Wakuu!
Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji.
Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa...
Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi...
Ninayo machache kwako kama raia wa nchi kama ilivyo kwa watanzania wengine. Kwa siku za hivi karibuni hasa alhamisi ya tar 12.05.2022 kulienea taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya uanachama...
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.
My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha...
NILIPATA kuandika miaka ya nyuma kuwa Tanzania inateswa na mambo makuu mawili; Ujuaji na ukosefu wa uadilifu.
Mosi; watu wanajua sana. Sehemu yenye kuhitaji utaalamu, yule ambaye fani haimhusu...
Kelele zimeanza kusikika mapema kabisa kuhusu deni la Taifa! Hadi sasa ndani ya miezi michache ya Mama tena tisa tu tayari trillion 10 na zaidi ya nusu ya mkopo huo ukielekea visiwani Zanzibar...
Uzi tayari! Kama unavyojieleza!
Ingelitokea umekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ungefanya nini?, ungelifanyia nini taifa?,
ungeboresha nini?, ungeliruhusu kipi na ungelikataa ama...
Mpk sasa naweza kusema kuwa Rais Samia ana roho nzuri na ana nia njema na taifa hili.
Mtangulizi wake alikuwa na mwelekeo wa kuwadidimiza (kuwafukarisha) wafanyabiashara. Alitamka hadharani kuwa...
Kuna jambo limenishangaza sana!
Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31...
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.
Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM taifa Shaka Hamdu Shaka amezitaka taasisi za umma zenye miradi mikubwa ya maendeleo kuwa na bajeti maalum ya kuhudumia miradi hiyo.
Shaka alisema hayo leo wakati...
Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha...
RAIS Samia Suluhu Hassan, ameamua kulikabili sakata la mgogoro wa mafuta kwa kutoa maelekezo ya kujibana katika matumizi ya ndani ya Serikali. Kwa nini hii ndio njia sahihi? Nitaeleza;
Wapo...
Inaweza kuwa hoja au swali.
Binafsi nimewaza na kutafakari kauli ya mbowe kumuita mdee Nairobi, na kumshawishi aache nafasi ya ubunge wa kuteuliwa katika nchi yake, aende kufanya kazi nje ya...
Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear...
"Freeman Mbowe aliamua kutafuta huruma tu kwa wajumbe wa Baraza Kuu kwa kunitajia wazazi wangu, hajawahi kuzungumza na wazazi wangu hata siku moja kuhusu sakata hili, Nilisikitika, na sikuwa na...