WATANZANIA WENGI NI LOW KEY KWENYE ISHU ZA MSINGI; HIGH KEY KWENYE UPUUZI. RAIS PANDISHA KEY
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Nimefurahishwa kwa kiasi kikubwa na mwanzo mzuri Rais, Mhe Samia Suluhu...
Mliochukizwa na ununuzi wa ndege, kunyweni sumu
Mliochukizwa na upanuzi wa bandari na viwanja vya ndege, kunyweni sumu ya panya
Mliochukizwa na ujenzi wa reli mnywe sumu, mliochukizwa na ujenzi...
Mama Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa nasikitika leo kusema kuwa mpaka kufikia mwaka 2030 kama nguvu kubwa zaidi hazitatumika za kubadili mfumo mzima wa maisha yetu, nahofia vurugu...
CCM ni panya na hawa bila kuwaondoa hakuna Mabadiliko, hawa wanacho kifanya kila uchaguzi ukifika wanaleta Sura mpya na kuwahadaaa wananchi kwamba hii ni CCM Mpya, Baada ya huyu Mama watakuja na...
Kuna Post Kaiweka Zitto Kwenye Ukurasa wake wa facebook(Nakuwekea hapo chini)..
Kwangu mimi kwa namna yeyote Ile Putin ni kiongozi bora Mno kwenye karne ya sasa na mfano wa kuigwa,Ameirudisha...
Ninashangaa sana hili. JPM anaonekana kuwa Kiongozi mzuri sana kati ya viongozi walioitumikia Tanzania na wakati huo huo anaonekana ni Kiongozi mbaya sana kati ya wote waliopita - Hasa kwenye...
Napitia mambo mbalimbali kuhusu Umoja Party ili nione kama nasi tutashawishika nacho.
Je, wana malengo sahihi?
Je, wana maono ya kweli?
Je, ni wamoja kweli?
Wasije kuwa kama ile UKAWA tukajua...
Chadema imesema Tanzania inafanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa.
Hayo yamesemwa na mbunge wa Nkasi na mjumbemwa kamati kuu ya Chadema mh Aida Kenani katika mahojiano maalumu na...
Sikuwahi kuelewa kabisa kwanini mzee Sumaye alikubali kudhalilishwa kwa kiwango kile.
Yaani mzee Edward Lowassa anapewa tiketi ya kugombea urais wa JMT kushindana na Shujaa Magufuli.
Halafu mzee...
WAKILI PETER MADELEKA: MIMI NA MKE WANGU TULIKAMATWA NA KUSHTAKIWA KWA UHUJUMU UCHUMI, NITAWASHTAKI
Source : mubashara studio
KESI Na. 10 ya mwaka 2021 SERIKALI YADAIWA FIDIA YA MALI
Wakili...
Pokeeni pongezi zangu za dhati kwanza kwa kuwaza na kuamua kutengeneza chama chenye mlengo na falsafa anuia za Hayati na Kipenzi chetu Dr. Magufuli. Hakika mmefanya jambo kubwa nala kutukuka sana...
Watanzania wengi hawajui kwamba Wamachinga hawasaidii nchi yetu badala yake wanatumika kwa siasa pekee. Watanzania wanashangilia wamachinga ambao hawalipi kodi halafu wanalalamika wenyewe...
Kuna watu walikuwa wanajifanya wazalendo mpaka kupiga wengine risasi. Lakini ni wazalendo gani wanampiga mtu risasi akiwakosoa, wanataifisha pesa za watu kwenye bank, waharibu biashara na...
Habari zenu wana JF. Moja kwa moja kwenye mada;
Kulingana na maono yangu kuhusiana na suala la maendeleo katika jamii ya watu wa Tanzania, naona asilimia kubwa ya watu wamesahau kitu ambacho...
Kuna taarifa kwamba Tundu Lisu ameasisi hii kitu inaitwa Join the Chain ili kuwanasa kundi la wanyonge lililokuwa linamkubali sana shujaa Magufuli.
Kwamba wakati wa kampeni watu wa chini...
Mimi ni diaspora hapa US state ya Texas na kwa hii miaka miwili nina nunua vitu vingi mitandaoni kwa kutumia Amazon. Kwasababu serikali inatafuta njia ya kutoza kodi za mitandao US ni mfano mzuri...
Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.
=====
UPDATES
======
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja...
Alie kuwa waziri wa Fedha na alie kuwa katibu mkuu Wizara ya Fedha, hawa mpaka sasa walipaswa kuwa wako ndani, sema kwa mfumo wa CCM hawa ni wazalendo, hawa ni wafia chama so lazima walindwe kwa...
Baada ya kupisha Sikukuu ya Pasaka, tunayo furaha kukutaarifu kwamba ile kampeni kabambe ya kuchangia Chadema, Join The Chain au SHILINGI YETU NGUVU YETU inaendelea.
Leo hii 20/04/2022 imeingia...
Wanajamvi habari za usiku,
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari nyumbani kwangu na rafiki ambaye amenitembelea, nikaona taarifa ya walimu kuandamana kutoka jijini Mwanza wakimlalamikia...