Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli.
Ingawa siikubali CCM na viongozi wake tangu nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii, ila siungu mkono huu unafiki wa kumfanya Mwendazake kuwa is the best so far wakati alifunga watu midomo na hata Media zilidhibitiwa ipasavyo na hivyo kufanya wananchi wasikouwa wafutiliaji kutojua mabaya na mapungufu ya Mwendazake na serikali yake.
Mbali na media, hata Bunge lilidhibitiwa na ndio maana hakuna kamati ya Bunge iliiyowahi kuundwa kuchunguza tuhuma zilizokuwa zinaikabili serikali tofauti sana na wakati wa Kikwete, na matokeo yake baadhi ya wananchi waliamini serikali ya Magu ilikuwa almost perfect.
Kama nakumbuka sawa sawa, Hussein Bashe wakati huo akiwa mbunge tu, alikuja na hoja binafsi ya kutaka Bunge lichunguze mauji ya MKiRU, hoja ambayo hata Bungeni haikufika.
Hivyo, katika kukabiliana na mashambulizi ya kumfanya Mama aonekane si chochote mbele ya Mwendazake, namshauri Mama aunde Tume huru kuchunguza tuhuma nzito za wakati wa Mwendazake kama zile za mauji ya MKIRU, kupotea kwa Ben Saanane, Lissu kupigwa risasi, upotevu wa trilioni 1.5, kutekwa kwa MO, n.k.
Mama akifanya hivi na matokeo ya uchunguzi kutangazwa live kupitia television, nina hakika SUKUMA-GANG watapoteana, na watajipa likizo ya muda ya kutooneka wala ku-post chochote mitandaoni. Pia, watakuwa wapole kama kuku alienyeshewa na maji japo wapo wachache wataosalia mitandaoni kuendeleza propaganda zao dhidi ya Mama kuwa haitoshi kumlinganisha na Mwendazake katika kila sekta.
Kama wasemavyo waswajiki: "akuanzae, mmalize". Mama sasa fanya kweli na kama ni noma na iwe noma.
Anyway, hii ni vita ya panzi furaha kwa Kunguru