Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.
Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti.
Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk.
Mapungufu ya msingi yapo mengi.
Wananchi wana kiu kubwa ya kuona kuna mahusiano mapya nchini, siyo haya ya kinyonyaji.
Aangalie kwenye mkutano wa jana:
Anaonekana Zitto peke yake mwenye tabasamu.
Wako wapi hapo kina Mbatia, Mbowe au Lipumba? Wako wapi wanao wawakilisha?
Bila kuwasikiliza wananchi wote kujua walio wengi wanataka nini, mama atatwanga sana maji kwenye kinu.