January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati.
Kwa nini bila...
Inadaiwa Bodi ya wakurugenzi ya TANESCO imepania kuachana na Mikataba ambayo inaonekana kuwa mzigo kwa shirika kati yake na Makampuni ya Symbion Power na Aggreko mwezi Oktoba 2014, kutokana...
Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote...
Sasa hivi halimashuri nyingi hapa nchini hazishikiki tena . Pesa za wananchi zinatafunwa kama njugu zilizokaangwa.
Labda ile Slogan ya kula kwa urefu wa kamba yako ndio inatekerezwa.
Maana sasa...
Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo.
Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana.
Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye...
Rais Samia alipokea nchi katika hali hii
•Kenya ilikuwa inaongoza katika mauzo ya madini ya Tanzanite.
•Watalii wengi walikuwa wanashukia Kenya
•Mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya
•Shirika letu la...
Wahenga walisema usiku wa deni haukawii kukucha. Leo wafanyakazi wa Tanzania wanaungana na wafanyakazi kutoka pembe zote za dunia kuadhimisha siku ya wafanyakazi, maarufu kama Mei Mosi. Mtakumbuka...
Hivi nani aliwaambia kuwa mtu akiwa maarufu kwenye bongo Flava anaweza kushawishi watu kwa kuwa balozi kwenye kila jambo? Au msanii wa mipasho, movie hizi mbovu na hata hii Sanaa mpya ya...
Mbeya.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema suluhisho la umasikini wa Tanzania ni kupatikana kwa Katiba mpya.
Lissu anayeishi nchini Ubeligiji ameyasema haya alipokuwa akihutubia la...
Wengi wetu tunajua harakati za kila aina zinazofanywa na baadhi ya watu kumdhihaki JPM.
Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali.
Ebu fikiri, watu wazima walio hai wanaunda...
Wakosoaji wanasema zimetumika zaidi ya shilingi bilioni tano katika kuiandaa Royal Tour huko mbugani.
Yameongewa mengi, mengine ni mbwembwe tu kama ile habari ya Samia kuendesha gari kwa mara ya...
Nimeyaangalia mabango yote, yaliyobebwa na wafanyakazi, yaliyopita mbele ya mgeni wa heshima, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sikuona hata bango moja, lililokemea vikali ufisadi mkubwa...
Kumponda JPM ndio njia pekee ya majizi yote sasa kuitumia ili kuhalalisha wizi na ufisadi!
Bahati mbaya kabisa, yanalazimisha nchi na wananchi iwasikilize na kuwaunga mkono kwenye biti zao za...
Asalaam Alleykhum , baada ya Salamu hii, Taarifa ikufikie Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatangaza kufanyika kwa kongamano kubwa la Katiba Mpya Mkoani Mbeya.
Kongamano hilo...
Haiingii akilini kabisa kwa miaka 7 sasa hatujaongezewa angalau senti kumi wakati tunazidi kuvuja jasho.
Halafu bado tunaambiwa tuzidi kufunga mkanda.
Kwani shida ipo wapi jamani?
Je ni...
Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Marekani ni sahihi kabisa ila kuzindua Filamu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda.
Kama serikali ilikua serious ilipaswa filamu hiyo baada ya...