Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa kutoka Chadema inayosambazwa kote duniani, inaeleza kwamba ule mkakati kabambe wa kisasa wa kuchangia mabadiliko umeingia rasmi Mkoani Dar es Salaam na unaanza Jumamosi hii 9/04/2022 huko...
17 Reactions
90 Replies
5K Views
Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na...
7 Reactions
435 Replies
29K Views
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta hapa nchini zenye thamani ya Sh102 bilioni kwa mwaka...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Mafinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameibua kashfa mpya ya nguzo za umeme kununuliwa nje ya nchi wakati katika Jimbo lake la Mafinga kuna mwekezaji aliyekweza kwenye...
7 Reactions
65 Replies
5K Views
Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa: Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani? Hekima ipi mpewe na nani nyie? Au ndiyo la...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa...
8 Reactions
78 Replies
4K Views
SIASA ZA KUNGURU ZINAKARAHISHA MNO! Anaandika, Robert Heriel. Inaelezwa kwamba kiumbe wa pili kujiingiza kwenye Siasa baada ya Nyoka alikuwa Kunguru. Na inatajwa kuwa ili uwe mbobevu katika...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu ndio kiongozi mwenye ushawishi mkubwa tangu kwenye maamuzi mpaka kile anaongea Rais ktk maswala ya kitaifa ukiondoa maneno mengine Rais anaweza chomekea. Ni kiongozi ambaye huwezi kumjua...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania. Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimezua wazi wazi vyama vya siasa kuunda vikundi vya majeshi. CCM wanakaidi hii sheria na wanaunda majeshi
0 Reactions
3 Replies
43K Views
Nasema kwa sababu 1. Mama anamnanga JPM kila jukwaa. Watu hawamtaki huku. Wamediriki kuwaita Sukuma Gang. 2. Mbowe ameonesha waziwazi kuwa wachaga walitengwa na JPM. Hivyo, wanaona CHADEMA...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Daniel Chongoro ameonekana kuwalima vijembe wale wanaojipanga kwa ngazi mbalimbali za uongozi kwa kusema mtu anayeandaa watu mwaka huu kwa ajili ya 2025 sio mwanasiasa mzuri. Amesema mwanasiasa...
1 Reactions
5 Replies
814 Views
Wapo wajinga wanaoamini join the chain ya Chadema ni jambo la kijinga na kupuuzwa. Ukweli ni kwamba join the chain ni zaidi ya mpango kazi na ni suala la muda tu tija ya jambo hilo itaonekana...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Nipo hapa naangalia TV live mapokezi ya makamu mwenyekiti ccm bara, Ndugu Kinana... kilichonishangaza ni kuwa hakuna hata mjumbe hata mmoja aliyevaa barakoa...hata meza kuu hawajavaa...Sasa ndio...
0 Reactions
3 Replies
998 Views
Matukio Picha Mbalimbali Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana Mkoa wa Dar Es Salaam muda huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee . #CcmImara #KaziIendelee
0 Reactions
2 Replies
515 Views
Mhe. Ahmed Mabukhut Shabiby, Mbunge wa Gairo, juzi bungeni uliongea kwa uchungu saana wakati unachangia, lengo la mchango wako ilikuwa ni kuvunjwa kwa utaratibu wa kuagizwa kwa mafuta kwa pamoja...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Serkali hii itahukumiwa na wananchi kiutendaji si kwa sababu Magufuli alifanya vibaya au vizuri! Magufuli tayari ni mfu hana cha kujitetea hata tutukane vipi yeye kashatenda yake mabaya au mazuri...
18 Reactions
29 Replies
2K Views
Umejitahidi kununua cheti cha "Udoctor" wa Heshima. Lakini unafanya kazi ya Dakitari wa "Njaa" Unajitahidi kurudi kwenye kundi la Walamba Asali lakini umesahau kwamba kitendo chako cha kumkacha...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Na Emmanuel J. Shilatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga 'hat trick' kwenye zao la Korosho katika mambo yaliyokuwa kero na vilio vya siku nyingi vya...
26 Reactions
52 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…