Rais Samia kukopa(tena) 1billion USD from IMF

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,908
Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!

1652372395961.jpeg

Markets
IMF Mission in Tanzania for Talks on $1 Billion Funding Request

An International Monetary Fund team is in Tanzania for talks on the East Africa nation’s request for a three-year financing package of $1.1 billion.

President Samia Suluhu Hassan is seeking the funds to support the nation’s recovery from the coronavirus pandemic, her spokeswoman, Zuhura Yunus, told reporters in the commercial hub of Dar es Salaam on Thursday.

Hassan told Bloomberg News in an interview in March that her administration was seeking at least $700 million from the IMF. Securing additional funding from multilateral lenders is part of Hassan’s wider plan to boost Tanzania’s fiscal position by taking on more concessional loans.

The IMF in September raised the nation’s risk of debt distress to moderate, from low, after the government ramped up commercial borrowings in recent years, including about $1.5 billion from Standard Chartered Plc to help fund construction of a new railroad.
 
Kwa ninavyoona, mama anazisaka pesa sana, shida ni walaji, zikitua tu,watu wanazila halafu zile chache wanatuzugia kupeleka maeneo husika. Upigaji kwenye ma-halmashauri unasemwa kua ni Mkubwa sana, achilia sehemu nyingine. Pole yao wale ambao walitumbulia enzi za mzee JPM,maana wenzao duuuh! wanakula raha mstarehe.
 
Kwa ninavyoona,mama anazisaka pesa sana,shida ni walaji,zikitua tu,watu wanazila halafu zile chache wanatuzugia kupeleka maeneo husika.Upigaji kwenye ma-halmashauri unasemwa kua ni Mkubwa sana,achilia sehemu nyingine.Pole yao wale ambao walitumbulia enzi za mzee JPM,maana wenzao duuuh! wanakula raha mstarehe.
...tena kwa urefu wa kwamba zao...
 
Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!

View attachment 2221901

1billion USD from IMF!??? Tutauzwa tunakoelekea.​

Kukopa ni kusaka?
Kwa ninavyoona,mama anazisaka pesa sana,shida ni walaji,zikitua tu,watu wanazila halafu zile chache wanatuzugia kupeleka maeneo husika.Upigaji kwenye ma-halmashauri unasemwa kua ni Mkubwa sana,achilia sehemu nyingine.Pole yao wale ambao walitumbulia enzi za mzee JPM,maana wenzao duuuh! wanakula raha mstarehe.
 
Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!

View attachment 2221901

Wacha akope hadi afikie record ya Magufuli.

Madeni ya Magufuli yalikuwa world cup. Kuifikia hiyo record siyo leo. Kazi iendelee
 
Kukopa ni sawa lakini je zinatumikaje? Si zinakuja tu kugawanwa na haya majibwa na tai yenye matumbo yasiyoshiba kamwe? Pathetic!

IMG-20220511-WA0104.jpg
 
CCM wenyewe ndiye yaliye mpa kinga ya kutoshitakiwa kwa yote atakayo yafanya akiwa madarakani, tukiwaambia tunataka katiba mpya hamtuelewi, tulieni dawa iwaingie
 
Back
Top Bottom