Good people never live longer but their legacy survive ages!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Waafrika wanamuongelea Dr John Pombe Magufuli.
Waafrika wanapata uhuru wa kweli kupitia kifo cha Rais Magufuli.
Waafrika wanatolewa usingizini na kupata hamasa za ukombozi...
Waafrika wanajifunza ukweli wa maisha duniani.

Una hangover bado... kakae nae kwenye friji lugalo
 
chema hakidumu walisema wahenga!
Ila Mungu ni mwema na hudumu milele. Ni msemo tu baada mtu aaminiwaye kuwa ni mwema anapotoweka. Kiukweli chema ndicho hudumu na kibaya huoza. Siku zote mwanadamu hupambana kulinda kilicho chema.
 
Utaandika kila upuuzi lakini ni too late , tulionya mapema sana kwamba hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu , tena tuliandika kwa mifano halisi lakini mlipuuza .
 
Back
Top Bottom