Hizi habari kwamba Mafisadi wanarudisha hela zao zilizokwapuliwa na awamu ya Tano zina ukweli kiasi gani?

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,152
Habari Wana jamvi na JF Kwa ujumla, natumai kama unaweza soma na kupitia Uzi huu hapa leo tarehe 06 mwezi wa 04, 2022 ina maana upo hai na unapumua kwa kudra za Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema.

Wakati wa awamu ya Serikali ya Tano chini ya JPM tuliona, kusikia na kusoma mengi jinsi wale waliosemwa Mafisadi wa nchi hii namna walivyokuwa wanakiona cha moto. Kuanzia wale waliojiuzia viwanda vya Serikali, biashara za zamani za Serikali mpaka wale ambao walikuWa na majengo Kila mkoa wakiamriwa kusalimisha Serikalini. Ni kweli awamu ile ilikuwa na mapungufu mengi lakini pia ilikuwa na mazuri vilevile.

Ila sasa kwa awamu hii ya sita tumeona wakija na madai mbalimbali pamoja na kupanda holela kwa vitu ambapo huku mtaani inasemwa ni wale Mafisadi wanarudisha hela zao zilizochukuliwa. Kwa mfano mdau mmoja kijiweni anasema yule Kanali ambae ni makamu mwenyekiti wa chama alisalimisha 3 trilioni kati ya 4 kwa Serikali ya awamu ya 5 ya JPM. Pia mtoto wa msoga wanasema yupo pale kwenye Wizara ya Ardhi kimkakati na siyo bahati mbaya.

Kama hayo yasemwayo ni kweli chondechonde awamu hii acheni mnayofanya maana watu wa sasa wapo macho na wanajua.
 
Halina kupanda holela kwa vitu,vitu vinatoka tunakoagiza vikiwa vimepanda,awamu ya tano watu walikua wanakwapuliwa hela zao benki kwa dhulma baada ya jiwe kugonga jiwe kiuchumi kwa sera mbovu,kinana Kama ana trilioni 4 maana yake ni tajiri kuliko mtu yeyote afrika mashariki na kati
 
Mbona wenye hela hizo 4tr wapo wengi Tu tatzo ni za upigaji ndo maana hazipo official
 
Acha uwongo wewe,wenye trilioni 4 wawe wengi kwenye uchumi wa Tanzania halafu tuwe na uchumi huu!!? Trilioni 4 ni dola bilioni unusu na chenji
 
Habari Wana jamvi na JF Kwa ujumla, natumai kama unaweza soma na kupitia Uzi huu hapanleo tarehe 06 mwezi wa 04 M aka 2022 ina maana upo hai na unapumua Kwa kudra za mwenyezi mungu mwingi wa rehema...

Nani walijiuzia mali za serikali kama si hao hao wa serikalini.
Nyumba za serikali ziliuzwa na nani?
Kumbuka?
Nani alikwapua Tshs 1.5Trilioni?
 
Ni kweli maana hawajui ajae atakuwa na itikadi kavu au laini
 
Kama magufuli aliwaita Rostam na Lowasa!! Hawa ndio mapapa wa udalali wa Mali za Tanzania.
 
Habari Wana jamvi na JF Kwa ujumla, natumai kama unaweza soma na kupitia Uzi huu hapa leo tarehe 06 mwezi wa 04, 2022 ina maana upo hai na unapumua kwa kudra za Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema.

Wakati wa awamu ya Serikali ya Tano chini ya mwendazake JPM tuliona, kusikia na kusoma mengi jinsi wale waliosemwa Mafisadi wa nchi hii namna walivyokuwa wanakiona cha moto. Kuanzia wale waliojiuzia viwanda vya Serikali, biashara za zamani za Serikali mpaka wale ambao walikuWa na majengo Kila mkoa wakiamriwa kusalimisha Serikalini. Ni kweli awamu ile ilikuwa na mapungufu mengi lakini pia ilikuwa na mazuri vilevile.

Ila sasa kwa awamu hii ya sita tumeona wakija na madai mbalimbali pamoja na kupanda holela kwa vitu ambapo huku mtaani inasemwa ni wale Mafisadi wanarudisha hela zao zilizochukuliwa. Kwa mfano mdau mmoja kijiweni anasema yule Kanali ambae ni makamu mwenyekiti wa chama alisalimisha 3 trilioni kati ya 4 kwa Serikali ya awamu ya 5 ya JPM. Pia mtoto wa msoga wanasema yupo pale kwenye Wizara ya Ardhi kimkakati na siyo bahati mbaya.

Kama hayo yasemwayo ni kweli chondechonde awamu hii acheni mnayofanya maana watu wa sasa wapo macho na wanajua.
Mimi siyo shabiki wa Rais Samia wala wa CCM, lakini hoja za kipuuzi kama hizi hazina sifa ya kuja JF.

Umbea ule wa watu wajinga wasio na kazi siyo wa kuleta hapa JF. Kuna mambo mengine, hata ukiwa na akili ndogo kabisa, unajua kabisa kuwa taarifa hii ni ya kipumb.avu maalum kwaajili ya wapumbavu.

Yaani uambiwe kuwa eti Kinana alisalimisha TRILION 3, na wewe uamini, basi lazima utakuwa mjinga kupindukia. Hivi unajua mtu tajiri mkubwa kabisa hapa Tanzania ni nani? Unajua utajiri wake ni dola ngapi?

Ni sawa uambiwe kuwa imeonekana pickup hilux imebeba magunia ya mahindi ya wizi, maguni 10,000, halafu uje utuulize hapa kama ni kweli!
 
Acha ujinga wewe kujifanya eti sio mshabiki wa CCM wakat umu kutwa unawasifia au unazan hatuna ushahidi WA umu, ogopa mungu na teknolojia
 
Acha ujinga mkuu.
Nani walijiuzia mali za serikali kama si hao hao wa serikalini.
Nyumba za serikali ziliuzwa na nani?
Kumbuka?
Nani alikwapua Tshs 1.5Trilioni?
Watu hawajui. Ukweli ni kuwa Magufuli was not that clean.

Akiwa Waziri, alimwingiza hawala yake kwenye orodha ya wafanyakazi wa serikali waliokaa kwenye nyumba za Serikali kwa muda mrefu, wakati binti yule hajawahi kufanya kazi serikalini, na wakati ule alikuwa mwanafunzi UD akisoma Mathematics with Geology. Nyumba iliyopo Upanga, ikanunuliwa kwa sh 10m. Na sasa umiliki wa ile nyumba umebadilishwa toka kwa yule dada kwenda kwa mtoto wa Magufuli aliyezaa na yule dada.
 
Na wizi mwingine aliokuwa akiufanya Magufuli ni kupunguza upana wa barabara kwa bei ileile.
 
Back
Top Bottom