Kwanini kuna Vita ya Urais wa 2030 sasa?

Hakuna vita Kuna uroho wa kutaka kuwa raisi ili wajichumie matunda kwenye shamba la bibi
 
Ni kwakuwa waliopo sasa hivi wana mtaka Yule atakaye kuwa ana maliza Muda wake Visiwani. Hivyo sio Nchi...mbi wala sio Nche...mba wao ni washusha joto Tu la 29 Oct
bado ni ngumu ...mzenji kuwa rais bara labda wawe wamekusudia damu nyingi kumwagika ..... ukweli ni kwamba 1)mzanzibar kuja kuwa rais 2030 baada ya samia ni ndoto za kumwaga damu.
2)muislamu kuwa rais baada ya samia pia ni ngumu.
Hivyo Rais baada ya samia ni lazima awe mkristo tenq mbara ...japo wahuni wanatamani kinyume na hivi ....yaani wanatamani samia au ndugu wa samia au watoto wake ndiyo wawe kitini tena wanatamani huyo mtu awe muislam siyo mkristo...wala mpagani... 2030 hakuta kuwa na uchaguzi kama ilivyo 2025 ...uchaguzi utakuja kutokea kama ccm ikiondoka madarakani au Kundi la Rostam azizi kuuliwa lote ...hapo ni kama kutatokea mapinduzi ya kizalendo.
 
Huyu ana danu kote Mkuranga na huko visiwani
 
Ni kwakuwa waliopo sasa hivi wana mtaka Yule atakaye kuwa ana maliza Muda wake Visiwani. Hivyo sio Nchi...mbi wala sio Nche...mba wao ni washusha joto Tu la 29 Oct
Sababu yenyewe ni kujitajirisha na ni hii hapa kama ya muondoka zake, Viluku...!
1774863326179.png
 
Yote haya Aliyataka Nyerere.
Badala ya kuweka utaratibu dhabiti wa upatikanaji wa viongozi yeye alikua anapanga watu kwa utashi wake, Hata walio fuata nao wakaiga style hyo hyo.

Sasa wamekufa hao waasisi, Ishabaki kua Gombania Gori
 
Ni kwakuwa waliopo sasa hivi wana mtaka Yule atakaye kuwa ana maliza Muda wake Visiwani. Hivyo sio Nchi...mbi wala sio Nche...mba wao ni washusha joto Tu la 29 Oct
Hiyo ni ngumu kwa sababu 2:
1). Ni zamu ya Mgalatia
2). Wazenji wamepora sana awamu hii, siyo rahisi wabara kukubali kukabidhi usukani kwa Mzenji mwingine tena awamu inayofuata, labda wazue dhahama nyingine kama Mauaji ya samia ya MO29
 
Hii ya zamu ilitokea Tu kwa Bahati na ikaendelezwa kupunguza joto, baada ya kutokea mapungufu ya awamu zilizo fuata.
Na zaidi ya hapo kwenye vyama vingi kuitekeleza hiyo ni ngumu.
 
Hakuna bahati mbaya kwenye siasa!

Kila kitu kinapangwa!!
 
Back
Top Bottom