayo maboma mengi yalianzishwa kwa nguvu za Wananchi au Halkmashauri za Wilaya. Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kujua umuhimu wa kuwepo kwa Wanasayansi ndani ya mwaka mmoja amejenga vyumba vya maabara 1,399.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mh. Samia Suluhu Hassan katika Elimu kwa kweli amemaliza kila kitu, kazi ambayo ilitakiwa ifanyike kwa muda wa miaka 10 ameifanya kwa mwaka mmoja. Wananch wameona, wameelewa na kila kona ya Tanzania Wanashukuru kwa jinsi Shule mpya, Vyumba vya madarasa, vyumba vya maabara na ujenzi wa matundu wa vyoo ulivyofanyika na kuwezesha Watoto wa Watanzania kuepukana na shida ya kukaa chini ikiwa ni pamoja kutembea umbali mrefu kufuata shule.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya Elimu msingi ? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Hospital mpya 28, Vituo vya Afya 288, Zahanati 615, majengo ya Wagonjwa mahututi 26, Majengo ya huduma za dharura 80 na nyumba za Watumishi zaidi ya 400. Huyu Mama Mungu amsimamie, hakuna aliyewahi kufanya kazi kubwa kama hii ndani ya mwaka mmoja, ametatua kero kubwa ya akina mama kutembea umbali wa muda mrefu kufuata huduma za Afya wakati wakujifungua, Mama usife moyo Watanzania wanaona na tunakuombea saana.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya huduma za Afya? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya Afya inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Kwa muda mrefu vyama vya Upinznani vilikuwa vinapiga kelele juu ya uwazi wa Serikali katika Fedha inazopata/kukopa nje, Mama Samia Suluhu Hassan ameruhusu uwazi, je ni nani asiyejua hela za Covid tulipewa shingapi? na zimefanya kazi gani? semeni yote lakini Tanzania ya Samia Suluhu Hassan ni Serikali ya uwazi.

Kwa namna Rais Samia Suluhu Hassan anvyosimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kwa namna Mawaziri wanavyozunguka kutatua changamoto za Wananchi, kwa namna Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wanavyo hangaika usiku na mchana kutatua changamoto za Wananchi sioni Uhai wowote kwa vyama vya Upinzani hasa hivi vyama ambavyo havina itikadi wala sera zaidi ya kudandia matukio.

Nikiangalia namana CCM inavyofanya Reform ya uongozi wake, nikiangalia safu ya ya Uongozi wa CCM kwa sasa ulivyo imara na namna wanavyoendesha siasa zake kisayansi na kistaarabu, nikimuangalia Katibu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo nikamuangalia mdogo wangu John Mnyika naona kabisa Mbingu na Ardhi, Chadema sasa haiwezi saidiwa na wale wanaharakati walio kimbilia nje au hawa wa mitandaoni, sioni namna yeyote CHADEMA ambacho ndio chama kikuu cha Upinzani kinavyoweza kupambana na CCM ya sasa
CCM IMARA inahitaji upinzani Imara lakini sio upinzani huu wa akina Pambalu.

TANZANIA YA WATANZANIA.
JENGA AFYA YAKO KWA KUFANYA MAZOEZI
Hakuna hoja Hapa , SSH Hana jipya, utekelezaji wa miradi chini ya mikopo, huku wananchi maisha yakiwa magum?

Nikipewa fulsa na chama changu ni mapema Sana ,ushindi saa 12 hasubui,labda waniibie kura
 
Kwa wale wafuatiliaji wa Siasa hapa Tanzania toka mfumo wa vyama vingi uanze mnamo mwaka 1992, kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi CHADEMA kimekuwa chama kikubwa ambacho kiliweza kuhamasisha Wananchi hasa vijana kukiunga mkono kupitia sera zake.

Vijana wengi waliunga mkono CHADEMA si kutokana na sera zake bali ni ushawishi wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA. Si haba CHADEMA imeweahi kuwa tishio hasa walipofanya usajili wa Mzee wetu Edward Lowassa katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja toka achukue jukumu la kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameonyesha uwezo mkubwa saana katika kusimamia mambo mengi ambayo kwa miaka mingi yamekuwa kitendawili kwa Watanzania na kufanya vyama vya upinzani kupata agenda za kusemea kwa Wananchi.

Kwa mara ya kwanza toka Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961 Watanzania wanashuhudia Wanafunzi wote kuanzia elimu ya awali mpaka form six hakuna mwanafunzi anayekaa chini, Serikali ya awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Shule za Sekondari 257, Shule za Msingi 9 na kujenga vyumba vya madarasa 18,219 pamoja na ujenzi wa matundu 5872 ya vyoo kwa ajili ya vituo shikizi, Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, katika mwaka mmoja wa Mama Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa maboma ya vyumba vya madarasa 4,525 ambayo maboma mengi yalianzishwa kwa nguvu za Wananchi au Halkmashauri za Wilaya. Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kujua umuhimu wa kuwepo kwa Wanasayansi ndani ya mwaka mmoja amejenga vyumba vya maabara 1,399.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mh. Samia Suluhu Hassan katika Elimu kwa kweli amemaliza kila kitu, kazi ambayo ilitakiwa ifanyike kwa muda wa miaka 10 ameifanya kwa mwaka mmoja. Wananch wameona, wameelewa na kila kona ya Tanzania Wanashukuru kwa jinsi Shule mpya, Vyumba vya madarasa, vyumba vya maabara na ujenzi wa matundu wa vyoo ulivyofanyika na kuwezesha Watoto wa Watanzania kuepukana na shida ya kukaa chini ikiwa ni pamoja kutembea umbali mrefu kufuata shule.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya Elimu msingi ? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Hospital mpya 28, Vituo vya Afya 288, Zahanati 615, majengo ya Wagonjwa mahututi 26, Majengo ya huduma za dharura 80 na nyumba za Watumishi zaidi ya 400. Huyu Mama Mungu amsimamie, hakuna aliyewahi kufanya kazi kubwa kama hii ndani ya mwaka mmoja, ametatua kero kubwa ya akina mama kutembea umbali wa muda mrefu kufuata huduma za Afya wakati wakujifungua, Mama usife moyo Watanzania wanaona na tunakuombea saana.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya huduma za Afya? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya Afya inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Kwa muda mrefu vyama vya Upinznani vilikuwa vinapiga kelele juu ya uwazi wa Serikali katika Fedha inazopata/kukopa nje, Mama Samia Suluhu Hassan ameruhusu uwazi, je ni nani asiyejua hela za Covid tulipewa shingapi? na zimefanya kazi gani? semeni yote lakini Tanzania ya Samia Suluhu Hassan ni Serikali ya uwazi.

Kwa namna Rais Samia Suluhu Hassan anvyosimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kwa namna Mawaziri wanavyozunguka kutatua changamoto za Wananchi, kwa namna Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wanavyo hangaika usiku na mchana kutatua changamoto za Wananchi sioni Uhai wowote kwa vyama vya Upinzani hasa hivi vyama ambavyo havina itikadi wala sera zaidi ya kudandia matukio.

Nikiangalia namana CCM inavyofanya Reform ya uongozi wake, nikiangalia safu ya ya Uongozi wa CCM kwa sasa ulivyo imara na namna wanavyoendesha siasa zake kisayansi na kistaarabu, nikimuangalia Katibu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo nikamuangalia mdogo wangu John Mnyika naona kabisa Mbingu na Ardhi, Chadema sasa haiwezi saidiwa na wale wanaharakati walio kimbilia nje au hawa wa mitandaoni, sioni namna yeyote CHADEMA ambacho ndio chama kikuu cha Upinzani kinavyoweza kupambana na CCM ya sasa
CCM IMARA inahitaji upinzani Imara lakini sio upinzani huu wa akina Pambalu.

TANZANIA YA WATANZANIA.
JENGA AFYA YAKO KWA KUFANYA MAZOEZI
huyo mama kila k2 mpaka amuulize mzee wa msoga.
 
Huyo hamna kitu, bei za bidhaa zinapanda hovyo hovyo yeye na serekali yake "wakidemka" tu.
Mwenye SHAMBA anahangaikia kukopa lakini anashindwa kusimamia matumizi ya hiyo mikopo!! Wasaidizi wake wameisha Msoma basi wanakwiba tu!
Wanajua mwisho wa siku ataishia kulalamika basi!

Halafu anaomba ushauri kwa mtu ambae aliifikisha nchi kaburini!!
 
Hakuna msaidizi wa Rais anayeiba, hakuna kipindi Serikali iko transparent kama sasa, Fedha zote zinatumika vizuri, Serikali haijalala..Takukuru wako kazini usiku na mchana
 
Hakuna hoja Hapa , SSH Hana jipya, utekelezaji wa miradi chini ya mikopo, huku wananchi maisha yakiwa magum?

Nikipewa fulsa na chama changu ni mapema Sana ,ushindi saa 12 hasubui,labda waniibie kura
Mkuu, Watanzania sasa wana furaha na Amani kuliko kipindi chochote, Serikali imetatua na inaendelea kutatua changamoto nyingi za Wananch, issue ya Uchumi ni ya dunia , mafuta yakipanda yanasababisha inflation kwenye vitu vingi, kupanda kwa mafuta najua unajua sababu yake.
Karibu
 
Rais ni Taasisi kubwa saana, acha kusikiliza maneno ya mitaani, Mama anaendesha nchi kwa mujibu wa Sheria, Taratibu na Kanuni..Tanzania ya sasa ni ile ambayo Watanzania wamekuwa wakiitamani kwa miaka mingi
Uzuri unaowasifia ndio wananunua hizi apartment za Morocco square, ww pangu pakavu.
20220401_171431.jpg
 
Kwa wale wafuatiliaji wa Siasa hapa Tanzania toka mfumo wa vyama vingi uanze mnamo mwaka 1992, kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi CHADEMA kimekuwa chama kikubwa ambacho kiliweza kuhamasisha Wananchi hasa vijana kukiunga mkono kupitia sera zake.

Vijana wengi waliunga mkono CHADEMA si kutokana na sera zake bali ni ushawishi wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA. Si haba CHADEMA imeweahi kuwa tishio hasa walipofanya usajili wa Mzee wetu Edward Lowassa katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja toka achukue jukumu la kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameonyesha uwezo mkubwa saana katika kusimamia mambo mengi ambayo kwa miaka mingi yamekuwa kitendawili kwa Watanzania na kufanya vyama vya upinzani kupata agenda za kusemea kwa Wananchi.

Kwa mara ya kwanza toka Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961 Watanzania wanashuhudia Wanafunzi wote kuanzia elimu ya awali mpaka form six hakuna mwanafunzi anayekaa chini, Serikali ya awamu ya sita chini ya Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Shule za Sekondari 257, Shule za Msingi 9 na kujenga vyumba vya madarasa 18,219 pamoja na ujenzi wa matundu 5872 ya vyoo kwa ajili ya vituo shikizi, Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, katika mwaka mmoja wa Mama Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa maboma ya vyumba vya madarasa 4,525 ambayo maboma mengi yalianzishwa kwa nguvu za Wananchi au Halkmashauri za Wilaya. Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kujua umuhimu wa kuwepo kwa Wanasayansi ndani ya mwaka mmoja amejenga vyumba vya maabara 1,399.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mh. Samia Suluhu Hassan katika Elimu kwa kweli amemaliza kila kitu, kazi ambayo ilitakiwa ifanyike kwa muda wa miaka 10 ameifanya kwa mwaka mmoja. Wananch wameona, wameelewa na kila kona ya Tanzania Wanashukuru kwa jinsi Shule mpya, Vyumba vya madarasa, vyumba vya maabara na ujenzi wa matundu wa vyoo ulivyofanyika na kuwezesha Watoto wa Watanzania kuepukana na shida ya kukaa chini ikiwa ni pamoja kutembea umbali mrefu kufuata shule.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya Elimu msingi ? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya mwaka mmoja amejenga Hospital mpya 28, Vituo vya Afya 288, Zahanati 615, majengo ya Wagonjwa mahututi 26, Majengo ya huduma za dharura 80 na nyumba za Watumishi zaidi ya 400. Huyu Mama Mungu amsimamie, hakuna aliyewahi kufanya kazi kubwa kama hii ndani ya mwaka mmoja, ametatua kero kubwa ya akina mama kutembea umbali wa muda mrefu kufuata huduma za Afya wakati wakujifungua, Mama usife moyo Watanzania wanaona na tunakuombea saana.

Je ni nani au Chama gani cha upinzani kitasimama na kusema lolote juu ya huduma za Afya? CHADEMA ? CUF ? ACT ? Ni muda sahihi sasa Wapinzni waungane na CCM kuwaambia ukweli Watanzania juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya Afya inayofanyika kila pembe ya Tanzania.

Kwa muda mrefu vyama vya Upinznani vilikuwa vinapiga kelele juu ya uwazi wa Serikali katika Fedha inazopata/kukopa nje, Mama Samia Suluhu Hassan ameruhusu uwazi, je ni nani asiyejua hela za Covid tulipewa shingapi? na zimefanya kazi gani? semeni yote lakini Tanzania ya Samia Suluhu Hassan ni Serikali ya uwazi.

Kwa namna Rais Samia Suluhu Hassan anvyosimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kwa namna Mawaziri wanavyozunguka kutatua changamoto za Wananchi, kwa namna Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wanavyo hangaika usiku na mchana kutatua changamoto za Wananchi sioni Uhai wowote kwa vyama vya Upinzani hasa hivi vyama ambavyo havina itikadi wala sera zaidi ya kudandia matukio.

Nikiangalia namana CCM inavyofanya Reform ya uongozi wake, nikiangalia safu ya ya Uongozi wa CCM kwa sasa ulivyo imara na namna wanavyoendesha siasa zake kisayansi na kistaarabu, nikimuangalia Katibu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo nikamuangalia mdogo wangu John Mnyika naona kabisa Mbingu na Ardhi, Chadema sasa haiwezi saidiwa na wale wanaharakati walio kimbilia nje au hawa wa mitandaoni, sioni namna yeyote CHADEMA ambacho ndio chama kikuu cha Upinzani kinavyoweza kupambana na CCM ya sasa
CCM IMARA inahitaji upinzani Imara lakini sio upinzani huu wa akina Pambalu.

TANZANIA YA WATANZANIA.
JENGA AFYA YAKO KWA KUFANYA MAZOEZI
Mlisema hivi hivi enzi za mwendazake.
 
Back
Top Bottom