Familia yangu yote tumejiunga UDOM Chuo KIkuu tuwe na PhD

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Mimi na mwenza wangu,na watoto wangu wawili tumeshajiunga chuo kikuu cha Dodoma ili tuweze kupata PhD za Voda fasta

Wana ccm wenzangu hii ni fursa, Bahati hazipatikani kirahisi, Jiungeni na chuo kikuu cha Udom mapema kujipatia PhD

Udom ni chuo Kikuu pekee ambacho kinatoa nafasi na PhD za haraka haraka kwa wanasiasa kama mimi

Tunatumia nafasi hii vizuri kabla mambo hayajageuka hapo mbeleni

Shule ni shule tu, Huku mtaani uwe umesoma Oxford, Harvard au Cambridge kinachotakiwa ni CONNECTION TU

Siungi mkono PhD uchwara kama hizi lakini kuna muda inabidi ucheze na mdundo au Beat linavyotaka

Kama DJ ameruhusu kuruka ruka ukimbuni, Mimi nani nikatae PhD ya bure toka Udom

Udom ni sehemu pekee kwa watu sasa kujipatia PhD

karibuni Udom sana

Mpaka mwaka 2025 kila mwanasiasa atakuwa anaitwa Dokta

Hapo mwakani nitaitwa Mheshimiwa, Dokta Gussie (PhD udom 2022)
 
Watu wengi wenye uwezo wa kitaaluma hufahamika kupitia historia zao. Kuna baadhi ya watu uwezo wao hufahamika vyema na wale waliowahi kusoma nao.

Wapo vilaza, wapo vipanga na pia wapo wenye uwezo wa kati katika kumudu misukosuko ya kitaaluma. Ni watu wachache sana wana uwezo wa kusoma "in part time basis" huku wakiendelea pua na majukumu yao mengine.

Ni ngumu sana kujigawa katika kutekeleza majukumu ya kibunge majimboni, kiuwaziri katika kusimamia wizara, kiuzazi katika kusimamia familia na kitaaluma katika kuhudhuria masomo na kufanya tafiti, na huku yote yakifanyika kwa wakati mmoja. Vyuo vinavyotumika kutoa shahada zisizokidhi viwango ili tu kuwafurahisha wanasiasa vinalitia aibu taifa na kujidhalilisha vyenyewe.
 
Hingera mkuu jitahidi ili nawe uitwe Dr sawa na Dr Msukuma Kasheku kutoka kuwa std vii mwaka 2020 hadi kuwa PhD holder 2021.
 
Hii nchi kila kitu n kero

Hapa wanaandaa muda utasikia RAIS Samia aametunukiwa PhD ya heshima kwa utendaji uliotukuka

.naomba hii comment iwekewe cover kwa ajili ya reference hapo baadae
Hakuna haja ya kuitunza comment yako mzee maana hakuna cha ajabu chini ya jua hasa ukiwa nchini tanzania chini ya chama tawala .
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza, elimu ya juu haihitaji msuli na kusoma sana bali output na mchango wako kwenye jamii. Nenda hata MIT, OXFORD ama vyuo vikuu vingine vikubwa ukiwa mtu mashuhuri na maarufu wanakupigania ili kuongeza list ya famous alumn wa chuo, watu kama madona wamepewa degree na vyuo vikuu vikubwa kabisa duniani bila hata ya kukaa darasani mda mrefu tena undergraduate leo unashangaa kumuona mwanasiasa tena waziri akitunukiwa shahaba ya ubobezi? grow up dude.
 
Nchi yetu imefanikiwa kuwa na diploma mills kadhaa!

Tusilalamike

Haya nayo ni maendeleo.
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza, elimu ya juu haihitaji msuli na kusoma sana bali output na mchango wako kwenye jamii. Nenda hata MIT, OXFORD ama vyuo vikuu vingine vikubwa ukiwa mtu mashuhuri na maarufu wanakupigania ili kuongeza list ya famous alumn wa chuo, watu kama madona wamepewa degree na vyuo vikuu vikubwa kabisa duniani bila hata ya kukaa darasani mda mrefu tena undergraduate leo unashangaa kumuona mwanasiasa tena waziri akitunukiwa shahaba ya ubobezi? grow up dude.
Aibu hiii

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza, elimu ya juu haihitaji msuli na kusoma sana bali output na mchango wako kwenye jamii. Nenda hata MIT, OXFORD ama vyuo vikuu vingine vikubwa ukiwa mtu mashuhuri na maarufu wanakupigania ili kuongeza list ya famous alumn wa chuo, watu kama madona wamepewa degree na vyuo vikuu vikubwa kabisa duniani bila hata ya kukaa darasani mda mrefu tena undergraduate leo unashangaa kumuona mwanasiasa tena waziri akitunukiwa shahaba ya ubobezi? grow up dude.
Mawaziri mzigo hao sawa na kina Msukuma Kasheku
 
Mimi na mwenza wangu,na watoto wangu wawili tumeshajiunga chuo kikuu cha Dodoma ili tuweze kupata PhD za Voda fasta

Wana ccm wenzangu hii ni fursa, Bahati hazipatikani kirahisi, Jiungeni na chuo kikuu cha Udom mapema kujipatia PhD

Udom ni chuo Kikuu pekee ambacho kinatoa nafasi na PhD za haraka haraka kwa wanasiasa kama mimi

Tunatumia nafasi hii vizuri kabla mambo hayajageuka hapo mbeleni

Shule ni shule tu, Huku mtaani uwe umesoma Oxford, Harvard au Cambridge kinachotakiwa ni CONNECTION TU

Siungi mkono PhD uchwara kama hizi lakini kuna muda inabidi ucheze na mdundo au Beat linavyotaka

Kama DJ ameruhusu kuruka ruka ukimbuni, Mimi nani nikatae PhD ya bure toka Udom

Udom ni sehemu pekee kwa watu sasa kujipatia PhD

karibuni Udom sana

Mpaka mwaka 2025 kila mwanasiasa atakuwa anaitwa Dokta

Hapo mwakani nitaitwa Mheshimiwa, Dokta Gussie (PhD udom 2022)
Chuo Kikuu Dodoma, kupitia Ofisi ya Chief Academic Officer itoe tamko haraka kuhusu haya yanayoendelea kuhusu PhD kwa wanasiasa. Ieleze kwa kina uhalali wa tunu hizo, jinsi watuhumiwa walivyovuata taratibu za kitaaaluma na ikiwezekana maandiko yao yawekwe wazi kwa umma. UDOM is such huge investment na leo hii haiwezekana uwekezaji wote huu ukaonekana hausaidii nchi, bali unapotosha malengo yake
 
Watu wengi wenye uwezo wa kitaaluma hufahamika kupitia historia zao. Kuna baadhi ya watu uwezo wao hufahamika vyema na wale waliowahi kusoma nao.

Wapo vilaza, wapo vipanga na pia wapo wenye uwezo wa kati katika kumudu misukosuko ya kitaaluma. Ni watu wachache sana wana uwezo wa kusoma "in part time basis" huku wakiendelea pua na majukumu yao mengine.

Ni ngumu sana kujigawa katika kutekeleza majukumu ya kibunge majimboni, kiuwaziri katika kusimamia wizara, kiuzazi katika kusimamia familia na kitaaluma katika kuhudhuria masomo na kufanya tafiti, na huku yote yakifanyika kwa wakati mmoja. Vyuo vinavyotumika kutoa shahada zisizokidhi viwango ili tu kuwafurahisha wanasiasa vinalitia aibu taifa na kujidhalilisha vyenyewe.
Nagongelea nyundo hapa.....Miaka hii miwili nilikua na Noa akili katika chuo kikuu kimoja maarufu hapa Dar..

Ulicho andika ni kwel tupu...it's very hard ku balance muda wa kusoma na majukum ya kikazi na kifamilia...hapo hapo nilitakiwa kuweka kichwani formula ngumu ngumu za ki mahesabu.....

Sikuwai kumtangazia yeyote kua nasoma maana nilijua....kufeli ilikua ni kugusa tu....

Commitment, kumtanguliza MUNGU na Hardwork vimenisaidia sana...

Mwaka huu November nimevaa joho kwa Mara nyingine Tena....Nimewaachia maswali raia.....Naulizwa nilikua nasoma muda gani wakati KILA muda nipo ofisini...

Kuna muda nilitamani ku give up....Nikawa najiambia kimoyo moyo kua Nimejitafutia matatizo....Bora pesa ya ada Ningenunulia hata bajaji.... maana Muda wa kusoma ulikua ni mdogo Tena ni Usiku alafu nakua nimechoka Sana.....
Asante Mungu kwa hii degree ya jasho langu
 
Mimi na mwenza wangu,na watoto wangu wawili tumeshajiunga chuo kikuu cha Dodoma ili tuweze kupata PhD za Voda fasta

Wana ccm wenzangu hii ni fursa, Bahati hazipatikani kirahisi, Jiungeni na chuo kikuu cha Udom mapema kujipatia PhD

Udom ni chuo Kikuu pekee ambacho kinatoa nafasi na PhD za haraka haraka kwa wanasiasa kama mimi

Tunatumia nafasi hii vizuri kabla mambo hayajageuka hapo mbeleni

Shule ni shule tu, Huku mtaani uwe umesoma Oxford, Harvard au Cambridge kinachotakiwa ni CONNECTION TU

Siungi mkono PhD uchwara kama hizi lakini kuna muda inabidi ucheze na mdundo au Beat linavyotaka

Kama DJ ameruhusu kuruka ruka ukimbuni, Mimi nani nikatae PhD ya bure toka Udom

Udom ni sehemu pekee kwa watu sasa kujipatia PhD

karibuni Udom sana

Mpaka mwaka 2025 kila mwanasiasa atakuwa anaitwa Dokta

Hapo mwakani nitaitwa Mheshimiwa, Dokta Gussie (PhD udom 2022)

C3F4745C-7C44-43CD-BD63-3545A750E6B0.jpeg
 
Chuo Kikuu Dodoma, kupitia Ofisi ya Chief Academic Officer itoe tamko haraka kuhusu haya yanayoendelea kuhusu PhD kwa wanasiasa. Ieleze kwa kina uhalali wa tunu hizo, jinsi watuhumiwa walivyovuata taratibu za kitaaaluma na ikiwezekana maandiko yao yawekwe wazi kwa umma. UDOM is such huge investment na leo hii haiwezekana uwekezaji wote huu ukaonekana hausaidii nchi, bali unapotosha malengo yake
Elimu ya udom tangu zamani binafsi sijawahi kuielewa
 
Mimi na mwenza wangu,na watoto wangu wawili tumeshajiunga chuo kikuu cha Dodoma ili tuweze kupata PhD za Voda fasta

Wana ccm wenzangu hii ni fursa, Bahati hazipatikani kirahisi, Jiungeni na chuo kikuu cha Udom mapema kujipatia PhD

Udom ni chuo Kikuu pekee ambacho kinatoa nafasi na PhD za haraka haraka kwa wanasiasa kama mimi

Tunatumia nafasi hii vizuri kabla mambo hayajageuka hapo mbeleni

Shule ni shule tu, Huku mtaani uwe umesoma Oxford, Harvard au Cambridge kinachotakiwa ni CONNECTION TU

Siungi mkono PhD uchwara kama hizi lakini kuna muda inabidi ucheze na mdundo au Beat linavyotaka

Kama DJ ameruhusu kuruka ruka ukimbuni, Mimi nani nikatae PhD ya bure toka Udom

Udom ni sehemu pekee kwa watu sasa kujipatia PhD

karibuni Udom sana

Mpaka mwaka 2025 kila mwanasiasa atakuwa anaitwa Dokta

Hapo mwakani nitaitwa Mheshimiwa, Dokta Gussie (PhD udom 2022)
Hongera, nami nitajiunga karibuni 🏃.
 
Back
Top Bottom