Uzi maalumu wa wanaorejeshwa mamlakani na utawala wa awamu ya sita

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Tumeoshuhudia Rais Samia Hassan akiwateuwa tena wale waliotenguliwa/achwa kwenye teuzi na mtangulizi wake rais Magufuli ambaye alikuwa naye ikulu .

Licha ya kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja ila ameonesha kuwa tofàuti sana na yeye kuwateuwa tena waliotenguliwa kwa kashfa mbalimbali:

1.Alfayo Kidata ,huyu alikuwa ikulu na baadae BOT ni mtalamu wa logistics JPM akampeleka bandarini Kisha akamtengua na kumrejesha Ikulu baadae akampa ubalizi Canada akaanza kula wine na wazungu wa barrick na kupewa mlingula JPM akawaka kwa nn sisi tunapambania madini yeye anakula pesa akamfutia na ubalozi Kisha akapewa saa 24 akabidhi ofisi , Samia amerejeshea TRA na Sasa anakula maisha

2. Nape Nnauye , aliwatetea wauza madawa ya kulevya vita iliasisiwa na JPM,wakati ametenguliwa Rais Samia alionekana kumuunga mkono JPM na kusema seikali ni kama mnyororo wa baiskeli akisema Nape alikosea kupambana na bosi wake ,Nape Leo anazunguka na chopa na kuchoma Kodi za watz amerudishwa tena

3. CP Hamduni ,huyu alioneka hana uwezo pale ilala huku akituhumiwa kwa rushwa na Kangi Lugola. Mama amemrusha vyeo na kumpa Ukuu wa TAKUKURU ,anakula maisha nimemuona Jana amenenepa hadi anatia wasiwasi anakula raha amerudi kwa Kasi

4.Batilda Burian. Mkongwe huyu JPM aliwahi kunukuliwa akimtaja kama kilaza wakati wa uundaji wa cabinet hakutaka hata kumsikia Leo yupo Tabora kama mkuu wa mkoa anakula bata maisha yanasonga

5. January Makamba, huyu sio tu alijiona ana akili sana ,JPM alimpenda sana na alitamani hata kumuoza mtoto wake alipojiunga na adui yake Kinana akamtupilia mbali kwa sasa amerejeshwa kwenye wizara nyeti anakula bata tu hana habari ya kutatika maumeme yenu .

6. Kinana ,alichukia sana sera za JPM hasa kuiita CCM ya Magufuli akaamua kukataa kazi akajiunga na wakosoaji, timu JPM wakamshughulikia akaomba radhi kumbe alikuwa na kinyongo ,Leo amerudi chamani kama kawaida life linasonga

7. Sophia Simba huyu JPM alimuita mswahili na mama asiye na staha wakazinguana kwenye ishu za viti maalumu Sophia alikuwa mwenyekiti wa wanawake wa CCM akasepeshwa kijanja leo amerudi kwa kasi

8. Profesa Makame Mbarawa . Huyu alionekana hafai goigoi ,mvivu na elimu yake ilitia shaka kwa JPM akatupwa Sasa amerudi

9. Shamsi Vuai Nahodha, aliwekwa nje kwa uzanzibar wake maana aliutukuza sana kuliko utanzania alinukuliwa kuunga mkono ajenda za muungano wa mkataba JPM akimfananisha na separatists wa Muungano na mzee sana ,Leo ameitwa napewa kazi yupo kama kawaida

10. Pindi Chana ,mzozo wa mahindi na vikwanzo vya korona vilimfanya JPM amuone dhaifu akarudishwa Dodoma haraka na kuwekwa bench ,Leo yupo anakula maisha kama Waziri wa Utalii

Wapo wengi sana tena sana ambao mama anawarudisha kwa Kasi na kwa kila teuzi ,ni vema tuweke list Yao hapa Wana JF maana jf Ina watu wengi wenye kumbukumbu mm nimeweka wachache nao kumbuka

Ongeza list hii

USSR
 
Pole yako. Maana hao ndiyo wenye CCM yao sasa. Na bado Dr. Emmanuel Nchimbi na Membe. Nao muda si mrefu wataanza kula tena mema ya nchi.

Na kama hufurahishwi, basi tuungane sote kudai Katiba Mpya ya Wananchi.
 
Tunachokosea watanzania ni kudhani kuwa tunachofikiria ndicho hicho hicho anachofikiria kila mtu anayetuzunguka.

Siwezi kuiita tabia hii kama ni uvivu wa kufikiria, lakini imechangia sana kutukwamisha, uelewa wetu ukiwa mdogo tunadhani kuwa na wa wale wanaotuzunguka pia wana uelewa mdogo.

Adui wa mwenzako sio lazima awe ni wa kwako, kama nafsi yako haiwezi kuiva na ya mtu fulani sio kigezo kwamba kila mtu atashindwa kuiva na huyo adui yako wewe.

Kama kina Sophia Simba na Batilda walikuwa ni maadui wa JPM sio kigezo cha wao kuwa maadui wa Samia. Na hali hiyo ni kwa wanasiasa wote wanaorudishwa serikalini na kupewa tena vyeo vyao vya zamani.
 
Bukilolo kwa lugha yetu ni minyoo ya chooni , sibishanagi na vilaza kama wewe

USSR
 
Tumeoshuhudia Rais Samia Hassan akiwateuwa tena wale waliotenguliwa/achwa kwenye teuzi na mtangulizi wake rais Magufuli ambaye alikuwa naye ikulu .

Licha ya kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja ila ameonesha kuwa tofàuti sana na yeye kuwateuwa tena waliotenguliwa kwa kashfa mbalimbali:

1.Alfayo kidata ,huyu alikuwa ikulu na baadae BOT ni myalamu wa logistics jpm akampeleka bandarini Kisha akamtengua na kumrejesha ikulu baadae akampa ubalizi Canada akaanza kula wine na wazungu wa barrick na kupewa mlingula JPM akawaka kwa nn sisi tunapambania madini yeye anakula pesa akamfutia na ubalozi Kisha akapewa saa 24 akabidhi ofisi , Samia amerejeshea TRA na Sasa anakula maisha

2.Nape Nauye ,Nape aliwatetea wauza madawa ya kulevya vita iliasisiwa na jpm ,wakati ametenguliwa Rais Samia alionekana kumuunga mkono JPM na kusema serkali ni kama mnyororo wa baiskeli akisema nape alikosea kupambana na bosi wake ,nape Leo anazunguka na choma na kuchoma Kodi za watz amerudishwa tena

3.CP Hamduni ,huyu alioneka hana uwezo pale ilala huku akituhumiwa kwa rushwa na kangi lugola .mama amemrusha vyeo na kumpa ukuu wa TAKUKURU ,anakula maisha nimemuona Jana amenenepa hadi anatia wasiwasi anakula raha amerudi kwa Kasi

4.Batulda Burian .mkongwe huyu jpm aliwahi kunukuliwa akimtaja kama kilaza wakati wa uundaji wa cabinet hakutaka hata kumsikia Leo yupo tabora kama mkuu wa mkoa anakula bata maisha ya asonga

5.January makamba ,huyu sio tu alijiona anaakili sana ,jpm alimpenda sana na alitamani hata mumuoza mtoto wake alipojiunga na adui yake kinana akamtupilia mbali kwa sasa amwrejeshaa kwenye wizara nyeti anakula bata tu hana habari ya kutatika maumemem yenu .

6.kinana ,alichukia sana sera za JPM hasa kuiita CCM ya Magufuli akaamua kukataa kazi akajiunga na wakosoaji ,timu jpm wakamshuglikia akaomba radhi kumbe alikuwa na kinyongo ,Leo amerudi chamani amananga marehemu kama kawaida life linasonga

7.sophia Simba huyu jpm alimuita mswahili na mama asiye na staha wakazingana kwenye ishu za viti maalumu vya wanwake Sophia alikuwa mwenyekiti wa wanwake wa ccm akasepeshwa kijanja Leo amerudi kwa Kasi

8.proff makame mbarawa . Huyu alionekana hafai goigoi ,mvivu na elimu yake ilitia shaka kwa jpm akatupwa Sasa amerudi

9.Shamsi v Nahidha .aliwekewa nje kwa uzanzibar wake maana aliutukuza sana kuliko utanzania alinukuliwa kuung mkono ajenda za muungano wa mkataba jpm akimfananisha na separatists wa muungano na mzee sana ,Leo ameitwa napewa kazi yupo kama kawaida

10.Pindi chana ,mzozo wa mahindi na vikwanzo vya korona vilimfanya JPM amuone dhaifu akarudishwa dodoma haraka na kuwekwa bench ,Leo yupo anakula maisha kama waziri wa utalii ,

Wapo wengi sana tena sana ambao mama anawarudisha kwa Kasi na kwa kila teuzi ,ni vema tuweke list Yao hapa Wana JF maana jf Ina watu wengi wenye kumbukumbu mm nimeweka wachache nao kumbuka

Ongeza list hii

USSR
Sukuma Gang mna nongwa sana. Kubalini matokeo Saigon Club imeshawatia la kati
 
Huyo JPM wenu kwani yeye alikuwa Nani kiasi kwamba eti aliyemfukuza yeye kazi,Basi hafai kabisa kuaminiwa tena.!

Alikuwa na usafi gani haswaa, aliongozwa na Chuki na roho mbaya,udini na ukabila,

Na angekuwa mtu makini asingewateua majambaz Kama Sabaya kuwa kwenye uongozi wake, msitake kumtukuza huyo mungu wenu,Hana Wala hakuwa na hati miliki na hii Nchi,

Mb,,,,wa nyie
 
Chama kilikuwa chini ya vichaa na washamba,Sasa kimerudi kwa wenyewe wenye chama chao,ambao wanaongozwa na utu na utaifa
 
Huyo JPM wenu kwani yeye alikuwa Nani kiasi kwamba eti aliyemfukuza yeye kazi,Basi hafai kabisa kuaminiwa tena.!

Alikuwa na usafi gani haswaa, aliongozwa na Chuki na roho mbaya,udini na ukabila,

Na angekuwa mtu makini asingewateua majambaz Kama Sabaya kuwa kwenye uongozi wake, msitake kumtukuza huyo mungu wenu,Hana Wala hakuwa na hati miliki na hii Nchi,

Mb,,,,wa nyie
Alikuwa Rais au humjui

USSR
 
Tunachokosea watanzania ni kudhani kuwa tunachofikiria ndicho hicho hicho anachofikiria kila mtu anayetuzunguka.

Siwezi kuiita tabia hii kama ni uvivu wa kufikiria, lakini imechangia sana kutukwamisha, uelewa wetu ukiwa mdogo tunadhani kuwa na wa wale wanaotuzunguka pia wana uelewa mdogo.
Adui wa mwenzako sio lazima awe ni wa kwako, kama nafsi yako haiwezi kuiva na ya mtu fulani sio kigezo kwamba kila mtu atashindwa kuiva na huyo adui yako wewe.

Kama kina Sophia Simba na Batilda walikuwa ni maadui wa JPM sio kigezo cha wao kuwa maadui wa Samia. Na hali hiyo ni kwa wanasiasa wote wanaorudishwa serikalini na kupewa tena vyeo vyao vya zamani.
Philipo bukililo,Wewe unafikra mbilikimo na akili zenye matege,unaona ni sahihi kula matapishi?, Tanzania ni kubwa na ina vijana wengi wasomi na wazalendo,kwa nini ateue walewale watu waliochoka na wapigaji? Na wewe kwa sababu ya upoyoyo ulionao unaona ni sahihi,
 
Back
Top Bottom