Kuchanganya siasa na soka, Simba wametukosea sana Watanzania

Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
1,074
1,608
Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na watanzania wa vyama vyote, kuifanya ya CCM ni kuwanyima haki wsnachama wrngine.
Soka ni burudani na nyenzo ya umoja katika jamii na taifa. Kuingiza itikadi katika soka, ni hatari kwa soka lenyewe na kwa taifa kwa ujumla.
Kwa kitendo hiki, Simba wametukosea sana na kujishushia heshima kitaifa na kimataifa
 
Opportunists at work !! Lakini sio mbaya sana maana ndivyo tulivyo waTz ,
 
Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na watanzania wa vyama vyote, kuifanya ya CCM ni kuwanyima haki wsnachama wrngine.
Soka ni burudani na nyenzo ya umoja katika jamii na taifa. Kuingiza itikadi katika soka, ni hatari kwa soka lenyewe na kwa taifa kwa ujumla.
Kwa kitendo hiki, Simba wametukosea sana na kujishushia heshima kitaifa na kimataifa
Kwenye nchi hii nani siyo Mwanasiasa ,mechi ilopita alikua Nape Nauye mbona hukulalamika? Na ni haki gani unanyimwa? Kwan kukunua tiketi ni mpaka uonyeshe kadi ya CCM?
Nenda kapate Burudani wanao cheza ni wachezaji wa simba,mgeni rasmi habadilisha chochote kwenye mchezo!
 
Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na watanzania wa vyama vyote, kuifanya ya CCM ni kuwanyima haki wsnachama wrngine.
Soka ni burudani na nyenzo ya umoja katika jamii na taifa. Kuingiza itikadi katika soka, ni hatari kwa soka lenyewe na kwa taifa kwa ujumla.
Kwa kitendo hiki, Simba wametukosea sana na kujishushia heshima kitaifa na kimataifa
Subiri Simba kama watabamizwa na Orlando ndio watawajua wenye Simba yao !! Aliyetoa mualiko itabidi ajieleze sana na sijui kama watamuelewa !!
 
Na kwa hili walilofanya kudadeki Simba hatoboi hapa.Hata akishinda leo South ataoga magoli.

Kinana wa nini sasa simba? Hovyo kabisa hovyoooo.Nimeichukia sana simba leo
 
mambo mengine unapotezea tu, nenda kacheki game la Simba vs Orlando pirates na ya Kinana yaweke pembeni....
 
Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini.
Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi.
Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na watanzania wa vyama vyote, kuifanya ya CCM ni kuwanyima haki wsnachama wrngine.
Soka ni burudani na nyenzo ya umoja katika jamii na taifa. Kuingiza itikadi katika soka, ni hatari kwa soka lenyewe na kwa taifa kwa ujumla.
Kwa kitendo hiki, Simba wametukosea sana na kujishushia heshima kitaifa na kimataifa
Na kwa ujinga huu lazima watatolewa mapema ili wakome
 
Dikteta wenu nilikuwa simpendi. Walichofanya Simba ni ujuha!

Ushindi ni lazima leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom