Kama viongozi wazalendo maisha yao yanakuwa hatarini kwa kutetea maslahi ya taifa lao, tutaweza kuwa na kizazi cha kulipigania taifa letu?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.

Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.

Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.

Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.

Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
 
Tupe kwanza tafsiri ya uzalendo?
 
Bado tu hamjauona umuhimu wa Katiba Mpya?
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.

Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.

Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.

Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.

Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
 
Kila mtu atavuna apandacho, nyie ndio mlikuwa mkishaingilia wapinzani kupotezwa mkiwaita wasaliti, mkajigeuza miungu watu mkaona kutesa watanzania wenzenu ndio "uzalendo"
Tumia akili hata kiduchu, sio kuharisha upuuzi
 
Mzalendo yupi??!!

Alichojipandia ndiyo at look achovuna!

Mbinafsi na mlevi mvimbiwa wa madaraka!?

Alituambia yeye ni mtanzania mwenye furaha na Raha kuliko sote!
Aendelee kufurahia Raha zake hakutushirikisha Leo taabu zake ziwe zetu!?

Kila mtu achukue Msalaba wake aelekee Golgotha!
 
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.

Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.

Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.

Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.

Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
Tatizo hujui hata maana ya uzalendo. Kuua, kuteka, kupoteza watu, kuwabambikia watu kesi, siyo sehemu ya uzalendo.

Tumshukuru Mungu anapolipa kisasi kwa sababu ya walioonewa na utawala dhalimu wa awamu ya 5.

Mungu kama alivyowasimamia wana wa Israel, kuna wakati aliwafanya maadui wauane wenyewe kwa wenyewe, ndivyo anavyoitendea Watanzania. Wana wa Mungu tuzidi kumshukuru kwa matendo haya makuu.

Mungu wetu hakawii kuyajibu maombi ya watu wake bali huyajibu kwa wakati wake, na kwa namna sahihi.

Asante Mungu wetu maana umeyapa macho na masikio yetu haki ya kushuhudia malipo ya watesi dhidi ya wasio na hatia.
 
Uzalendo ni kuua na kuumiza wengine?
Uzalendo ni kupora mali za wengine walizochuma kwa jasho na mateso?

Kama Uzalendo ni haya basi tuna safari ndefu.Acha avune alichopanda huyo mtoto, tena wanamchelewesha sn hao alowataja.
Uhuni wa kwenye chaguzi na mabavu walioufanya na kudhulumu haki na nafsi za watanzania.

Bora aende gerezani ajipeleke akakae huko.

Lissu
Ben saanane
Gwanda
Kanguye
etc

Tena machozi ya watanzania bado yanavuja kwa mabaya waliyotendewa.

Mungu ataendelea kuwagusa woooote
 
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.

Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.

Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.

Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.

Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
Kulipigania taifa kwa kuua???
 
Weka ushahidi namna alivyohusika
 
Jikite kwenye mada bwege
Mbona inaonekana umekosa hekima hata ndogo? Kwa nini unapenda kutukana?

Mwendawazimu hakuna anachokiweza zaidi ya kutukana. Ndiyo maana aghalabu utawaona wehu, wengine wakiwa uchi, wakiwaporomoshea matusi walio wazima.

Ukiona unapenda sana kutukana, waulize ndugu au watu wa karibu nawe kama wanakuona umzima wa akili. Maana dalili ya kwanza ya uwendawazimu ni kupenda kutukana au kutojali.
 
Stick to the point dont be stupid.
 
Ili uweze kuwa na taifa thabiti na madhubuti lazima kuwa na viongozi wazalendo na wenye machungu na taifa lao.

Viongozi ambao watapinga ufisadi wa kila aina na kuhakikisha maendeleo yanapatikana.

Viongozi ambao watazuia ushoga ili kulinda maadili ya taifa lao.

Viongozi ambao watazuia wavuta bangi na madawa ya kulevya ili kujenga taifa imara.

Leo hii kuwaundermine na kuwatishia uhai viongozi wa namna hii ni kukatisha tamaa viongozi wengine ambao wako radhi kujitoa kwa taifa lao.
Wewe na CCM yenu mjitafakari mmetufikishaje hapa.

Uzalendo fake ndiyo madhara yake.
 
Back
Top Bottom