Report ya CAG, watu wa Kuanza nao ni Philip Mpango na Dotto

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,687
6,428
Alie kuwa waziri wa Fedha na alie kuwa katibu mkuu Wizara ya Fedha, hawa mpaka sasa walipaswa kuwa wako ndani, sema kwa mfumo wa CCM hawa ni wazalendo, hawa ni wafia chama so lazima walindwe kwa vyovyote vile.

Ila bila kuanza na hawa hakuna haja ya kugusa hao wa chini na vita yoyote ya kupambana na Ufisadi haitakuwa na maana endapo hawa wawili wataachwa watambe, Mwenzao mmoja alisha Tangulia ambaye ndio alikuwa anawatuma,

Philip Mpango anaujua fika huu upigaji wa aamue yake na Mwendazake
 
Kwani ripoti ya CAG inasema wamefanyaje?

TAKUKURU si ipo; kwanini haikuchukua na haichukui hatua zinazostahili?
 
Kwa mwananchi awaye yeyote mwenye akili timamu, kukubali kuwa hao ndy wenye tatizo utakua ni usngz wa hali ya juu.Ufisadi umeanza kufahamika mda mrefu na baadhi ya skendo zilipata kuyumbisha serkali. Eg.Richmond,kaghoda nk...huu ufisadi unaoendelea ni kushindwa Kwa Serikali ya chama kilichomadarakani kiklindwa na vyombo vya dollar
Unajiuliza Nchi inatafunwa vyombo vipo kimya ila kwenye uwizi wa kuku vnatoka kwenye media eti" tumekamata mtuhumiwa "!. Wananchi tuamke jamani nchi inatafunwa na wachache huku sisi tukilalia mlo mmoja,!!
 
Alie kuwa waziri wa Fedha na alie kuwa katibu mkuu Wizara ya Fedha, hawa mpaka sasa walipaswa kuwa wako ndani, sema kwa mfumo wa CCM hawa ni wazalendo, hawa ni wafia chama so lazima walindwe kwa vyovyote vile.

Ila bila kuanza na hawa hakuna haja ya kugusa hao wa chini na vita yoyote ya kupambana na Ufisadi haitakuwa na maana endapo hawa wawili wataachwa watambe, Mwenzao mmoja alisha Tangulia ambaye ndio alikuwa anawatuma,

Philip Mpango anaujua fika huu upigaji wa aamue yake na Mwendazake
Bi kidude hayumo? Huyu ni zao la uovu...rejea kejeli alizotoa wakati wa kampeni kuhusu shambulio la jaribio la kumtoa uhai Lissu. " Polisi wa ccm hawawezi......."
 
Mleta mada umeweka Uzi wako ki-dadapoa sana. Natamani ungeweka mezani vielelezo au ushahidi wa wizi wa Kila mmoja. Au vifungu vya RIPOTI ya CAG vinavyowalenga hao uliowataja. Vinginevyo hauna tofauti na wale wadudu wa pale Kona bar pale Mori
 
Nilikuwa mbali Sana na siasa naomba mnifahamishe ni ufisadi kiasi gani umeibuliwa na huyo CAG nimeona nyuzi nyingi humu leo ni za kufukua makabur kipind cha prof Asad ndie CAG
 
Alie kuwa waziri wa Fedha na alie kuwa katibu mkuu Wizara ya Fedha, hawa mpaka sasa walipaswa kuwa wako ndani, sema kwa mfumo wa CCM hawa ni wazalendo, hawa ni wafia chama so lazima walindwe kwa vyovyote vile.

Ila bila kuanza na hawa hakuna haja ya kugusa hao wa chini na vita yoyote ya kupambana na Ufisadi haitakuwa na maana endapo hawa wawili wataachwa watambe, Mwenzao mmoja alisha Tangulia ambaye ndio alikuwa anawatuma,

Philip Mpango anaujua fika huu upigaji wa aamue yake na Mwendazake
Philip mpango Alikuwa hana kauli mbele ya mmagufuli na mpwa wake, Mpango Ni msafi sio mwizi
 
Ndiyo maana walijiwekea kinga mapema ili wapige pesa vizuri
 
Philip mpango Alikuwa hana kauli mbele ya mmagufuli na mpwa wake, Mpango Ni msafi sio mwizi
Huwezi kutekeleza mauaji kisa umeagizwa na fulani mwisho ukasema wewe siyo muuaji, wote ni wachafu angekuwa msafi angejihuzulu mapema, kuna majaji watatu kama sikosei 2018 waliachia ngazi
 
Mleta mada umeweka Uzi wako ki-dadapoa sana. Natamani ungeweka mezani vielelezo au ushahidi wa wizi wa Kila mmoja. Au vifungu vya RIPOTI ya CAG vinavyowalenga hao uliowataja. Vinginevyo hauna tofauti na wale wadudu wa pale Kona bar pale Mori
Unataka ushahidi gani zaidi ya huo?
 
Kwa mwananchi awaye yeyote mwenye akili timamu, kukubali kuwa hao ndy wenye tatizo utakua ni usngz wa hali ya juu.Ufisadi umeanza kufahamika mda mrefu na baadhi ya skendo zilipata kuyumbisha serkali. Eg.Richmond,kaghoda nk...huu ufisadi unaoendelea ni kushindwa Kwa Serikali ya chama kilichomadarakani kiklindwa na vyombo vya dollar
Unajiuliza Nchi inatafunwa vyombo vipo kimya ila kwenye uwizi wa kuku vnatoka kwenye media eti" tumekamata mtuhumiwa "!. Wananchi tuamke jamani nchi inatafunwa na wachache huku sisi tukilalia mlo mmoja,!!
Hili pia ni tatizo shida ni kwamba POLICE ni wezi, TAKUKURU ni wezi wakuu, sasa nani anaaza kumfunga pake kengele?
 
Ukitaka kuanza na Mpango.Mtoe kwenye umakamu wa Rais.Halafu uchaguzi nchi iende kwenye uchaguzi.
Alie kuwa waziri wa Fedha na alie kuwa katibu mkuu Wizara ya Fedha, hawa mpaka sasa walipaswa kuwa wako ndani, sema kwa mfumo wa CCM hawa ni wazalendo, hawa ni wafia chama so lazima walindwe kwa vyovyote vile.

Ila bila kuanza na hawa hakuna haja ya kugusa hao wa chini na vita yoyote ya kupambana na Ufisadi haitakuwa na maana endapo hawa wawili wataachwa watambe, Mwenzao mmoja alisha Tangulia ambaye ndio alikuwa anawatuma,

Philip Mpango anaujua fika huu upigaji wa aamue yake na Mwend
 
Alie kuwa waziri wa Fedha na alie kuwa katibu mkuu Wizara ya Fedha, hawa mpaka sasa walipaswa kuwa wako ndani, sema kwa mfumo wa CCM hawa ni wazalendo, hawa ni wafia chama so lazima walindwe kwa vyovyote vile.

Ila bila kuanza na hawa hakuna haja ya kugusa hao wa chini na vita yoyote ya kupambana na Ufisadi haitakuwa na maana endapo hawa wawili wataachwa watambe, Mwenzao mmoja alisha Tangulia ambaye ndio alikuwa anawatuma,

Philip Mpango anaujua fika huu upigaji wa aamue yake na Mwendazake
Tungekuwa serious na mali za umma kweli hawa wangekamatwa haraka sn kwa uhujumu uchumi
 
Back
Top Bottom