Mifumo ya vyama vya kikomunisti Duniani

Mifumo ya vyama vya kikomunisti Duniani

Lyaka Mlima Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2020
Posts
367
Reaction score
537
Vyama vya kikomunist ulimwenguni kama Chinese people's party, bolshevik party cha Russia, na vingine duniani.

Vyama hivyo vina tabia moja kuu inayofanana, tabia hiyo ni kukiunganisha chama pamoja na vyombo vya dola kama police, Jeshi, mahakama na idara za usalama wa Taifa na millitary intelligences.

Katika hali ya namna hii vyombo vya dola vinakuwa chini ya chama na wakuu wa vyombo vya dola hufanya kazi kwa maelekezo ya ile politiburo yaani kamati maalumu ktk chama cha kikomunist yenye maamuzi ya juu na ya mwisho over the state affairs ambayo huku kwetu tunaiita Central committee ya chama(CC)

Vyama kama CCM ni miongoni mwa vyama vilivyo na mlengo wa kikomunist na tabia hii niliyoijadili kwa ufupi hapo juu inaonekana na hata ule mfumo wa central committee(CC) kwa chama hiki ni ule ule wa Politiburo iliyoko korea kasikazini, China, na Russia.

Katika kuthibitisha hili, wastaafu wa vyombo vya dola huja kuwa makada wa chama na hushika nyazifa za juu katika chama na ndio huunda kile ninachokiita kuwa party's intelligence (intelligensia ya chama), wastaafu hawa huwa wameacha legacies kubwa(alama) jeshini na katika vyombo mbalimbali vya dola hivyo influence yao ni kubwa hata wakiwa nje ya vyombo hivyo yaani wakiwa katika utumishi wa chama.

Katika nyakati za nyuma nilishawahi kuandika thread hapa Jamii forum iliyosomeka hivi

"Sanduku la kura ni njia isiyoweza kukiondoa chama tawala katika nchi zisizo za kibepari na ikiwezekana basi lazima kutakuwepo na misukumo ya mabeberu.

Hivyo basi siri ya mafanikio ya vyama vya kikomunist duniani kote kukaa muda mrefu madarakani siyo kwamba vinapendwa sana na wananchi bali ni mfumo mzima wa uendeshaji wa vyama hivyo umejengwa katika mfumo wa dola tofauti na vyama vyenye mlengo wa kibepari ambavyo hujiendesha kama makundi ya kiharakati, hivyo kukiangusha chama ni kuviangusha vyombo vya dola.

Vyama vya kikomunist havijawahi kuangushwa popote duniani kwa njia ya sanduku la kura pekee bali kwa hila za kibepari mfano.Kuhamasisha public demonstrations, na mapinduzi ya kijeshi baada ya wakuu wa vyombo vya dola kuzubainishwa na hila za kibepari, hivyo ndivyo ilivyotokea Hungary, Yugoslavia, Afghanistan, Romania na kwingineko.

Nawatakia uchaguzi mwema 2020, kumbukeni amani na utulivu uliopo Tanzania ni bora kuliko maslahi binafsi ya mwanasiasa yeyote.

01/08/2020
 
Ok
 
Uchambuzi murua

Back
Top Bottom