CCM ya sasa ni ya kupambana na marehemu

CCM ya sasa ni ya kupambana na marehemu

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,974
Reaction score
4,904
RAISI WETU SAMIA SULUHU HASSAN dira na mwelekeo katika kutatua kero za watu na kufanya maendeleo ya wananchi yapo kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 cha ajabu kwa sasa wewe na team yako unayoiamini kuwa itakurudisha madarakani 2025 mmebaki kumchafua marehemu ambaye kwa sasa hawezi amka na kujitetea!

Angalia mwenyewe tangu umerithi kijiti hicho zaidi ya madarasa yaliyojengwa kwa tsh trion1.3 umefanya nini, miradi mingi inasuasua huku wananchi wakikamuliwa fedha za tozo tumeona mikopo mingi umekopa lakini hatujaona chochote ulichofanya!

Vijana wako wanakudanganya unaupiga mwingi huku wengine wakijiita nyuki wa mama hao vijana wameshakuingiza chaka na unahofia kivuli chao ukiamini uliokuwa nao 2015 hadi march 17/2021 hawafai na hawezi kukusaidia chochote.

Mfumuko wa bei wa vitu ni mkubwa na wewe kama raisi ulisema vitu vitapanda na kweli vimeshapanda kabla ya vita vya UKRAINE ulivyohadaa wananchi.! Miradi inasuasua mingi huku watu wakijipigia kodi za wananchi hutaki kusikia kelele za wananchi kwani hufanyi ziara yoyote kuwasikiliza na kujuwa kero zao huku ukiamini kwamba viongozi uliowateua wanakufanyia kazi ipasavyo!

Shindaneni na marehemu kwa maneno bila kufanya kazi mkiamini kwamba ushindi mtapata kwa njia yoyote ile lakini sasa hivi wanauelewa utaona mwenyewe 2025.

Nawatakia pasaka njema wazalendo wa taifa hili.
 
Ila watetezi wake mpo,hivyo wakichoka watatulia
 
Bavicha wanamchukia JPM kwa sababu aliwachukuwa Katambi na Silinde na bavicha ikafa kibudu!
Sasa aliiongezea kunguru mara kibwena, mwenye akashanga mbona haya majamaa Yana roho ya chuma🏃🏃
 
RAISI WETU SAMIA SULUHU HASSAN dira na mwelekeo katika kutatua kero za watu na kufanya maendeleo ya wananchi yapo kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 cha ajabu kwa sasa wewe na team yako unayoiamini kuwa itakurudisha madarakani 2025 mmebaki kumchafua marehemu ambaye kwa sasa hawezi amka na kujitetea!

Angalia mwenyewe tangu umerithi kijiti hicho zaidi ya madarasa yaliyojengwa kwa tsh trion1.3 umefanya nini, miradi mingi inasuasua huku wananchi wakikamuliwa fedha za tozo tumeona mikopo mingi umekopa lakini hatujaona chochote ulichofanya!

Vijana wako wanakudanganya unaupiga mwingi huku wengine wakijiita nyuki wa mama hao vijana wameshakuingiza chaka na unahofia kivuli chao ukiamini uliokuwa nao 2015 hadi march 17/2021 hawafai na hawezi kukusaidia chochote.

Mfumuko wa bei wa vitu ni mkubwa na wewe kama raisi ulisema vitu vitapanda na kweli vimeshapanda kabla ya vita vya UKRAINE ulivyohadaa wananchi.! Miradi inasuasua mingi huku watu wakijipigia kodi za wananchi hutaki kusikia kelele za wananchi kwani hufanyi ziara yoyote kuwasikiliza na kujuwa kero zao huku ukiamini kwamba viongozi uliowateua wanakufanyia kazi ipasavyo!

Shindaneni na marehemu kwa maneno bila kufanya kazi mkiamini kwamba ushindi mtapata kwa njia yoyote ile lakini sasa hivi wanauelewa utaona mwenyewe 2025.

Nawatakia pasaka njema wazalendo wa taifa hili.
Wewe msifu kwa mazuri aliekufanyia mjomba yako na waliofanyiwa mabaya waache wamsifie kwa mabaya waliofanyiwa.

Silazimishe jiwe aonekane bora kwa mema uliofanyiwa wewe ilhali kuna watu hatamsahau kwa mabaya waliofanyiwa, kama kweli Ben saa 8 alipotezwa na Jiwe unafikiri wazazi, ndugu na maswahiba wa Ben watakuwa upande wako?
 
RAISI WETU SAMIA SULUHU HASSAN dira na mwelekeo katika kutatua kero za watu na kufanya maendeleo ya wananchi yapo kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 cha ajabu kwa sasa wewe na team yako unayoiamini kuwa itakurudisha madarakani 2025 mmebaki kumchafua marehemu ambaye kwa sasa hawezi amka na kujitetea!

Angalia mwenyewe tangu umerithi kijiti hicho zaidi ya madarasa yaliyojengwa kwa tsh trion1.3 umefanya nini, miradi mingi inasuasua huku wananchi wakikamuliwa fedha za tozo tumeona mikopo mingi umekopa lakini hatujaona chochote ulichofanya!

Vijana wako wanakudanganya unaupiga mwingi huku wengine wakijiita nyuki wa mama hao vijana wameshakuingiza chaka na unahofia kivuli chao ukiamini uliokuwa nao 2015 hadi march 17/2021 hawafai na hawezi kukusaidia chochote.

Mfumuko wa bei wa vitu ni mkubwa na wewe kama raisi ulisema vitu vitapanda na kweli vimeshapanda kabla ya vita vya UKRAINE ulivyohadaa wananchi.! Miradi inasuasua mingi huku watu wakijipigia kodi za wananchi hutaki kusikia kelele za wananchi kwani hufanyi ziara yoyote kuwasikiliza na kujuwa kero zao huku ukiamini kwamba viongozi uliowateua wanakufanyia kazi ipasavyo!

Shindaneni na marehemu kwa maneno bila kufanya kazi mkiamini kwamba ushindi mtapata kwa njia yoyote ile lakini sasa hivi wanauelewa utaona mwenyewe 2025.

Nawatakia pasaka njema wazalendo wa taifa hili.
1- AWAMU ya Nne ilijaa MAFISADI

2- Kuna watawala ambao walikuwa wanasafiri sana ruti nyingi kuliko kuliko Safari za kwenda kuwaona mama zao kijijini

3- Nikiondoka Mimi Nani ataweza??
 
Yupo aliyeweza na wanaofuatia wataweza Kwa uzurikabisa na ubora zaidi,,kwani wamejifunza Kwa makosa ya awamu yenu pendwa.
 
Tunajificha kwenye kivuli cha marehemu kificha maovu yetu
Shida yenu na msichotaka kusema ukweli ni kuwa ndani ya Chama lenu chakavu Chama chukua chako mapema (ccm) ulikuwepo na upo ccm wema na ccm mashetani,hapo ndio ugomvi ulipo .Wema wanajitahidi kujitenga na ccm mashetani na bado wanaotaka waendelee kuwa wamoja🤔
 
Bavicha wanamchukia JPM kwa sababu aliwachukuwa Katambi na Silinde na bavicha ikafa kibudu!
Uongo wako kosa la magufuli alibeba ajenda ya ufisadi akiwa Hana nyenzo muhimu yakumsaidia kupambana na ufisadi akawa anatumia utashi wake bila kujua au alijitoa ufahamu wake nahiyo ndo inamkosti pale viunga vya lumumba na maeneo mengine

Chadema wezenu ufisadi ajenda yao karibia miaka 25 na nyenzo wanazo wanayo nyenzo yao nikwamba wasipoibiwa kura na kukawa na uchaguzi huru wakashinda uchaguzi wafanya mpango wa upatikanaji hafaka KATIBA MPYA na huo ndo nyenzo ........itamkost daima
 
Kwa viwango na maono ya Magufuli hawa wanaomchafua wanaonekana makumbikumbi tu. Kama ni kufa kila mtu atakufa hata hao waliomuua Magufuli. Suala la msingi ni legacy ya maisha yake na katika hili mwamba atabaki katika kumbukumbu za marais wawili bora kabisa wa taifa hili vizazi hadi vizazi.
 
Ulishapeleka taarifa sehemu husika,au ni taarifa ya kutoka kijiwe Cha gongo,Sgang mnavo haha Mungu awape nguvu na Imani iliyo yakweli na thabiti🤔
 
RAISI WETU SAMIA SULUHU HASSAN dira na mwelekeo katika kutatua kero za watu na kufanya maendeleo ya wananchi yapo kwenye ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 cha ajabu kwa sasa wewe na team yako unayoiamini kuwa itakurudisha madarakani 2025 mmebaki kumchafua marehemu ambaye kwa sasa hawezi amka na kujitetea!

Angalia mwenyewe tangu umerithi kijiti hicho zaidi ya madarasa yaliyojengwa kwa tsh trion1.3 umefanya nini, miradi mingi inasuasua huku wananchi wakikamuliwa fedha za tozo tumeona mikopo mingi umekopa lakini hatujaona chochote ulichofanya!

Vijana wako wanakudanganya unaupiga mwingi huku wengine wakijiita nyuki wa mama hao vijana wameshakuingiza chaka na unahofia kivuli chao ukiamini uliokuwa nao 2015 hadi march 17/2021 hawafai na hawezi kukusaidia chochote.

Mfumuko wa bei wa vitu ni mkubwa na wewe kama raisi ulisema vitu vitapanda na kweli vimeshapanda kabla ya vita vya UKRAINE ulivyohadaa wananchi.! Miradi inasuasua mingi huku watu wakijipigia kodi za wananchi hutaki kusikia kelele za wananchi kwani hufanyi ziara yoyote kuwasikiliza na kujuwa kero zao huku ukiamini kwamba viongozi uliowateua wanakufanyia kazi ipasavyo!

Shindaneni na marehemu kwa maneno bila kufanya kazi mkiamini kwamba ushindi mtapata kwa njia yoyote ile lakini sasa hivi wanauelewa utaona mwenyewe 2025.

Nawatakia pasaka njema wazalendo wa taifa hili.
Hatari sana
 
Wewe mbuzi, bajeti ya awamu ya SSH ndio hii ya kwanza, inasomwa Bungeni, 2022/2023
 
Back
Top Bottom