Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

Siioni Tanzania bila Heche na Lissu

Andromeda Galaxy

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
8,654
Reaction score
14,074
Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu la kuwa na fake id ni kusapoti harakati za chadema, kama Kuna atakayenigundua niko tayari kufa na chadema, naipenda chadema, nampenda heche na lissu, Mungu awabariki, nipo nanyi daima
 
Hiki chama ni kama kina mkono wa system maana kitendo cha John Heche kukamatwa na kuwekwa ndani bila sababu yoyote kupisha October 29 hawa wangekua uraiani na Lissu wangepewa zigo la October 29 na kufungwa bahati mbaya wote walikua mahabusu
 
Kwani kusupport harakati za Chadema ni Sawa na kifo?
 
Hiki chama ni kama kina mkono wa system maana kitendo cha John Heche kukamatwa na kuwekwa ndani bila sababu yoyote kupisha October 29 hawa wangekua uraiani na Lissu wangepewa zigo la October 29 na kufungwa bahati mbaya wote walikua mahabusu
Kabla ya Jan 2025
 
Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu la kuwa na fake id ni kusapoti harakati za chadema, kama Kuna atakayenigundua niko tayari kufa na chadema, naipenda chadema, nampenda heche na lissu, Mungu awabariki, nipo nanyi daima
ok.🐒
 
Kiukweli Tundu Lissu na Heche are the type of people of their own versions.

They are trusted at all levels of trusty
 
Uko tayari kufa kwa ajili ya Lisu na Heche?

Hizi bangi mnazovuta zinakowapeleka sijui.
 
Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu la kuwa na fake id ni kusapoti harakati za chadema, kama Kuna atakayenigundua niko tayari kufa na chadema, naipenda chadema, nampenda heche na lissu, Mungu awabariki, nipo nanyi daima
Haupo peke yako mkuu mwenye mapenzi na chadema. Watanzania wote wapenda Haki wapo na chadema
 
Back
Top Bottom