Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Leo hii hawa viongozi wanjisemea moyoni eti ningejua nisinge mtukana Kinana. Baadhi ya viongozi waliokuwa madarakani wakati wa hayati Maguguli wakiwa na jeuri na kejeli kibao sasa wanajuta...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitaanza kurushwa live. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, Katibu wa Bunge. Ndg. Nenelwa Mwihambi. Nenelwa amesema baada ya...
6 Reactions
174 Replies
12K Views
Lakini moja ambalo lazima tukiri lilisaidia kukwamisha jambo hili (mchakato wa katiba), ni kwa kila chama kung'ang'ania maslahi yake. Nadhani huo ndiyo ukweli lazima tuseme - Makamu Mwenyekiti CCM...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa KKKT Injinia Kitundu amesema Kanisa limeumaliza mgogoro wa Dayosisi ya Konde mkoani Mbeya na Askofu mpya na msaidizi wake wamechaguliwa. Kitundu amesema askofu huyo atasimikwa na...
8 Reactions
82 Replies
7K Views
Hawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani...
16 Reactions
160 Replies
10K Views
Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wasanii wa Tanzania mna deni kubwa saana na Taifa hili, mna deni kubwa na Watanzania, Watanzania kwa pamoja bila kujali itikadi zao wamewapa ushirikiano mkubwa saana kwa kununua kazi zenu, kuwa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
As-salamu alaykum ndugu zangu. Hivi mnawaelewa hawa watu kweli aise....? Serikali moja kuwa na misimamo zaidi ya sita kwa jambo moja.... Haya juzi rais anasema hawawezi kuajiri kila mwaka, leo...
0 Reactions
4 Replies
43K Views
Ikumbukwe kwa muda sasa Katibu Mkuu wa CHADEMA, mh J J Mnyika na chama chake kwa ujumla wamekuwa hawahudhurii mikutano ya Taasisi ya Demokrasia TCD. Mwenyekiti mpya wa TCD, komredi Kinana amesema...
1 Reactions
8 Replies
881 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu Ameelekeza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Aprili 06, 2022 anatarajia Kuzindua Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA)...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Aliyekuwa mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, Zitto Kabwe amestaafu na nafasi yake imechukuliwa na Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana. Mzee Kinana ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
CCM tangu Mhe. Samia achukue Urais imekuwa kwenye kampeni ya urais 2025, katika hali isiyoeleweka CCM inasimamia maridhiano huku ikiendelea na siasa ambazo imewakataza wapinzani wake! Ni wazi...
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili...
7 Reactions
76 Replies
6K Views
Zitto Kabwe ni mwenyekiti wa TCD anayemaliza muda wake. Pia ni kiongozi wa ACT. Zitto anasema hali ya kisiasa Tanzania imeimarika sana na mazingira ya kufanya siasa ni mazuri zaidi kwa saza...
17 Reactions
61 Replies
4K Views
Kabla ya kifo cha Rais wa awamu ya tano,chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema),kilio chao kikuu kilikuwa ni kupatikana kwa Tume huru ya uchaguzi kwa ajili ya kuendea Upatikanaji wa Katiba...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom