Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.

Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.

Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la ongezeko la mishahara
3. Ongezeko la bei ya mafuta
4. Tangazo la Vita na Vita yenyewe.

Mama Samia hoyeeee!!!
 
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.

Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwanoiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri ukilinganisha na mtangulizi wake.

Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la ongezeko la mishahara
3. Ongezeko la bei ya mafuta
4. Tangazo la Vita na Vita yenyewe.

Mama Samia hoyeeee!!!
Mbona ametangaza na amesema wanafanyia mahesabu ili wajue ni kiasi gani
 
Uko shallow Sana kwenye hoja zako, tupo wenye akili kubwa next time andika vitu vinavyojadilika na watu wenye akili
 
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.

Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwanoiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri ukilinganisha na mtangulizi wake.

Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la ongezeko la mishahara
3. Ongezeko la bei ya mafuta
4. Tangazo la Vita na Vita yenyewe.

Mama Samia hoyeeee!!!
marehemu amesimangwa hapa.
 
Kila mwaka mnaomba kupandishiwa mishahara, kwanini msijiongeze mjipandishe wenyewe muacheni na huu utumwa wa kisaikolojia?

Simply mpo kama ma jobless mlioajiriwa.
Hicho kimdomo chako kwenye Avatar Unafaa kupelekwa Dubai
 
Kila mwaka mnaomba kupandishiwa mishahara, kwanini msijiongeze mjipandishe wenyewe muacheni na huu utumwa wa kisaikolojia?

Simply mpo kama ma jobless mlioajiriwa.
Ha ha ha ha

Wivu unakusumbua.

Hapo ulipo utakuwa unahangika kila leo kuomba ajiran
 
Kila mwaka mnaomba kupandishiwa mishahara, kwanini msijiongeze mjipandishe wenyewe muacheni na huu utumwa wa kisaikolojia?

Simply mpo kama ma jobless mlioajiriwa.
We jamaa umevurugwa sana!
 
Mara mwisho nilisikia kuwa huyu ataongeza kwakuwa sio kama mtangulizi wake, mapambio yakawa mengi, nini kimetokea? Mbona kama anasifiwa kutoongeza mishahara kwa kigezo cha kupandisha mfumuko wa bei?

Ni nani alisema kila kitu kitapanda bila sababu z msingi kuainishwa? Hapo hakuona kuwa ndo chanzo kikubwa cha mfumuko wa bei?

Ngoja tuone waimba mapambio watakavyokuwa wakijigeuza geuza kumfuata mbongo movie
 
Pole sana

Ameongeza ila hajataja kiwango.
Alipunguza asilimia 1 ya payee, akaongeza tozo kila kona!

Hii ambayo hajataja kiwango, mtaongea kilugha muda si mrefu!

Bahati yenu ni kuwa amewapa meno ya kujilia kwa urefu wa kamba na kulamba asali mtakavyo, kinyume chake, mngeiona jehanamu mngali hai
 
hizo calculation ziligoma ku balance kabla ya mei mosi?

unajua misemo ya 'hivi punde, muda si mrefu, hapo baadae ni misemo janja janja ya kuzugia …'

ndio ntolee hiyo tutakutana tena May mosi ya 2023 tukiwa na Wimbi la Corona awamu ya 9 na tutalitumia kama sababu ya kutopandisha
Mbona ametangaza na amesema wanafanyia mahesabu ili wajue ni kiasi gani
 
Back
Top Bottom