Namnukuu Mdhibiti
Halmashauri ya Temeke ililipa jumla ya shilingi bilioni 2.38 kwa wakandarasi kwa ajili ya gharama za bima wakati wa kutekeleza miradi ya Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Wezi wa Fedha za umma kaeni mkao wa tahadhari.
Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba,Serikali imesema inaandaa mswaada wa sheria kwa ajili ya...
Historia ya uchumi wetu ni ndefu na isiyo na muendelezo mahususi.Tulitoka uchumi wa soko huria wakati wa uhuru tukaingia ujamaa mwaka 1967, tukarudi kwenye soko huria mwaka 1986 serikali ikiwa...
Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Maafisa Ustawi wa Jamii kuweka mkazo katika kushughulikia changamoto za Watu wenye Ulemavu.
Amesema maafisa hao wanashughulikia masuala ya mirathi na migogoro...
Ndiyo,
Tunaitaka haraka sana hiyo nidhamu ya uwoga ambayo Leo tunaona ilikuwa na mapungufu na haifai kumbe iliweza kuzuia ufisadi MSD
Nidhamu ya uwoga ndiyo iliyoleta ufanisi Mkubwa na usimamizi...
Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za...
Msemaji mkuu wa serikali bwana Gerson Msigwa leo akiwa anaongea na waandishi wa habari, amesema serikali ilipoamua kununua ndege mpya watanzania wengi wamefaidika ikiwemo kuongeza ajira za...
CAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu.
Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu...
Nimeleta uzi huuu baada ya ile hotuba ya Rais Samia Alipokuwa akipokea Riport ya CAG na TAKUKURU..na Taarifa ya Tarehe 1/4/2022 iliyotolewa kwa wafanyakazi Wa TICS kuvunja rekodi kwa mwezi huu...
Ndugu zangu hakuna kitu Cha kuheshimu kama Muda na technolojia ndugu zangu.
Zaidi ya hapo, Sina mengi zaidi ya kukutaka wewe msomaji wa Uzi huu kuwa heshima dhidi ya watu wanao kuzunguka na hata...
UKWELI KUHUSU AUDIO INAYOSEMEKANA KUWA NI YA KINANA NA NAPE HUU HAPA
Nimesikiliza audio zote mbili zinazoendelea kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii zinazodaiwa kuwa ni za mazungumzo kati ya...
Inatoka Mwananyamala A hadi Victoria kupitia Hospital - Magengeni.
Ni barabara ya mwisho chini ya Rais Magufuli na alimuonya kabisa mkuu wa mkoa wa wakati ule Aboubakar Kunenge ahakikishe...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ama baada ya salam ningependa niseme ukweli kwamba toka nchi yetu ilipopata uhuru mpaka leo hii CCM imeshafanya mambo mazuri na makubwa...
Wakaazi wa Chato wakihojiwa na BBC mwaka mmoja tangu aondoke Magufuli wametoa hisia zao tangu aondoke mpendwa wao mzawa wa Chato ikiwemo sekta ya biashara na maendeleo.
Wakazi hao wamelalamikia...
Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa...
Kwenye suala la mafuta kuna mambo mawili, bei na upatikanaji.
.
Kwa miezi 16 mwenendo wa bei za mafuta zimepanda, bei zimepanda katika nchi zinazozalisha mafuta na nchi zinazoagiza mafuta.
.
Nchi...
GreatThinkers,
Limenigusa ndio maana nami nimejitosa kusema yangu.
Tunatia aibu sana kubaki tunalumbana na jirani wakati yupo kwake, kwani sie hatuwezi kujenga viwanja vyetu.
Mwanza...
Basi aliondokea Mfalme Simba mtawala wa tano Umofia aliekuwa Hodari kweli kweli.
Basi katika mkoa wa kijani aliweka fedha nyingi akajenga meli kubwa, nayo ilikuwa kwa Lengo la kuabili abilia na...