Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waafrika wanamuongelea Dr John Pombe Magufuli. Waafrika wanapata uhuru wa kweli kupitia kifo cha Rais Magufuli. Waafrika wanatolewa usingizini na kupata hamasa za ukombozi... Waafrika wanajifunza...
10 Reactions
72 Replies
5K Views
Hapa ndipo daraja la Tshs bilioni 700, fedha ambazo hata hazikujadiliwa na bunge zinatumika. Eneo ni Kigongo-Busisi. Kwakweli Bunge la Ndugai litajibu haya mbele za Mungu! Nawaza tu bilioni 700...
78 Reactions
429 Replies
49K Views
Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli. Ingawa...
27 Reactions
62 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea kupanda kwa bei ya mafuta kwa kiasi inasababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine. “Mabadiliko ya kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kidogo...
19 Reactions
176 Replies
13K Views
Katika uongozi wa aina yoyote ile ni muhimu sana kiongozi akawa na maamuzi ya aina moja na msimamo wa aina moja, bila kujali matokeo hasi au chanya, lakini kama nchi ikiwa na kiongozi ambae kwa...
1 Reactions
4 Replies
664 Views
Wadau, mimi hayo ndio maswali yangu na anaeweza kutoa majibu atusaidie na ikiwezekana atoe na nyaraka kusapoti majibu yake. Kama ana document za kutangaza tender kama vile gazeti,n.k atuweke hapa...
30 Reactions
473 Replies
78K Views
Nasisitiza tena ukipanda Mahindi utavuna Mahindi. Kigezo cha Marehemu pekee hakitoshi kuzuia ukosoaji,Watu kama wakina Hitler,Mussolin,Mobuttu,Iddi Amin nk ni marehemu bado hadi leo Tawala zao...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini. Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Mtandao wa gazeti la Mwananchi umemnukuu Freeman mbowe akisema kuwa mkutano wa Baraza kuu la Chama umesogezwa mbele toka April 25 Hadi may 11 ili kupisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan
0 Reactions
3 Replies
737 Views
Haya sasa ndiyo kwanza kumekucha. Rais Samia amesema yupo tayari kuhakikisha hali ya kisiasa hapa Tanzania inakuwa sawa kwa kutoa fursa iliyo kamili kwa vyama vyote. Amesema hata kama...
32 Reactions
161 Replies
8K Views
RAISI WETU SAMIA SULUHU HASSAN dira na mwelekeo katika kutatua kero za watu na kufanya maendeleo ya wananchi yapo kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 cha ajabu kwa sasa wewe na team yako...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
KESHO NDIO KESHO, ROYAL TOUR KUZINDULIWA RASMI NEW YORK- MAREKANI. Na Bwanku M Bwanku. Kesho ndio Kesho, Jumatatu Aprili 18, 2022 Dunia nzima itasimama wakati Filamu Maalum ya kutangaza Utalii...
0 Reactions
8 Replies
969 Views
Kwenye kukagua miradi yuko makini sana, anathibitisha yeye mwenyewe yaani kama VAR katika mpira. Tuliona akikagua ubora wa barabara, na sasa tunaona akikagua miundombinu mbalimbali akiwa mkoani...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuhusu kesi ya pili mtuhumiwa alistahili kupelekwa mahakamani kujibu tuhuma hii badala ya kumwachia eti kwa vile mlalamikaji hakuwa tayari kuendelea na kesi. Kwasababu huyo mlinzi alikubali kuwepo...
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako. Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau Baada ya...
13 Reactions
202 Replies
17K Views
Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani. Maoni yangu; Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake? Na kwanini...
8 Reactions
136 Replies
7K Views
Hivi ni kwa bahati mbaya tu au ilipangwa awamu ya tano kuanzia mawaziri,makatibu na sekta nyeti zote za nchi kukamatwa na wasukuma? Mimi binafsi sina shida na wasukuma ni ndugu zangu tena wakwe...
21 Reactions
131 Replies
13K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Frank - Walter Stainmeier kufanya ziara Tanzania, Waziri huyo anatarajia kufanya mazungumzo na Rais wa Tanzania Mama Samia Hassan na Viongozi wa chama kikuu cha...
13 Reactions
51 Replies
4K Views
Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19. Japokuwa...
35 Reactions
228 Replies
11K Views
Maana ya "Malipo hewa" inamaanisha malipo hayo hayakufanyika ila Pesa imepigwa hewani. Sasa kuna watu hawafikirii kwamba malipo hewa manaake nini ila wanaruka ruka tu, ni aibu kama vijana wa nguvu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…