Nimemwona Mhe. Rais USA anatembea na gari Moja TU bila walinzi na mitutu. Naamini hii inatoa picha kwamba experience aliyopata itasaidia kupunguza msafara wake nakubana matumizi.
Lakini pia...
Huu ni upigaji mkubwa sana, na still hakuna hatua za maana zitakazo chukuliwa, zaidi ya watu kuhamishiwa taasisi zingine, au kutumbuliwa na kibaya sana ni sisi wananchi kuingiza utani na mzaha...
Ni ukweli kuwa upinzani uko I. C. U tangu kuanguka kwake 2020 ,hii ilikuwa baada ya Magufuli kupiga kazi ya zaidi ya miaka 50 ndani ya miaka 5 (hii ni kwa mujibu wa Rais Ally Hasani Mwinyi) dunia...
Wanajamvi,kama kweli huyu jamaa ni mzalendo na kama anachukia ufisadi kwanza kemea ufisadi wa nchi hii waziwazi, na pia akane kushurikiana na ccm waziwazi tena kwa vitendo.
Na kama Zitto ni...
Mbona mkuu wa nchi yetu kama anafanya ndivyo sivyo? Kuongoza nchi kumbe kazi sana. Upo nje kwenye ziara ya kikazi alafu unaeleza kwenye media kubwa kama NY times kuwa mtangulizi wako alikuwa...
Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli.
Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo...
... Inakaribia Kupasuka!.
Preamble: Mimi ni supporter wa ZZK kwenye urais 2015, ila kwa jinsi hii ngoma inavyovurumishwa na kuzidi kutoa mlio mkubwa humu jf, hii ni ishara mbaya kuwa hii ngoma...
To Mh. Tundu Lissu and Mh. Zitto Kabwe...
Life's challenges are not supposed to paralyze you; they're supposed to help you discover who you are. There are no great people in this world, only...
Wanabodi,
Nimekuwepo Dodoma kwa haya na yale na miongoni mwa mengi, nimepata fursa kuzungumza na ZZK kuhusu his presidential bid ya 2015!.
Ame confirm bila kuuma maneno kuwa ni kweli yeye ni...
Hakika inashangaza sana Kiona Vijana UVCCM wapo KIMYA KABISA juu yanayojiri katika RIPOTI ya CAG Aliyomkabidhi Mwenyekiti wa Ccm Na RAIS wa Tanzania.Nilitarajia kuwasikia VIJANA UVCCM wakiichambua...
Wanabodi
Anza na kumsikiliza
Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau...
Wanabodi,
Akizungumza kwenye mahojiano ya live kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo cha TV cha Clouds TV, akizungumzia kuhusu ndege mpya za Bombadier, (Wakati Rais Magufuli...
Tangu kitambo kidogo,umekuwa ukimnadi Edward Ngoyai Lowassa na kutuaminisha kuwa ndiye chaguo sahihi la CCM na nchi kwa ujumla kwa nafasi ya Urais 2015. Na hivi karibuni,hasa leo,umechomoza kama...
Nyie watani zangu wa upande ulioumia kwa kukosa kututawala kwa yale mabavu yenu,.
Najua mnaumia sana kuona mama akirudisha mfumo na chama kwenye default, poleni sana.
Ile ya Abdrahman Kinana ni...
ZITTO KABWE NA ACT, VIONGOZI WA HALMASHAURI ILIYOPATA HATI CHAFU.
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Niliwahi kusema kuwa wengi wa wakosoaji wa serikali ni wapiga kelele. Kuna tofauti kati...
Askofu wa Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara, mhashamu Severine Niwemugizi amesema ripiti ya hivi karibuni ya CAG imedhihirisha uongo wa watawala.
Katika salaam zake za Pasaka, Askofu Niwemugizi...
Wanabodi,
Leo asubuhi nimepata fursa ya kufuatilia mjadala live wa Star TV kuhusu kasi ya Magufuli kwenye kupambana na Rushwa na Ufisadi ambapo wageni waalikwa ni Renatus Mkinga na Prof. Kitila...
Wanabodi,
Bandiko hili ni kufuatia hoja ya mwana jf huyu.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa...
Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa...
Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola?
Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na...