Nimechagua kumchukia Zitto Kabwe kutokana na kuwa na chuki na Hayati Magufuli

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

Screenshot_20220507-122950.jpg
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Dkt Magufuli hakuwa muislamu, Zitto ni mdini! Najua kuna waislamu wasio na mrengo huo wengi tu mfano mzuri ni Mama Samia na Waziri mkuu, ila huyu kiumbe anaendeshwa na mihemuko ua ukabila na udini.
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Kuna kauli za Zitto amechemka, kama ile kauli ya kusema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato ni ujinga.

Lakini, kwenye kukopa, hili ni kweli, hata ukisikiliza mazungumzo ya Tido Mhando na rais SSH, rais kalitaja hili.

Kwa hivyo, kwenye hilo Zitto yuko sawa.

Tuache kuongozwa na hisia, twende kwa data.
 
Hana akili huyo achana nae.

Anasem miradi ya JPM, hiyo miradi ya Magufuli ni ipi? Ni mali yake binafsi? Iko chato nyumbani kwa Magufuli hiyo Miradi?

Ukweli gani anataka huyo mrundi? Kwani mikopo ni mara ya kwanza nchi hii tumechukua? Mbona haijawahi kua na faida yoyote. Angalau Magufuli alikopa kujenga Bwawa la Nyerere, kujenga SGR nk. Alitaka afanyeje?

Zitto ni mtu asie na akili sio wa kumsikiliza.
 
Mkuu siwezi kumsamehe. Ana udini mwingi Sana enzi ya jk alikuwa upande wake kwa sababu ni muislam Ila akaja JPM akaanza chuki kwake kwa kuwa ni mkiristo Kwa sasa Bi Tozo ni dini yàke Yuko upande wake
Msamehe tu, anatumika hata hao wanaomtumia watakuja m-dump wakishamaliza kumtumia na ku-move on, hivyo mpotezee tu na Dunia siku moja itamvunza!
 
Pale kwenye mikopo,Zitto hakumungunya maneno,na hajaanza leo kuzungumzia mikopo ya Raisi Magufuli wakati Zitto akiwa mbunge.
Kuna watu walidhani Zitto anapika takwimu za mikopo wakati ule,kumbe Mchumi Zitto alikuwa anajua anaongea nini.
Na kama ukichukuwa hansard zake bungeni, tatizo la serikali kudanganya na kukopa nje ya utaratibu lingedhibitiwa mapema.
 
Kuna kauli za Zitto amechemka, kama ile kauli ya kusema wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato ni ujinga.

Lakini, kwenye kukopa, hili ni kweli, hata ukisikiliza mazungumzo ya Tido Mhando na rais SSH, rais kalitaja hili.

Kwa hivyo, kwenye hilo Zitto yuko sawa.

Tuache kuongozwa na hisia, twende kwa data.
So awamu hii Ndio mikopo Iko wazi Mzee kiranga? Ebu nitajie faida ya hyo mikopo Ambayo huyu Hangaya ameingia MPaka Sasa?
 
So awamu hii Ndio mikopo Iko wazi Mzee kiranga? Ebu nitajie faida ya hyo mikopo Ambayo huyu Hangaya ameingia MPaka Sasa?
Mimi sijasema lolote kuhusu faida ya mikopo ya rais wa sasa.

Nimesema kumshambulia Zitto kwa sababu kasema Magufuli alikopa sana si sahihi.

Kwa sababu Magufuli alikopa sana, hilo ni kweli, na mpaka rais wa sasa kalisema.

Sasa unabisha? Unataka kusema Magufuli hakukopa?
 
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote

View attachment 2215113
Sasa kama wewe ni mwanawe na JPM tukusaidie nini.
Baba hata akiwa mwizi ni baba tu!
 
Back
Top Bottom