Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto.
Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death)...
Baada ya miaka 16 wiki ijayo tutashiriki sherehe za Mei Mosi bila mgeni rasmi kuulizwa na walimu " shemeji unatuachaje?"
Labda kama kipenzi cha walimu Dkt. Paul Makonda atakuwa ameandamana na...
Siku ya tarehe 23 Aprili, 2022 Rais Samia alishiriki utiaji saini wa makubaliano ya kibiashara baina ya kampuni ya Taifa Group na kampuni ya Northern feed co.
Mkataba huo wenye thamani ya Dola...
Ndugu zanguni, hapo nyuma kidogo na sasa kwa uchache baadhi ya watu wamekuwa wakitoa kauli za kubeza kazi nzuri zilizofanywa na JPM kwa kejeli na dhihaka.
Nadhani lengo lao kubwa ni kutaka kufuta...
Jamii forum Facebook account pamoja na Habari leo ni baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti hoja ya visa bandia zilizokamatwa zikitokea afrika kusini; Kwa urahisi wa rejea wanajamvi tunaweza...
Mgodi wa Barrick North Mara uliopo mkoani Mara umepigwa faini ya shilingi Bilioni moja na Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kosa la uchafuzi wa mazingira baada ya...
Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea...
CCM AWAMU ya 5 ilikuwa na MAMBO jamani
Mambo yenyewe ni kama
WATEULE wa MWENDAZAKE walikuwa WABABE SANA akina MAKONDA POLEPOLE HERI JAMES MNYETI SABAYA na wengine POLISI walikuwa BEGA kwa BEGA na...
Jenelari Ulimwengu amesema CCM imerekebisha katiba yake ili kuongeza ushiriki wa wanachama kama ilivyokuwa kabla hayati Magufuli hajawa mwenyekiti.
Kinana ni mtu pekee aliyebaki mwenye uwezo wa...
Naibu waziri wa fedha na Mipango , Hamad Chande amezitaka taasisi za dini hapa nchini kudumisha ushirikiano na serikali ili matendo maovu yakiwemo mauaji yanayoendelea hapa nchini yakomeshwe...
Na Dotto Bulendu
Mwaka 2009 ndiyo mwaka niliyokutana rasmi na wakili Tundu Lissu,wote tulikuwa katika kazi zinazofanana,yeye alikuwa anafanya utafiti chini ya Norwegian Church kuhusu athari za...
Waasalam!
Hili ni ombi muhimu sana kwa Rais wetu mpendwa, anairudisha nchi katika muelekeo sahihi basi na sie vijana tulio sekta binafsi ambao tunatamani kujiajiri tunatamani sana fao la kujitoa...
"Siko Jela kwa Kuwa nampigania Mke Wangu, niko Jela kwa kuwa napigania maslahi ya Nchi napigania maslahi ya wanyonge"
2. "Humu ndani 90% ni watoto wa wanyonge hawana makosa wengine wamekosa tu...
UVCCM_TAIFA
APRIL 24,2022
IRINGA,
KUMEKUWA NA TABIA YA BAADHI YA VIONGOZI KUPANGA SAFU,MAANA YAKE WANACHAGUA WATU AMBAO WANAWAWEKA MADARAKANI (KUWAPA UONGOZI) ILI WATU HAO WAWE WANAITIKA KWAO NA...
Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya Leo ni
wito kwa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira NEMC, Kuwapiga Faini Mgodi Kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwa...
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amelazimika kuahirisha shughuli za Bunge hadi Jumatano ya April 27 kutokana na kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa (CCM), Irene Alex...
Kuna sitofahamu inaendelea wilaya ya Tunduru-Ruvuma. Akina mama wakiwapeleka watoto kliniki wanazuiwa kupewa kadi za kliniki mpaka wachanjwe wanapata usumbufu kupata huduma za msingi.
Hapa...
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali...
Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:
Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi...
Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila Mkumbo ametolea ufafanuzi taarifa zinazozagaa mitandaoni kwamba bei za Vifaa vya ujenzi zimepanda.
Kitila amesema viwandani ambako ndiko bidhaa...