Vita ya Ukraine ni kiinimacho chenye 'ajenda'

Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
1,028
2,448
Kuna nchi inajiita "super power", lakini imeshindwa kudhibiti kanchi kaduchu kama Ukraine.

Ndani ya miezi miwili ni stori tu. Vita imegeuka kuwa propaganda na porojo za kwenye mitandao ya kijamii na kwenye television.

Siku hizi wamekuja na hadithi mpya, wanasema ati wanajeshi wamerudi nyuma (sijui hata nyuma ya wapi?).

Mara sijui wanajeshi wana kiu hawana maji. Porojo kibao.

Baada ya igizo la corona kubuma, wazee wameamua kuja na tamthiliya mpya ya vita. Ni mwendo wa isidingo zisizo na mwisho.

Yaliyojificha nyuma ya maigizo haya tutayajua baada ya kitambo kifupi. Bado kitambo kifupi Ulimwengu utaamka kutoka usingizini.

Unaweza kuwadanganya watu, lakini huwezi kuwadanganya siku zote.
 
Mitandao umepewa ya Nini?uwe Basi unaingia net za aljazeera,BBC





Mods msipofuta huu Uzi nitashangaa Sana mtu Hana ushahidi kajiskia TU kuandika jf nako kumezidi Uhuru.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bongo Raha Sana, kwa Ile ni comedy!! Utakuwa mfuasi wa " Vita ya uchumi ni mbaya sana ndugu zangu..."
 
Pale kuna kitu kinatafutwa ,wazee wote wa Dunia wamepatolea macho , palipo na mzoga ndo wanapokusanyika Tai ....!! Funga mkanda mapema , game starts
 
Back
Top Bottom