Watanzania tuwe makini ...
Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama...
Kwa muda wa wiki mbili ambazo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekuwa nchini Marekani katika shughuli za Kiserikali ikiwa ni pamoja na uzinduzi wa filamu ya...
Jimbo la Mtama liko Mkoani Lindi , Mbunge wake wa sasa anaitwa Mh Nape Nnauye aliyepita bila kupingwa kwenye uchaguzi Mkuu wa 2020 , kabla ya hapo Nape alikuwa Katibu wa Uenezi wa CCM Taifa , kwa...
Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga.
Rais wa...
Aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi uzuri na ubunifu wa Filamu maarufu ya kitalii ya THE ROYAL TOUR.
Kiongozi...
Maeneo ya Kirumba, Ilemela, Igogo na sehemu za Igoma uhalifu ulikuwa mwingi kiasi cha wananchi kuchukua sheria mkononi na kuanza kuua vibaka kwenye ofisi za serikali. Hii ni sababu Jumanne Muliro...
Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada.
Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo...
Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku...
Maandamano na kila mikakati ya kudai katiba mpya ifanyike. Maana hawa watu wamepanga kutuibia kwa kila namna.
Hii nchi ni yetu sote wala sio ya kundi la wachache wanaojifanya wajuaji na kuwa wao...
Sikumbuki ni lini Profesa Sospeter Muhongo amezungumza Mambo ya Kitaalam na Kitaaluma halafu nikawa namsikiliza na MINOCYCLINE nisijione kama vile nipo Darasani napata Maarifa na Kuelimika zaidi...
Kwa kweli ukiangalia picha za hao Diaspora, unaweza kuyasoma maisha yao. Hakika wamepigika kimaisha, lakini wanaishi katika nchi yenye katiba bora kabisa, na uchumi mkubwa, nadhani tunahitaji...
Dah kumbe ule msemo kuwe adui muombee njaa nj kweli.
Chadema wana hali mbaya sana kifedha.
Wamesahau hata majukumu yao kama wapinzani makini wanapaswa kupinga mambo yasiyo na tija yanayoendele...
Peter Msigwa amekuwa kimya sana Toka mwenyekiti atoke Gerezani,amekuwa somehow vuguvugu na wakati Mwingine anaonekana amemeelewa zaidi mama na anatamani afanye naye kazi. Hii Chadema wameiona na...
Kipindi cha kampeni kila kilichozungumzwa kilikanushwa hata kama kina maana, kutokana na mihemko ya siasa, lakini naomba tujikite zaidi katika maswali haya matano;
1. Kuna ukweli wowote juu ya...
Katika teuzi mbali mbali zinazoendelea tokea zimeanza nimegundua jambo muhimu hapa, kumbe unapaswa kuwa na sifa kuu tano muhimu;
1. Uwe na elimu angalau kuanzia Masters, ila ni vizuri zaidi ukawa...
Ni pale ambapo huwa namtafuta mchora ramani wa CCM na kugundua kuwa watakuwa wana nguvu ya ziada ,
Kwa kuwa ni mapema mno na ndo Mheshimiwa ana mwaka mmoja madarakani, ni kawaida ya CCM kujitokeza...
Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa...
Habari za sikukuu
Si Mara moja , au mbili ni zaid ya Mara 10 nawasikiliza wanachama wa ccm katika ngazi mbali mbali, na wanachama wanchadema katika ngazi mbali mbali,
Licha ya tofauti ya...
Hivi mkuu bado msimamo wako uko vile vile? Au umeshabadili kama mbowe wa gia ya angani? Katika siasa hakuitaji mhemko kabisa maana ukweli uko wazi kwamba kuweka akiba ya maneno ni vema,
Vipi kwa...
Hii sentence haitofautiani Sana na Ile Mwalimu Nyerere aliyesema kwamba upinzani wa kweli uko ndani ya CCM
UPINZANI NDANI YA CCM
Mwaka 2005 upinzani haukuwa mkubwa ndani ya CCM maana Kikwete...