Malipo hewa vyama vya siasa CHADEMA, CUF, NRA, ADC na AAFP siyo kwamba wamekula Pesa

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Maana ya "Malipo hewa" inamaanisha malipo hayo hayakufanyika ila Pesa imepigwa hewani. Sasa kuna watu hawafikirii kwamba malipo hewa manaake nini ila wanaruka ruka tu, ni aibu kama vijana wa nguvu kazi ya kesho ndio hawa! Tunayo safari ndefu sana kufika.

Taifa hili wapumbafu, Wajinga na mataahira ni wengi kuliko inavyodhaniwa.
Screenshot_20220416-221617_Facebook.jpg
 
CAG anamaanisha vyama hivi vimefanya malipo hewa

Yaani vimekaguliwa ikabainika vimelipa pesa ambazo ni hewa

CDM ambayo ndio tunaona kama mbadala wa CCM lakn nao kila mwaka kwenye ukaguzi kunabainika ufisadi/upigaji wa pesa
 
CAG anamaanisha vyama hivi vimefanya malipo hewa

Yaani vimekaguliwa ikabainika vimelipa pesa ambazo ni hewa

CDM ambayo ndio tunaona kama mbadala wa CCM lakn nao kila mwaka kwenye ukaguzi kunabainika ufisadi/upigaji wa pesa
CAG huwa anatangaza malipo hewa kwa vitu vipo vimenunuliwa labda delivery note haionekani. A nawatangazia ni HEWA kwa nini asitangaze vilivyonunuliwa vinakosa nyaraka fulani anasema ni HEWA? HEWA MAANAKE HAVIPO. Eti kama uliingiza kwenye vitabu ukaanza kutumia na wanaona kabisa vipo lakini ikasahaulika kuitoa kwenye LEJA NAYO NI MANUNUZI HEWA!!! HII HEWA YA CAG WANANCHI WANALAUMU WATU NI WEZI KWA MANUNUZI YA KWELI ILA KUTOKUWEKA NYARAKA SAWASAWA. AWE ANATANGAZA HALI HALISI NA SIO HEWA KILA KITU
 
Na upumbavu uliotukuka ni pale tunapojadili milioni selathini na nane tukaacha kujadili kidonge kimoja kinachouzwa milioni nne lakini ccm wamekununua Kwa milioni mia mbili selathini na nane
 
Hizi ripoti huwa zinasomwa tu na kufungiwa kabatini na maisha yanaendelea kama kawaida.
 
Kwshiyo Mbowe alikuwa akiidhinisha malipo toka serikalini kwenda kwenye hivyo vyama! Sijui nikuweke fungu gani.

Soma uelewe mkuu mbona ishu easy sana

Vyama vya siasa ni mali ya umma, navyo hukaguliwa.
CAG kasema kabaini malipo hewa kwenye vyama vya siasa,

Ingekuwa ni Serikalini kwenda vyamani angesema 'Nimebaini malipo hewa Hazina/Serikalini ya tsh.. yaliyotakiwa kulipwa vyama vya siasa'

Ila hapa amebaini upigaji kwenye hivi vyama vinavyopinga ufisadi

CAG alipokagua kabaini dosari ktk vyama hvyo ikiwemo malipo hewa waliyoyafanya, na hii si mara ya kwanza kwani miaka kadhaa nyuma ilishabainika malipo hewa ya takribani 200ml kwa Chadema ikimlipa Mbowe ilhali hakuna nyaraka kuthibitisha hayo

CCM na CDM ni beka na bakari, wote walewale tu
 
Back
Top Bottom