Wanasiasa wachovu acheni kumsakama Rais Samia!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,295
24,123
Kuna kundi la wanasiasa, wafaidika na sera za yule jamaa yetu aliyetangulia mbele za haki, hawaishi maneno maneno kumsakama Mama Samia.
Wanamsakama utafikiri wataenda kumfufua marehemu amalizie ngwe yake ya miaka minne iliyobaki.
ACHENI UNAFIKI!

Maneno maneno.... oooh madeni yanazidi..
mara kakaa kutembea tu.....
mara uteuzi ni wawaislamu tu.....
mara JK yuko nyuma ya serikali ya Samia.....

Walikuwepo kina Sabaya, kina Makonda, kina Cyprian Musiba, kina Polepole, lakini wanafiki walikuwa kimya kama maji ya mtungi, leo uhuru wa kuongea umeongezeka , basi lawama kila kukicha!!

Mimi nawahesabu kama wachovu tu, mara Mpina mara Kibajaji.

NYAMAZENI come on.
Au mgombee uchaguzi wa 2025 na nyinyi, wananchi tuwapige chini!
 
Mkuu wa nchi kukaa nje kwa wiki2 ni udhaifu hasa ukichukulia kesho kuna maadhimisho ya Muungano.
Tunaachana na utaratibu wa kufanya vitu kwa mazoea, sasa tunakwenda kufanya vitu kwa kutanguliza mbele maslahi mapana ya Taifa kwa kuzingatia matokeo.

Mama yuko US, kuna mambo makubwa yenye maslahi makubwa zaidi kwa taifa kuliko kuhudhuria tuu maadhimisho.

Mwacheni Mama aendelee kuifungua Tanzania.
P
 
Asante kwa kumuelimisha huyu jamaa.
Hao ni wale wale wa kumrushia mama Samia madongo.
 
Kuna kundi la wanasiasa, wafaidika na sera za yule jamaa yetu aliyetangulia mbele za haki, hawaishi maneno maneno kumsakama Mama Samia.
Wanamsakama utafikiri wataenda kumfufua marehemu amalizie ngwe yake ya miaka minne iliyobaki.
ACHENI UNAFIKI!

Maneno maneo oooh madeni yanazidi....maraka kakaa kutembea tu..... mara uteuzi ni wawaislamu tu.....mara JK yukonyuma ya serikali ya Samia.
Walikuwepo kina Sabaya, kina Makonda, kina Cyprian Musiba, kina Polepole, lakini wanafiki walikuwa kimya kama maji ya mtungi.
leo uhuru wa kuongea umeongezeka , basi lawama kila kukicha!!

Mimi nawahesabu kama wachovu tu, mara Mpina mara Kibajaji.
NYAMAZENI come on.
Au mgombee uchaguzi wa 2025 na nyinyi, wananchi tuwapige chini!
Wakina nani hao mburula? By the way acha waongee sasa akiwa mzima anasikia kuliko kuja kitukanwa ukiwa kaburini huwezi kujitetea..

Binafsi naona wako sawa tuu ila Mama habahatishi huwa anawajibu kwa vitendo wakiwamo hao hao unaosema wanakosoa..

Waambie wakupe data za ufanisi wa Mama kwenye utekelezaji wa ilani na miradi kwenye majimbo yao vs Zama za Jiwe..

So achana nao Watazidi kuaibika.
 
Back
Top Bottom