Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakika sasa ni wazi dhuluma ya uchaguzi haitawaacha salama. Kumbe pamoja na malalamiko ya kupora kura za wananchi hata wazabuni wenu wa matangazo, machapisho, vipeperushi, T shirts na vitenge na...
5 Reactions
13 Replies
855 Views
Watanzania walio wengi walimkubali sana Magufuli. Magufuli aliwafungua macho watanzania, Wanasiasa walikuwa wanatudanganya kuwa nchi yetu ni maskini ili kuhalalisha wizi na ufisadi wao. Wengi wa...
31 Reactions
122 Replies
6K Views
Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi...
6 Reactions
87 Replies
11K Views
Mwaka 2018 Zitto aliishauri serikali kuzinunua korosho za wakulima ili iweze kuwasaidia wakulima dhidi ya mkwamo uliotokea. Zitto alisisitiza kuwa Serikali isiwaze juu ya faida ambayo itapata ila...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Sijui viongozi wetu wanawaza nini lakini kwa kifupi ama wamepotoka au wanapotoshwa. Filamu ya aina ya Royal Tour si ya kwanza kuandaliwa duniani, ndugu zetu wa Rwanda walikwisha iandaa na...
18 Reactions
102 Replies
7K Views
Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali. Dkt. Mollel nae...
3 Reactions
73 Replies
5K Views
Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini. Hali hii ni...
1 Reactions
3 Replies
746 Views
Ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa ili kufanikiwa , inatakiwa kutumia akili na ushawishi mwingi huku ukitumia nguvu kidogo sana au usitumie nguvu kabisa. Ukifanya kinyume chake yaani kutumia nguvu...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Recently Wilbroad Slaa amekua akitoa matamko ya kuihusisha CHADEMA na mambo ya kipuuzi sana. Leo nimeona Tena amenukuliwa akidai kuwa CHADEMA ilimtumia Mlinzi wake kufanya ukatili kwa kiongozi wa...
7 Reactions
102 Replies
7K Views
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party...
13 Reactions
165 Replies
11K Views
Kwanza Rais wa JMT nakupongeza kwa jitihada zako za kupigania maisha ya Watanzania. Nimefurahishwa sana na wazo lako la filamu inayotangaza vivutio vya utalii nchini. Ziara yako Marekani ni...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Msikilize hapa huyu Mkuu wa kitengo cha Maelezo. Anajitambua kweli? 👇
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu habarini za asubuhi, Kwanza nimshukuru mheshimiwa Rais nimeamka vyema buheri wa afya[emoji16]. Pasipo kuwachosha nahitaji uliza Jambo hapa, moja Kati ya sababu ya kupungua kwa watalii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount...
5 Reactions
69 Replies
6K Views
Rais Samia kuzungumzia Ufisadi kwa sasa ni sawa na kwenda against timu yake mpya ambayo imejaaa Wapigaji ambao ni Certfied. Timu yake ukiangalia ni timu ya wapigaji ukianza na Waziri wake wa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Uwajibilaji, uzalendo na uadilifu ni vigezo muhimu kwenye Taifa huru linalotaka kuendelea. Ni nguzo muhimu Kwa chama Cha siasa kinachojali maslahi ya umma na njia pekee yakumfanya mwanadamu...
0 Reactions
5 Replies
983 Views
Inaelekea komredi Polepole Washamjulia!! Akiwa na njaa hupiga Sana makelele ya "uzalendo" kisa ni kuwatikisa wakubwa wamkumbuke. Wanaokumbuka makelele ya Polepole kwenye vuguvugu la kudai katiba...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Chongolo: aagiza uchukuaji fomu za uchaguzi ndani ya CCM urudiwe === Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg Daniel Chongolo amewaagiza makatibu wa Wilaya zilizobainika kuwa na kasoro...
6 Reactions
87 Replies
7K Views
Mjadala ulijitokeza miaka iliyopita kuhusu pesa za Escrow zilikuwa za umma au siyo za umma. Waliokuwa wanasema si za umma kimsingi walikuwa wanatetea upigaji wake na serikali isiingilie...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…