Ufisadi wa CCM katika Picha

Ufisadi wa CCM katika Picha

ANAUPIGA MWINGI

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2022
Posts
388
Reaction score
757
CCM ni panya na hawa bila kuwaondoa hakuna Mabadiliko, hawa wanacho kifanya kila uchaguzi ukifika wanaleta Sura mpya na kuwahadaaa wananchi kwamba hii ni CCM Mpya, Baada ya huyu Mama watakuja na mtu mpya na watahadaaa wadanganyika kwamba hii sasa ni CCM Mpya,

IMG_20220421_080604.jpg
 
View attachment 2194974
Mamilioni ya michango waliyokuwa wanakatwa wabunge kuanzia 2016 hadi 2020 yaliishia huku. Hapo bado hatujazungumzia ruzuku

images (39).jpeg

images (23).jpeg
 
Kama hata serikali ya ccm inashindwa kitu kidogo tu cha kumkata Mbowe kwa ufisadi...sasa inaweza nini?
Wanamkamataje na wakati yupo ndani ya mfumo? Wewe unafikiri kile kitendo cha kumleta Lowa aje avuruge uchaguzi wa 2015 ili auwe nguvu za chama zilizokuwa tayari zimeshajengwa na dr Slaa ilikuwa ni bahati mbaya? Huu ni mkakati wa kuihadaa dunia ili ionekane kuwa TZ kuna demokrasia ila kiuhalisia wote ni wale wale CCM tu. Amka kijana
 
Dr Slaa ndiye aliyeijenga Chadema? Amka usingizini.

Ulikuwa hujazaliwa wakati Aman Warid Kaborou anashinda ubunge wa Kigoma mjini na kuwa katibu mkuu wa Chadema.
 
prove more
 
Kwa hiyo unakubali ccm ni chama cha mafisadi!
 
Dr Slaa ndiye aliyeijenga Chadema? Amka usingizini.

Ulikuwa hujazaliwa wakati Aman Warid Kaborou anashinda ubunge wa Kigoma mjini na kuwa katibu mkuu wa Chadema.
Chadema imekuwa chama kikuu cha upinzani chini ya ukatibu mkuu wa dr Slaa kutokana na kuwa na uwezo mkubwa kisiasa, mjengaji mkubwa wa hoja na mletaji wa amsha amsha chamani. Kaburu amekaa Chadema muda mrefu na hakuwahi kukisaidia chama hicho kupata wabunge hata 15 tu wa kuanzia. Kuwa mkweli ili nafsi yako iwe huru mkuu, usijaribu kutengeneza tengeneza visababu visivyokuwa na ukweli huku moyo wako ukijuta kwa uongo wako mwenyew.
 
Freeman Mbowe alikuwa katibu mkuu, akaja akautema ubunge akagombea Urais ili aijenge Chadema.

Mbowe aligombea Urais wakati JK ana mvuti wa nguvu mpya na hali mpya lakini Mbowe hakujali alitembea nchi nzima.

Na usisahau Dr Slaa akiwa katibu mkuu Mbowe ndio mwenyekiti, na ilipofika zamu ya Dr Slaa kupendekezwa na kamati kuu agombee Urais aliweka sharti akishindwa awe analipwa mshahara wa kibunge, mtu wa hovyo kabisa huyu Padre Slaa.
 
Nimesikitika sana leo,Ile Ruby iliyotangazwa Dubai kuwa imetoka Tanzania,wizara haijui chochote
 
Back
Top Bottom