WanaCCM wamechukia na hawashiriki chaguzi za ndani za CCM

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.

CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.

WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.

Hayati JPM hachafuki.

Wana
CCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
 
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.

CcM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.

WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.

Hayati JPM hachafuki.

Wana
CCM wanajua kabisa wanakiibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Atachafukaje wakati hayupo? Wanaotaka kumchafua au kumsingizia wanapoteza muda japo alikuwa na mapungufu mengi kama vile kumteua na kumlea Bashit na kuhujumu uchaguzi wa wabunge na kupitisha mizogat kama Gwajima.
 
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.

CcM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.

WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.

Hayati JPM hachafuki.

WanaCCM wanajua kabisa wanakiibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Vile vile na kujifunza kuwa na Demokrasia ndani ya Chama chao.

Kidumu!
 
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.

CcM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.

WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.

Hayati JPM hachafuki.

Wana
CCM wanajua kabisa wanakiibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Mleta mada unapaswa kufahamu hapa.

CCM ni taasisi, ni kubwa kuliko Magufuli, imekuwepo kabla ya Magufuli kuwa rais na imeendelea kuwepo hata baada ya Magufuli kufa. CCM ni maji na Magufuli alikuwa ni samaki tu ndani ya maji.

Magufuli alishakufa (hawezi kufanya chochote), CCM ya sasa haikumpenda Magufuli na haina mpango na siasa za Magufuli.

Watetezi wa Magufuli tafuteni kazi nyingine za kumfanya, kuipambania legacy ya Magufuli hakuwezi kuwafaidisha chochote.
 
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.

CcM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.

WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.

Hayati JPM hachafuki.

Wana
CCM wanajua kabisa wanakiibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.

Sio kweli acha upotoshaji,l wa kijinga, Magufuli ndio amesababisha chaguzi za chama na nchi hii kupuuzwa. Na hayo unayoyaona ni cha mtoto, ngoja kwenye uchaguzi mkuu kama utaona watu wakijitokeza tena kupiga kura. Magufuli ndio muhusika namba moja wa watu kudharau chaguzi za nchi hii. Machafuko tu ndio suluhu ya hiki chama kichovu.
 
Hivi unajua Nyankurungu2020 kichaa harogwi tena na mchafu hawezi kuchafuka tena?
 
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.

CcM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.

WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.

Hayati JPM hachafuki.

Wana
CCM wanajua kabisa wanakiibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.

Pamoja na kwamba siipendi CCM , lakini nikwambie kitu Magufuli hakuwa na influence CCM zaidi ya ubabe. Na CCM itendelea hata Kama inakaribia kaburini.
 
Sio kweli acha upotoshaji,l wa kijinga, Magufuli ndio amesababisha chaguzi za chama na nchi hii kupuuzwa. Na hayo unayoyaona ni cha mtoto, ngoja kwenye uchaguzi mkuu kama utaona watu wakijitokeza tena kupiga kura. Magufuli ndio muhusika namba moja wa watu kudharau chaguzi za nchi hii. Machafuko tu ndio suluhu ya hiki chama kichovu.

Nashangaa mkuu watu wanataka kutudanganya as if hatukuwepo. Mtu kaharibu uchaguzi 2019 na 2020, mpaka hamu ya uchaguzi ikaondoka.
 
Back
Top Bottom