Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Frank - Walter Stainmeier kufanya ziara Tanzania, Atafanya Mazungumzo na Rais Samia na Viongozi wa CHADEMA

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,285
9,920
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Frank - Walter Stainmeier kufanya ziara Tanzania, Waziri huyo anatarajia kufanya mazungumzo na Rais wa Tanzania Mama Samia Hassan na Viongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA.

Ziara hiyo inaanza kesho

Source

DW
 
Mbona ACT walikuwa wanasema wao ndio chama kikuu cha upinzani...

images - 2022-03-20T205635.429.jpeg
 
Tumshtue atusaidie kuwashawishi wawekezaji wafungue matawi ya viwanda vyao hapa kwetu kama BMW,Mercedes Benz, Golf, Audi, Volkswagen ili tuweze kuepuka gharama za kuagiza na kodi zinazohusika na uagizaji tuwe na magari ya kuanzia 2010. Soko lipo la kutosha SADC na EAC.
 
... watanzania hawa hawa ambao uwezo wao ni baby walkers za 15+ yrs old?
 
Mkuu tunaweza kuwa tunalipia mdogo mdogo kila mwezi kwa miaka mitano. Mbona Rwanda wanacho kiwanda cha Volkswagen.

Wasisahau kujadiliana kuhusu na viwanda vya matrecta kama Fendt, Claas, Eicher na mbolea (BASF).
Umenena hasa kiwanda cha mbolea hasa kile cha Lindi, kingekuwa kimekamilika siku nyingi kama si utawala ule usiotaka uchumi wa Gesi.
 
Tumshtue atusaidie kuwashawishi wawekezaji wafungue matawi ya viwanda vyao hapa kwetu kama BMW,Mercedes Benz, Golf, Audi, Volkswagen ili tuweze kuepuka gharama za kuagiza na kodi zinazohusika na uagizaji tuwe na magari ya kuanzia 2010. Soko lipo la kutosha SADC na EAC.
Hata umeme wa kuwasha vibatari vyenu hamna, hayo maviwanda yanatumia umeme mwingi kuliko unaozalishwa na TANESCO
 
... Serikali ya Ujerumani kupitia waziri wake huyo itakutana na entity mbili kubwa nchini; Serikali ya Tanzania na Chadema. CCM wenyewe hawamo ndio itakuwa ACT? Jana pia Washington kupitia balozi wake nchini ilikutana na Chadema kujadili, pamoja na mambo mengine, global issues.
1649685005449.png
 
Hata umeme wa kuwasha vibatari vyenu hamna, hayo maviwanda yanatumia umeme mwingi kuliko unaozalishwa na TANESCO

Vipaumbele, mikakati. Rwanda Ghana wanatengeneza Volkswagen. Wana umeme kiasi gani nchi nzima? Assembly plant?

Waharakishe kulimalizia Stigler Gorge.
 
Back
Top Bottom