Kwanini Afrika Mashariki tusiwe nchi moja na Rais mmoja?

Kwanini Afrika Mashariki tusiwe nchi moja na Rais mmoja?

Kizoda

Senior Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
130
Reaction score
302
Kwanini Jumuiya ya Afrika Masharini tusiwe nchi moja ambayo tutaogozwa na rais mmoja?

Yaani tuwe na serikali ya shirikisho na seriklai za kijimbo itapendeza saana na hivi vitafanya tuendelee mapema

Ila kwenye Afrika Mashariki watakao tuaribia ni wale ndugu zetu wa Kivu Kaskasini wale wajamaa wabaguzi kinoma wanajiona miungu watu saana
 
Kwanini east afrika comunite tusiwe tu inch moja ambayo tutaogozwa na rais mmoja
Yaani tuwe na gouvernement federal na gouvernement provecial itapendeza saana na hivi vitafanya tudevelop mapema

Ila kwenye east africa watakao tuaribia ni wale ndugu zetu wa north Kivu wale wajamaa wabaguzi kinoma wanajiona miungu watu saana
Yaani ubaba wa ukweli kwa familia ya watu 3 tu ni jukumu zito....leo hii unataka uwe baba wa KIJIJI kizima?!!! 😲😲

Tuliyonayo yanatutosha.......

#Siempre JMT🙏
 
Tufe ghafla, aumbwe adam mwingine, ashushwe pale kwenye bonde la ufa, hawa akashushwe kule Nigeria, kianzishwe kizazi kipya huenda kidoogo ikawezekana.
 
Kwanini east afrika comunite tusiwe tu inch moja ambayo tutaogozwa na rais mmoja
Yaani tuwe na gouvernement federal na gouvernement provecial itapendeza saana na hivi vitafanya tudevelop mapema

Ila kwenye east africa watakao tuaribia ni wale ndugu zetu wa north Kivu wale wajamaa wabaguzi kinoma wanajiona miungu watu saana
Hiyo moja imewashinda, sembuse mkusanyiko wa hizo zote?
Mada nyingine muwe mnajiongeza kidogo kabla ya kuzifikisha hapa. DRC nani ataiweza. Sudan Kusini watakusikia wewe mswahili unasema nini?

Hii Tanzania ya watu watulivu kabisa imewashinda kuongoza, sasa unatamani ukaongoze wasioweza kuongozeka?

Bure Kabisa!
 
Duhh wakenya watalamba rasilimali zote.

After five years Nairobi itakua kama New York.
 
M7 alishasemaga mara nyingi Sana,ndoto yake yeye Ni kua rais wa EA wa kwanza.
 
Leo Chelsea hachomoki na bayern anashinda
 
Kwanini Jumuiya ya Afrika Masharini tusiwe nchi moja ambayo tutaogozwa na rais mmoja
Yaani tuwe na serikali ya shirikisho na seriklai za kijimbo itapendeza saana na hivi vitafanya tuendelee mapema

Ila kwenye Afrika Mashariki watakao tuaribia ni wale ndugu zetu wa Kivu Kaskasini wale wajamaa wabaguzi kinoma wanajiona miungu watu saana
Kinadharia ina sound vema sana kakini unapokuja katika uhalisia ni ngumu sana. Siasa za nchi za jumuiya ya EAC ziko tofauti sana. Mathalani mpaka leo chaguzi za uraisi Kenya bado ziko based on ukabila, South Sudan halikadhalika. Ukija Uganda na Rwanda kuna harufu ya kuanza kwa utawala wa kifalme ( kwa maana ya familia mmoja kujimilikisha nafasi hiyo) na mwisho ukirejeaa nyumbani unakutana na utaratibu wa kuwa uraisi ni mali ya chama kimoja. Kwahali hii unaanzaje kuwaambia wa Kikuyu, familia za akina Museveni na Kagame au CCM kuwa raisi wa shirikisho atatoka Burundi au Congo wakakuelwa?
 
Back
Top Bottom